LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wanajeshi wengi UKRAINE wanajificha kwenye makazi ya watu na kufanya Ambush, hali hii inapelekea kuua hata watu wasiohusika. UKRAINE naona wanakuwa wagumu kuruhusu Raia wake watoke mijini hii ni kwa kujua wazi kifuatacho ni mashambulizi ya anga mfululizo.

Naomba tu wakubaliane kwa amani, lkn kama UKRAINE ataendeleza ukaidi amini nakwambia hiyo miji yao itakuwa kama Mogadishu.
Hicho kisingizio hakitawasaidia baada ya vita, uchunguzi wa mauaji unaendelea.

Screenshot_20220309-070501.png


Screenshot_20220309-070554.png
 
Ukiendelea kushabikia vita kwa kuisifia Ukraine, kuipa silaha, fahamu Ukraine inazidi bomolewa na watu kukimbia makazi na vifo, juwa Russia wanatumia nguvu kiasi na kuepusha vifo vya raia, hii inapelekea kupata hasara kubwa na kuuwa na kutekwa wanajeshi wake, Ukraine ikizidisha nguvu pia Russia wakizidisha hali haita kuwa nzuri, tuwaombee wasimamishe mapigano wazungumze, lazima wazungumze juu ya kujitanua NATO na usalama wake, lazima wazungumze juu ya majimbo mawili ya d/sky na l/ky.
 
Ila bado kuna swali binafsi najiuliza, kwanini upande wa magharibi umejikita katika "Kukokea kuni" kwenye vita hii na sio kuitafutia suluhu.

Swali langu ni kua kwanini hawataki kuwakalisha chini wayamalize kwa "Dialogue" kama anavofanya Germany, France, China, Turkey na wengineo.

Why wao kila siku ni kutuma silaha but si kutafuta suluhisho...

Lingine pia huwa najiuliza. Hivi inawezekana nchi ikavamiwa na "Wavamizi" wanaoua watu kisha itumie week 2 kuteketeza idadi ya waty waso fika ata 500?
Hauko sawa,wanafanya jitihada za kuhakikisha mapigano yanakoma lakini lqzima wawasaidie washirika wao wajihami,huko sio kuchochea.
 
The US has been funding research on laboratory pathogens and biological weapons in Ukraine since 2005.

Judging by the document signed by the US Department of Defense and the Ministry of Health of Ukraine, $ 15 million was allocated for research in the field of bioweapons in laboratories located in Kyiv, Lvov and Odessa.

The document states that the US government has provided materials and provided training to personnel for "collaborative biological research, detection and response to biological threat agents, and improving the protection of biological materials."

Earlier, the United States recognized the presence of its biological laboratories in Ukraine.

And the Russian Ministry of Defense published documents confirming that biological weapons components were being developed in Ukrainian laboratories located near Russian territory.

View attachment 2145156
Sasa hiki ndio kiini hasa cha hiyo Vita.
 
Kifupi hii vita kujua nani anampiga mwenzake angali mashirika ya Wakimbizi, Haki zq binadamu wanasema nini? Utakuwa ni ujinga kusema Russia imeziwa sana huku wananchi wanakimbia nchi na kuwa wakimbizi nchi za jirani.
Ni kweli kuwa hata Russia kuna vifaa vinaharibiwa lkn Ukweli ni kuwa Ukraine imezidiwa mnoo.
Ikumbukwe si tu kuzidiwa pamoja na misaada ya kivita anayopatiwa na nchi za USA, na washirika wake amefanya ku slowlkn wanapigika tu

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Habari hapa si Russia kuishinda Ukraine ambayo ni underdog,hapa habari ni vile Ukraine ametoa upinzani kwa Russia.Pambano la boxing kati ya Tyson na Rashid Matumla ni wazi mshindi anajulikana atakuwa nani hata kabla ya pambano,lakni Matumla akifika mpaka round ya nane bado yuko ulingoni anamsumbusa Tyson,sisi tutampongeza Matumla ambaye ni undedog.
 
Kwa mtazamo wangu Ukrine haikuwa nchi sahihi kwenda kusoma, baada ya mgogoro huu ndio nimebaini kuwa Ukrine haikuwa nchi sahihi kabisa kwa watanzania kujazana huko kwa lengo la kusoma, labda kama walikuwa wanafanya biashara.
 
nashangaa sana watanzania kujazana Ukrine!! kwenda kusoma!! hivi hata Ukrine kuna elimu bora? au kuna faida gani?! si bora wangeenda Urusi Taifa kubwa.
Yaani Ukitaja Mataifa ya Ulaya yenye Elimu Bora huwezi acha Ukraine na Uingereza...

Asilimia zaidi ya 20 Hadi 40 ya wataalaam wa IT wanatoka Ukraine
 
ukitaka kuaminika lete facts sio porojo kutokua Muislamu kusikufanye ukachukia Waislamu huenda icho.unachokichukia ni bora kwako lkn hujui
Nyie endeleeni kushabikia tu Ila mjue hicho mnachofanya ni upumbavu, Israel kuua wapelestina ni kosa, Us kuua Wa Syria Ni kosa, Urusi kuua wa Ukraine ni makosa pia Hao wote wanakufa Ni binadamu kama nyiny Imani yenu isiwatoe ufahamu kiasi hicho.
 
Habari hapa si Russia kuishinda Ukraine ambayo ni underdog,hapa habari ni vile Ukraine ametoa upinzani kwa Russia.Pambano la boxing kati ya Tyson na Rashid Matumla ni wazi mshindi anajulikana atakuwa nani hata kabla ya pambano,lakni Matumla akifika mpaka round ya nane bado yuko ulingoni anamsumbusa Tyson,sisi tutampongeza Matumla ambaye ni undedog.
Unampongeza mtu ambaye nchi yake inaharibiwa Kwa Ujinga wake mwenyewe!
Waliomuingiza mkenge wamekaa kando wanaangalia tu!
Kama huyo Comedian angeyajua haya basi asingeingia mkenge wa US na washirika wake!
 
Yaani Ukitaja Mataifa ya Ulaya yenye Elimu Bora huwezi acha Ukraine na Uingereza...

Asilimia zaidi ya 20 Hadi 40 ya wataalaam wa IT wanatoka Ukraine
binafsi nisinge mshauri rafiki au ndugu yangu akasome Ukrine.
nadhani watanzania wengi walijazana huko kwa kutokana na unafuu wa ada na maisha....maana watanznia tunapenda urahisi sana huwa hatujali ubora.
 
Hii taarifa sidhani kama ina ukweli wowote.Mleta mada tumemwomba mara kadhaa source lakini wapi.
 
binafsi nisinge mshauri rafiki au ndugu yangu akasome Ukrine.
nadhani watanzania wengi walijazana huko kwa kutokana na unafuu wa ada na maisha....maana watanznia tunapenda urahisi sana huwa hatujali ubora.
The fact that you man not know about.

Asilimia 99% program zote za Android zimewezekana kwa sababu ya Ukraine.
 
Zelenskiy signed a law allowing civilians in Ukraine to fire on Russian soldiers for a period of martial law. And you can use any personal weapon.

The document is published by the Ukrainian media and adviser to the head of the Ministry of Internal Affairs Anton Gerashchenko. He already wrote on social networks that this is “an important law that allows the civilian population to kill without consequences.”
View attachment 2145171
Zelensky inabidi auawe!
 
Back
Top Bottom