Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Unaota kama huyo mbunge kanjanja wa UK.Mbunge mmoja wa Uingereza amesema bungeni kwao leo kuwa Putin na Russia watapigwa na kufurushwa kama nduli Idi Amini wa Uganda alivyopigwa na kufurushwa na Tanzania.
Sijajua kwanini mbunge huyo katumia mfano huo labda ni vile Uingereza aliwahi kututawala.
Maendeleo hayana vyama!
Ataenda vitani?Mbunge mmoja wa Uingereza amesema bungeni kwao leo kuwa Putin na Russia watapigwa na kufurushwa kama nduli Idi Amini wa Uganda alivyopigwa na kufurushwa na Tanzania.
Sijajua kwanini mbunge huyo katumia mfano huo labda ni vile Uingereza aliwahi kututawala.
Maendeleo hayana vyama!
ukitaka kuaminika lete facts sio porojo kutokua Muislamu kusikufanye ukachukia Waislamu huenda icho.unachokichukia ni bora kwako lkn hujuiSio ujinga ndugu yangu jaribu kufuatilia utagundua tu.
Sasa sheria ka hii, ni ujasiri au kuteketeza Raia...Zelensky signed a law that allows all residents of Ukraine to use weapons during martial law, RIA Novosti reported.View attachment 2145153
Kuna Nchi nyingi zina mafuta na zitapata ahueni hususani zilizokuwa zimewekezwa vikwazo yaani Venezuela na Iran,pia usisahau kwamba Biden kaidhinisha kuongeza uzalishaji kwao na kutumia strategic reserve yake.Saudi Arabia rejects US request to increase oil production
European Union looks to Qatar and Egypt for increased supply of natural gas, should Russia withhold shipmentswww.middleeasteye.net
Sasa unadhani baada ya hapo itakuaje? Sio UK tuu hata EU imesema by the end of the year wata punguza zaidi ya 2/3 ya utegemezi kutoka Russia kwa hiyo hapo tayari soko linaharibika.Bidhaa ya mafuta na gesi haisusiwi ndugu yangu, utaikataa leo kesho utachukua tu. Uk mwenyewe anasema ata stop kuchukua crude oil mwishoni mwa mwaku huu, Germany na nchi zingine still bado hawaja burn uingizwaji wa ges toka Russia, niambie substitute ya gesi ulaya wataitoa wapi kwa miaka 3 au 4 ijayo?
Kama kweli unafuatilia siasa na uchumi wa ulaya utaona wazi, kuna kutegeana kwenye vikwazo kwa urusi, USA amezuia mafuta toka Urusi, nani mwingine kazuia?
Dunia ya sasa hakuna mbabe wa kiuchumi, ukiweka vikwazo mtaumia wote, vita ya uchumi haina mbabe kama ilivyo vita ya nyukilia. Dola ya urusi itayumba sawa lakin haitakufa, wale jamaa wana rasilimali zote unazozijua.
Ingawa hii proposal US waliikataa nilisoma Jana VOAunataka kusema hii habari sio ya kweli?
👇
Eti Russia ana propose ceasefire kwa baadhi ya mijiThe next round of negotiations between the delegations of Russia and Ukraine may take place after the meeting between Lavrov and Kuleba in Turkey, political analyst Voskresensky said.View attachment 2144381
Na kasema wameondoa pendekezo la ku fast track NATO membershipZelensky said that the Ukrainian delegation will prepare for the next rounds of negotiations for the sake of peace.View attachment 2144414
Tafakari kidogo! Unaamini kweli Putin hakujua hao askari vijana wako?? Ilhali tunajua mhanga wa kwanza wakati wa vita ni ukweli.Mateka wa askari wa Urusi , ukraine Toka mtandao wa TELEGRAM.imetafsiriwa Toka Kirusi kwa msaada wa google translate:
Putin said that everyone who sent conscripts to Ukraine for a "special operation" would be prosecuted.
Commendable initiative! I support!
And I will help by publishing fresh videos of captured conscript soldiers.
Urusov Nikita Alekssevich, born on May 05, 2000. 21 years old
Now he is in captivity. They treat him well. After our Victory, we will return him to his mother by exchanging them for our prisoners.
But if the Russian fascists throw their bombs at random, then Nikita Alekseevich may die at the hands of his own, not having lived to see our Victory.
I ASK OUR CYBERARMY TO DISTRIBUTE THE VIDEO WITH CONSISTENTS TO THE RUSSIAN FEDERATION TO THE MAXIMUM.
Let's help Putin find more scapegoats and further demoralize his army
Baada ya maumivu kutapatapa kumeanza.Peskov, commenting on proposals for the nationalization of companies that left the Russian Federation, said that all options for responding to sanctions and the development of events are being worked out at the government headquarters.
View attachment 2144434
Anatafutwa eti,mtaendelea kufa kwa kuganda Huko milimani na hamuwezi kusogea mbele.Ukraine ni Taifa 22 kwa nguvu za kijeshi duniani, kwa hiyo isingekuwa rahisi ila taratibu anatafunwa
Kwani Russia yeye alisemaje? Si alisema hakuna majadiliano yeyote baada ya Ukraine kuomba?kumbuka ukraine alisema hayupo tayari kujadili jambo lolote na wavamizi au umesahau
Tayari mpaka sasa mwenye karata kwenye dume kwenye hii operation ni Urusi.
kumbuka jana Nikolaev imeanguka , sasa rasmi inafuatwa odessa ili kuifunga pwani ya ukraine isiguswe
Ilikuaga uzushi wa mwalimu nyerere kumchafua aminiKwani Putin anakulaga nyama za watu..? Maana sijui tulipigwaga kamba ati idd Amin alikuwa anakula..[emoji28]
Ndio hakutegemea kukutana na kibano cha UkraineMrusi hakutegemea haya kutokea alipotangaza kuivamia Ukraine? Ni suprice kwake?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sifa za kijingaSi upokee tu, umesifiwa na Wazungu [emoji3]