LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
The deputy head of Zelensky’s office said that Ukraine needs security guarantees from the United States, Britain and Germany, since guarantees from Russia alone are “not enough.”View attachment 2144734
Huyo jamaa wa Ukraine anachekesha, is he comedian? Yani Ukraine itaishia kuokota pieces baada ya vita kisa huyu mchekashaji, the country is being dismantled yeye analeta vichekesho?
 
The Pentagon said Russian claims that the US is using biolabs in Ukraine to develop weapons "are not true."
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Mkuu mbona Nyerere alikuwa na sababu za msingi kujibu mapigo ya Iddi Amini? Kavamia Kagera ambayo ni part ya Tanzania. Sasa je Kagera ichukuliwe? Kagera ilivamia Nyerere akajibu mapigo
Niambie sababu za msingi za Nyerere kuivamia Uganda??
 
Russia’s defence ministry has acknowledged that some conscripts have participated in the war in Ukraine days after President Vladimir Putin denied that was the case.

The ministry said that some of the conscripts had been taken prisoner by Ukrainian forces. But it claimed that “practically all” such individuals deployed to neighbouring Ukraine had now been pulled back to Russia.

Mkiambiwa Russia Hana jeshi zuri kama anazosema, hamuamini

Sasa unapelekaje mtu vitani hata miezi 6 jeshini hana.

Putin ameua sana vijana wa Russia
Putin anatakiwa anyongwe
 
Nikifanya Tathimini ya haraka naona kama vile Tz inauwezo mkubwa kijeshi kuliko Ukraine. Mimi nadhani tukipigana tunamkalisha tu.
Ingekuwa TZ ingebaki vumbi,sidhani kama kuna bunduki hata million 60 ili kila raia apate,Tanzania nzima bunduki zinaweza zisifike hata mil 10
 
kumbuka ukraine alisema hayupo tayari kujadili jambo lolote na wavamizi au umesahau
Tayari mpaka sasa mwenye karata kwenye dume kwenye hii operation ni Urusi.
kumbuka jana Nikolaev imeanguka , sasa rasmi inafuatwa odessa ili kuifunga pwani ya ukraine isiguswe
Watu tukisema hamna akili mnasema sisi wakorofi sasa mtu akikuuliza umeandika ugoro gani huu??
 
Tatizo vita imeingiliwa na wanajeshi wengi wa nato, marekani imetoa pesa nyingi kuifadhili Ukraine, Ukraine inaweza tumia hiyo pesa kukodi wanajeshi. Hapo Russia hatoboi
Hatoboi vipi wakati UKRAINE haikaliki?? We unadhani URUSI hawezi tupia makombora hapo KYIV?? ni kwakuwa ataua raia wengi na ndio maana kwa ustaarabu ameomba raia waondoke. Unajua kwann Urusi wanalazimisha Raia waondoke KYIV??
 
"...tumefanya kila lililo wezekana kusaidiana na Ukraine hasa tumewapatia silaha mbalimbali ikiwamo makombora ya kuharibu mizinga-vita lakini kuhusu ndege vita hakika hilo itakuwa si sehemu ya msaada wetu kwa Ukraine."

Ujerumani.
 
Mbunge mmoja wa Uingereza amesema bungeni kwao leo kuwa Putin na Russia watapigwa na kufurushwa kama nduli Idi Amini wa Uganda alivyopigwa na kufurushwa na Tanzania.

Sijajua kwanini mbunge huyo katumia mfano huo labda ni vile Uingereza aliwahi kututawala.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa huu mfululizo wa vikao ni dhahiri Vita vimeshaisha hivi. Kama tayari kuna kikao kijacho kwa mawaziri wa mambo ya nje wa Russia na Ukraine basi kila mmoja kashalainika hasa Russia.
hiyo vita haiishi leo wala kesho mpaka mpaka putin amtoe madarakani huyo comedian kibaraka wa mabeberu...putin anataka kupandikiza kibaraka wake ukraine,kama putin akimtoa madarakani huyo comedian itakuwa ni ushindi mkubwa sana kwake naitakuwa ni pigo takatifu kwa mabeberu hasa marekani ndio maana marekani anafanya kila awezalo kumzuia russia...
 
Kinachokuaminisha sisi tupo vizuri ni nini, Uganda na Kenya wanaoongoza kuwa na military expenditure kubwa kuliko sisi.
Nadhani umeziona old soviet aircraft zinavyofanya hapo ukraine, sasa, Uganda ana SU 30 new technology hapo anaziungurumisha.
Labda tutegemee idadi ya askari na discipline ila mkuu kama vipi fungua uzi tukutane huko tujadili najua kuna wataalamu wengi watachangia
Kumbuka hata Idi amini alikuwa na zana nzuri kuliko sisi. Unajua ni kwanini tulimshinda!!?

Kwenye suala la zana katika hizi nchi zetu sidhani ni kigezo kikubwa cha kushinda vita kwasababu hata tukizidiana zana ni kwa kiwango cha kawaida tu hakuna atakayemzidi mwenzake ifike 70% kwa 30%.
Labda kitu cha kujiuliza je ile backup ya wananchi na spirit ya kujitolea kuipambania nchi kama ile ya 1978/79 BADO IPOOO???? Na je wapiganaji wa sasa ni aina ileile au??
 
Kwa nini zelensky anaomba ndege ziliziundwa na Urusi?
 
Ukifuatilia CNN, BBC, SKY NEWZ utaona kabisa URUSI amezidiwa pakubwa.

Ila kwa ground UKRAINE hawapumui, viwanja vya ndege, miundombinu, kambi zao nk ziko vibaya muda huu.
Vita sio kitu ambacho utafucha, matokeo yanaonekana wazi kuwa UKRAINE hali yake ni mbaya, hadi Raia wanashika bunduki maana yake wamepoteza askari wengi sana.

Na muda huu hawavai kombat ili kujichanganya na Raia na ndio maana Urusi akapendekeza Raia waondolewe, mtakuja hapa kulalamika miji ya Ukraine kuwa vifusi muda si mrefu.
Raia wa Ukraine wanashika bunduki tangu tishio la kuvamiwa lilipoanza hilo si jipya na habari zilisema walikuwa wanafundishwa shabaha kutokana na tishio la uvamizi.
 
Back
Top Bottom