CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Ukifuatilia CNN, BBC, SKY NEWZ utaona kabisa URUSI amezidiwa pakubwa.Nachoona Putin atapoteza wanajeshi wengi,wengi watakaoenda Ukraine asilimia kubwa hawatarudi hai
Ila kwa ground UKRAINE hawapumui, viwanja vya ndege, miundombinu, kambi zao nk ziko vibaya muda huu.
Vita sio kitu ambacho utafucha, matokeo yanaonekana wazi kuwa UKRAINE hali yake ni mbaya, hadi Raia wanashika bunduki maana yake wamepoteza askari wengi sana.
Na muda huu hawavai kombat ili kujichanganya na Raia na ndio maana Urusi akapendekeza Raia waondolewe, mtakuja hapa kulalamika miji ya Ukraine kuwa vifusi muda si mrefu.