The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hicho kisingizio hakitawasaidia baada ya vita, uchunguzi wa mauaji unaendelea.Wanajeshi wengi UKRAINE wanajificha kwenye makazi ya watu na kufanya Ambush, hali hii inapelekea kuua hata watu wasiohusika. UKRAINE naona wanakuwa wagumu kuruhusu Raia wake watoke mijini hii ni kwa kujua wazi kifuatacho ni mashambulizi ya anga mfululizo.
Naomba tu wakubaliane kwa amani, lkn kama UKRAINE ataendeleza ukaidi amini nakwambia hiyo miji yao itakuwa kama Mogadishu.
Hauko sawa,wanafanya jitihada za kuhakikisha mapigano yanakoma lakini lqzima wawasaidie washirika wao wajihami,huko sio kuchochea.Ila bado kuna swali binafsi najiuliza, kwanini upande wa magharibi umejikita katika "Kukokea kuni" kwenye vita hii na sio kuitafutia suluhu.
Swali langu ni kua kwanini hawataki kuwakalisha chini wayamalize kwa "Dialogue" kama anavofanya Germany, France, China, Turkey na wengineo.
Why wao kila siku ni kutuma silaha but si kutafuta suluhisho...
Lingine pia huwa najiuliza. Hivi inawezekana nchi ikavamiwa na "Wavamizi" wanaoua watu kisha itumie week 2 kuteketeza idadi ya waty waso fika ata 500?
Ukubwa wa taifa kwa akili za ki communist ni bure kabisa.nashangaa sana watanzania kujazana Ukrine!! kwenda kusoma!! hivi hata Ukrine kuna elimu bora? au kuna faida gani?! si bora wangeenda Urusi Taifa kubwa.
Sasa hiki ndio kiini hasa cha hiyo Vita.The US has been funding research on laboratory pathogens and biological weapons in Ukraine since 2005.
Judging by the document signed by the US Department of Defense and the Ministry of Health of Ukraine, $ 15 million was allocated for research in the field of bioweapons in laboratories located in Kyiv, Lvov and Odessa.
The document states that the US government has provided materials and provided training to personnel for "collaborative biological research, detection and response to biological threat agents, and improving the protection of biological materials."
Earlier, the United States recognized the presence of its biological laboratories in Ukraine.
And the Russian Ministry of Defense published documents confirming that biological weapons components were being developed in Ukrainian laboratories located near Russian territory.
View attachment 2145156
Habari hapa si Russia kuishinda Ukraine ambayo ni underdog,hapa habari ni vile Ukraine ametoa upinzani kwa Russia.Pambano la boxing kati ya Tyson na Rashid Matumla ni wazi mshindi anajulikana atakuwa nani hata kabla ya pambano,lakni Matumla akifika mpaka round ya nane bado yuko ulingoni anamsumbusa Tyson,sisi tutampongeza Matumla ambaye ni undedog.Kifupi hii vita kujua nani anampiga mwenzake angali mashirika ya Wakimbizi, Haki zq binadamu wanasema nini? Utakuwa ni ujinga kusema Russia imeziwa sana huku wananchi wanakimbia nchi na kuwa wakimbizi nchi za jirani.
Ni kweli kuwa hata Russia kuna vifaa vinaharibiwa lkn Ukweli ni kuwa Ukraine imezidiwa mnoo.
Ikumbukwe si tu kuzidiwa pamoja na misaada ya kivita anayopatiwa na nchi za USA, na washirika wake amefanya ku slowlkn wanapigika tu
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Anajifanya hana upande anaoegemea wakati ukisoma comment zake huhitaji hata kufika sentence ya tatu ushajua huyu ni Pro Russia 😀Ungeandika tu Ukraine ikubali matakwa ya Urusi vita iishe kuliko kupendekeza wakae wakati una mlengo wako[emoji16]
Yaani Ukitaja Mataifa ya Ulaya yenye Elimu Bora huwezi acha Ukraine na Uingereza...nashangaa sana watanzania kujazana Ukrine!! kwenda kusoma!! hivi hata Ukrine kuna elimu bora? au kuna faida gani?! si bora wangeenda Urusi Taifa kubwa.
Usishangae ikawa hata zaidi ya mwezi,watu waliichukulia poa sana Ukraine mwanzoni mwa huu mgogoro.
Nyie endeleeni kushabikia tu Ila mjue hicho mnachofanya ni upumbavu, Israel kuua wapelestina ni kosa, Us kuua Wa Syria Ni kosa, Urusi kuua wa Ukraine ni makosa pia Hao wote wanakufa Ni binadamu kama nyiny Imani yenu isiwatoe ufahamu kiasi hicho.ukitaka kuaminika lete facts sio porojo kutokua Muislamu kusikufanye ukachukia Waislamu huenda icho.unachokichukia ni bora kwako lkn hujui
Unampongeza mtu ambaye nchi yake inaharibiwa Kwa Ujinga wake mwenyewe!Habari hapa si Russia kuishinda Ukraine ambayo ni underdog,hapa habari ni vile Ukraine ametoa upinzani kwa Russia.Pambano la boxing kati ya Tyson na Rashid Matumla ni wazi mshindi anajulikana atakuwa nani hata kabla ya pambano,lakni Matumla akifika mpaka round ya nane bado yuko ulingoni anamsumbusa Tyson,sisi tutampongeza Matumla ambaye ni undedog.
binafsi nisinge mshauri rafiki au ndugu yangu akasome Ukrine.Yaani Ukitaja Mataifa ya Ulaya yenye Elimu Bora huwezi acha Ukraine na Uingereza...
Asilimia zaidi ya 20 Hadi 40 ya wataalaam wa IT wanatoka Ukraine
The fact that you man not know about.binafsi nisinge mshauri rafiki au ndugu yangu akasome Ukrine.
nadhani watanzania wengi walijazana huko kwa kutokana na unafuu wa ada na maisha....maana watanznia tunapenda urahisi sana huwa hatujali ubora.
Kumbuka tu Ukraine itachukua zaidi ya 10yrs kuirudisha nchi ilipokuwa. US NATO na hao UK wamekaa mbali wenzao nchi inaharibiwa. Zelencky's resistance inaiua chi yake.Usishangae ikawa hata zaidi ya mwezi,watu waliichukulia poa sana Ukraine mwanzoni mwa huu mgogoro.
Mabaharia wenzangu tuliotamani kwenda Eghaibuni huu ndio muda mzuri,,, tunaweza kuanzia na Ukrainebinafsi nisinge mshauri rafiki au ndugu yangu akasome Ukrine.
nadhani watanzania wengi walijazana huko kwa kutokana na unafuu wa ada na maisha....maana watanznia tunapenda urahisi sana huwa hatujali ubora.
Zelensky inabidi auawe!Zelenskiy signed a law allowing civilians in Ukraine to fire on Russian soldiers for a period of martial law. And you can use any personal weapon.
The document is published by the Ukrainian media and adviser to the head of the Ministry of Internal Affairs Anton Gerashchenko. He already wrote on social networks that this is “an important law that allows the civilian population to kill without consequences.”
View attachment 2145171