LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
The deputy head of Zelensky’s office said that Ukraine needs security guarantees from the United States, Britain and Germany, since guarantees from Russia alone are “not enough.”View attachment 2144734
Huyo jamaa wa Ukraine anachekesha, is he comedian? Yani Ukraine itaishia kuokota pieces baada ya vita kisa huyu mchekashaji, the country is being dismantled yeye analeta vichekesho?
 
The Pentagon said Russian claims that the US is using biolabs in Ukraine to develop weapons "are not true."
 
Mkuu mbona Nyerere alikuwa na sababu za msingi kujibu mapigo ya Iddi Amini? Kavamia Kagera ambayo ni part ya Tanzania. Sasa je Kagera ichukuliwe? Kagera ilivamia Nyerere akajibu mapigo
Niambie sababu za msingi za Nyerere kuivamia Uganda??
 
Putin anatakiwa anyongwe
 
Nikifanya Tathimini ya haraka naona kama vile Tz inauwezo mkubwa kijeshi kuliko Ukraine. Mimi nadhani tukipigana tunamkalisha tu.
Ingekuwa TZ ingebaki vumbi,sidhani kama kuna bunduki hata million 60 ili kila raia apate,Tanzania nzima bunduki zinaweza zisifike hata mil 10
 
Watu tukisema hamna akili mnasema sisi wakorofi sasa mtu akikuuliza umeandika ugoro gani huu??
 
Tatizo vita imeingiliwa na wanajeshi wengi wa nato, marekani imetoa pesa nyingi kuifadhili Ukraine, Ukraine inaweza tumia hiyo pesa kukodi wanajeshi. Hapo Russia hatoboi
Hatoboi vipi wakati UKRAINE haikaliki?? We unadhani URUSI hawezi tupia makombora hapo KYIV?? ni kwakuwa ataua raia wengi na ndio maana kwa ustaarabu ameomba raia waondoke. Unajua kwann Urusi wanalazimisha Raia waondoke KYIV??
 
"...tumefanya kila lililo wezekana kusaidiana na Ukraine hasa tumewapatia silaha mbalimbali ikiwamo makombora ya kuharibu mizinga-vita lakini kuhusu ndege vita hakika hilo itakuwa si sehemu ya msaada wetu kwa Ukraine."

Ujerumani.
 
Mbunge mmoja wa Uingereza amesema bungeni kwao leo kuwa Putin na Russia watapigwa na kufurushwa kama nduli Idi Amini wa Uganda alivyopigwa na kufurushwa na Tanzania.

Sijajua kwanini mbunge huyo katumia mfano huo labda ni vile Uingereza aliwahi kututawala.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa huu mfululizo wa vikao ni dhahiri Vita vimeshaisha hivi. Kama tayari kuna kikao kijacho kwa mawaziri wa mambo ya nje wa Russia na Ukraine basi kila mmoja kashalainika hasa Russia.
hiyo vita haiishi leo wala kesho mpaka mpaka putin amtoe madarakani huyo comedian kibaraka wa mabeberu...putin anataka kupandikiza kibaraka wake ukraine,kama putin akimtoa madarakani huyo comedian itakuwa ni ushindi mkubwa sana kwake naitakuwa ni pigo takatifu kwa mabeberu hasa marekani ndio maana marekani anafanya kila awezalo kumzuia russia...
 
Kumbuka hata Idi amini alikuwa na zana nzuri kuliko sisi. Unajua ni kwanini tulimshinda!!?

Kwenye suala la zana katika hizi nchi zetu sidhani ni kigezo kikubwa cha kushinda vita kwasababu hata tukizidiana zana ni kwa kiwango cha kawaida tu hakuna atakayemzidi mwenzake ifike 70% kwa 30%.
Labda kitu cha kujiuliza je ile backup ya wananchi na spirit ya kujitolea kuipambania nchi kama ile ya 1978/79 BADO IPOOO???? Na je wapiganaji wa sasa ni aina ileile au??
 
Kwa nini zelensky anaomba ndege ziliziundwa na Urusi?
 
Raia wa Ukraine wanashika bunduki tangu tishio la kuvamiwa lilipoanza hilo si jipya na habari zilisema walikuwa wanafundishwa shabaha kutokana na tishio la uvamizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…