Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Alichokifanya Zelensky kime-justify raia wa Ukraine kushambuliwa.Hakuna tena acha raia watoke hawa ngombe wachezeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichokifanya Zelensky kime-justify raia wa Ukraine kushambuliwa.Hakuna tena acha raia watoke hawa ngombe wachezeee
Mbunge mmoja wa Uingereza amesema bungeni kwao leo kuwa Putin na Russia watapigwa na kufurushwa kama nduli Idi Amini wa Uganda alivyopigwa na kufurushwa na Tanzania.
Sijajua kwanini mbunge huyo katumia mfano huo labda ni vile Uingereza aliwahi kututawala.
Maendeleo hayana vyama!
Ukraine nae ana manyuklia kapigwa. Vita ni kama fumbo tuuuuuMfano mbaya. Idi Amini hakuwa na mabomu ya nyuklia, Putin anayo. Mwenye bomu la nyuklia hawezi kushindwa vita.
Yaani nimeshangaa na kujiuliza maswali mengi sana yaani wabongo wanafurumuka kutokea Ukrine kama nzige?!! yaani walijazana balaa!!! yaani kama vile bondeni......sauzi.Mabaharia wenzangu tuliotamani kwenda Eghaibuni huu ndio muda mzuri,,, tunaweza kuanzia na Ukraine
Alitakiwa amuachie mvamizi afanye anachotaka eti?! Hata Samia Suluhu hawezi kufanya uboya wa namna hiyo ukitokea uvamizi.Kumbuka tu Ukraine itachukua zaidi ya 10yrs kuirudisha nchi ilipokuwa. US NATO na hao UK wamekaa mbali wenzao nchi inaharibiwa. Zelencky's resistance inaiua chi yake.
Ni kiini ila bado nashangaa kwanini kuna kupuuzwa kwa vitu kama hivyo.Sasa hiki ndio kiini hasa cha hiyo Vita.