Bidhaa ya mafuta na gesi haisusiwi ndugu yangu, utaikataa leo kesho utachukua tu. Uk mwenyewe anasema ata stop kuchukua crude oil mwishoni mwa mwaku huu, Germany na nchi zingine still bado hawaja burn uingizwaji wa ges toka Russia, niambie substitute ya gesi ulaya wataitoa wapi kwa miaka 3 au 4 ijayo?
Kama kweli unafuatilia siasa na uchumi wa ulaya utaona wazi, kuna kutegeana kwenye vikwazo kwa urusi, USA amezuia mafuta toka Urusi, nani mwingine kazuia?
Dunia ya sasa hakuna mbabe wa kiuchumi, ukiweka vikwazo mtaumia wote, vita ya uchumi haina mbabe kama ilivyo vita ya nyukilia. Dola ya urusi itayumba sawa lakin haitakufa, wale jamaa wana rasilimali zote unazozijua.