Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimekutajia miji mikubwa zaidi ya mitano hambayo urusi alikuwa akiishikilia na kisha kufurushwa kama mbwa mwizi..,Sasa sijui ni maelezo gani Tena zaidi unayataka[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huko bakhamut urusi anacho Fanya sasa hivi ni kusafisha maana kazi kubwa imeisha
 
Sawa,inasemekana zaidi ya wajeda laki 2 wa Ukraine wamekufa mpaka Sasa!
 
Sawa,inasemekana zaidi ya wajeda laki 2 wa Ukraine wamekufa mpaka Sasa!
Sawa, lakini pia si vibaya kukuhabarisha kwamba urusi aliingiza askari zaidi ya laki Moja na nusu hambao wengi wao walichinjwa au kutiwa vilema.., baada ya kuona hivyo akaaamua kufanya mobilization ya askari laki tatu..,kwa habari za ndani ndani ni kwamba wengi wao wamechinjwa au kutiwa vilema,Sasa anaandaa mobilization nyingine ya askari laki Tano.., nitaendelea kukujulisha zaidi Hali itakavyokuwa!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mna moyo sana kupanga hoja na hawa LGBTQ
 
Soma vizuri nilicho andika, nimesema waliweza kuharibu/lipua Ukrainian military critical assets including fighters and bomber na popular AN-225 transport plane - hangar yake ilichakazwa vibaya sana, vile vile na sehemu kubwa ya mbele ya AN-225 kulipuliwa, tuliona na SU-25/MiG-29 za Ukraine aiforce na choppers zimelipuliwa - cha ajabu hakuona miili ya wanajeshi hao wa miamvuli wa Urusi wametapakaa uwanja nzima wa ndege au mwavuli yao - swali ni je,walipotelea wapi - si jeshi la Ukraine lilisema lilikuwa linawatungua kwa machine gani wakati wanatua uwanjani kwa kutumia miamvuli baada ya kuruka kutoka kwenye Russian military transport planes AN-125s - hakuna hata AN-125 iliwahi kutunguliwa siku hiyo.

Huo msafara sijui wa 64Km wa magari ya kijeshi tuliona vizuri kilicho kuwa kinaendelea drones zilizo nunuliwa kutoka Uturuki zili husika kulipua gari moja au kifaru kimoja kimoja siyo msafara mzima, ambush za kutumia javelin nazo zilikuwa isolated sana after all kila javelin unapiga kifaru/gari moja siyo kwamba zina uwezo wa kuharibu zaidi ya kifaru/gari moja at a go - bottom line ni kwamba msafara karibu wote ulipitia Kiev na kuelekea Belarus basi, jeshi la Putin alikuwa na mpango wa kuitwa mji wa Kiev wala nini sijui? Kupeleka msafara mrefu Majenerali wa Putin walikuwa wanawazuga Majenerali wa Ukraine wafikirie kwamba Putin analeta majeshi yake kuuteka mji wa Ukraine, jeshi la la Zelensky akaigiwa na wasi wasi na kuhamuru idadi kubwa ya jeshi la Ukraine kuhamishwa kutoka kusini mashariki kuja Kiev kuongeza ulizi kumbe hizo zilikuwa ni mbinu za kupunguza nguvu za jeshi la Zelensky huko kusini mashariki kwenye majimbo ambayo yako karibu na Crimea - you ndio ulikuwa ni mpango mzima wa Zelensky na West kuvamia kusini mashariki kwa nguvu zote ili ikiwezekana kuikomoa Crimea lakiniPutin kawazidi kete kwa kuwavamia kwanza pre emptive strike.
 
Huko mmepasahau baada ya kupewa kisago kikali na kukimbizwa .., mnaona Bora kujisahaulisha machungu tu[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kichapo gani? Mbona kama sikuelewi hivi kwanza ni soleda gani unayoizungumzia wewe maana soleda NATO ijua Mimi ni ile iliyopo Ukrainian na imeshabebwa na urusi masiku yaliyopita


Ebu tuambie ni soleda gani unayo zunguzia wewe?
 
Kwa eneo LA bakhamut tu idadi ya askari wa Ukraine walio kufa hapo huenda ikawa sasa na nusu ya jeshi LA Tanzania wamekufa wengi sana hapo juzi tu ma gari 100 ya maiti za wa Ukraine yalielekea Kiev
Kwa taharifa za kuaminika ni kwamba magari yanayoondoka Ukraine na kuingia uru yakiwa yamebeba maiti za warusi pamoja na majeruhi kila siku hazipungui 150.., imagine hiyo ni kila siku,magari zaidi ya mia Moja hamsini lazima yawasilishe mizoga huko urusi [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa idadi hiyo mnayotaja wamekufa then uongo uko wazi!Aliingiza askari laki na nusu!Haya Inamaana wote wameisha waliongia,hao mobilized sio Kwa ajili ya kupambana front line,Bali wengi wako Belarus na wengine wako kwenye maeneo ambayo Yako liberated ambapo sio eneo active la vita wanalinda amani!
Sasa hao walioko front wametoka wapi?
Sometimes akili zenu zitumieni vyema kufanya tathimini!
Mobilisation inayokuja ni Kwa ajili ya mipango ya 2026 na sio Leo Wala kesho😃😃😃!
Tena hiyo mobilisation Russia ataifanya Ili kuweka idadi kubwa ya jeshi ikiwa itatokea direct confrontation na NATO!
 
Kichapo gani? Mbona kama sikuelewi hivi kwanza ni soleda gani unayoizungumzia wewe maana soleda NATO ijua Mimi ni ile iliyopo Ukrainian na imeshabebwa na urusi masiku yaliyopita


Ebu tuambie ni soleda gani unayo zunguzia wewe?
Hiyo soledar iliyobebwa na warusi utakuwa unaizungumzua soledar ya huko kazuramimba [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hizo habari labda umetoa kwa shemeji yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…