LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

atapigwa na nan sasa maaana marekani kajiweka pemben kabisa, ukraine kaamua kuachana na wamarekani! hata ivo marekani haiwezi kwenda kwenye vita kwa sababu kubwa moja tu, nchi kama russia hata kama itapoteza vita na marekani ila madhara watakaopata marekani kichumi ni makubwa sana, fikiria itakapoanza nuclear war! bomu moja tu km 100 watu hawana uhai maaana yake china atachukua sasa ile nafasi na itakua mwisho wake wa ubabe wa uchumi
 
Mabaharia wenzangu tuliotamani kwenda Eghaibuni huu ndio muda mzuri,,, tunaweza kuanzia na Ukraine
Yaani nimeshangaa na kujiuliza maswali mengi sana yaani wabongo wanafurumuka kutokea Ukrine kama nzige?!! yaani walijazana balaa!!! yaani kama vile bondeni......sauzi.
 
Uingereza imetangaza kupeleka mifumo ya air defence inayofanya kazi usiku kuiwezesha Ukraine kuzuia ndege za Urusi. Mifumo ya sasa ya Ukraine inafanya kazi vizuri mchana ila usiku kunakuwa na shida kidogo na ndipo Russia hufanya mashambulizi zaidi.

Ngumu kueleweka hii
 
Xiaomi, Oppo and Huawei have reduced the supply of smartphones to Russia by at least half, according to the Financial Times.
 
Ukrainian nationalist battalions will not be able to leave Mariupol, they will have to surrender or die, said the representative of the People's Militia of the Donetsk People's Republic, Eduard Basurin.
 
The head of counterintelligence of Ukraine was involved in the murder of the former head of the DPR Zakharchenko and planned the murder of Medvedchuk, Ukrainian MP Kiva said.
 
Toyota has no plans to leave the Russian market and close a plant in Russia, the company said in a statement.
 
Google banned the purchase of applications in the Play Market for Russian users, TASS reports.
 
Mars suspends all advertising and investments in Russia and Belarus.

The company produces bars of the same name, as well as Bounty, Milky Way, Twix, M&M's sweets, and Skittles dragees. In addition, the corporation owns Orbit and the pet food brands Pedigree, Royal Canin and Sheba.

The same decision was made by Mondelez International (Alpen Gold, Oreo, Milka, Toblerone).
 
Google said that now Russian citizens will be able to use only free content from the Play Market, TASS reports.

 
Kumbuka tu Ukraine itachukua zaidi ya 10yrs kuirudisha nchi ilipokuwa. US NATO na hao UK wamekaa mbali wenzao nchi inaharibiwa. Zelencky's resistance inaiua chi yake.
Alitakiwa amuachie mvamizi afanye anachotaka eti?! Hata Samia Suluhu hawezi kufanya uboya wa namna hiyo ukitokea uvamizi.
 
Ukrainian Foreign Minister Dmitry Kuleba in Antalya. Today there will be talks with Russian Foreign Minister Sergei Lavrov
 
The meeting of the heads of Russia and Turkey began in Antalya.

Format "no ties"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…