LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kipindi tunajadili we ulikuwa wapi..? Ngoma ishakolea we ndo unashituka!
Putin alipika ugali mboga wanayo waukraine,Sasa ndo anatafuta mboga.😎
 
Naomba kuuliza swali:- kwa mfano jeshi la NATO likaingia ukraine kuwasaidia kupambana na Urusi, Je urusi anaweza akatumia nuclear bombs?

Ni wakati gani nuclear weapon inatumika?
Kwa sasa na mgogoro huu sio rahizi kutumia hayo madudu ya maangamizi.
 

Kakojoe ukalale sasa. Naona umechoka.

Namuunga mkono Russia ila naona kwa hoja hii unaota.
 
Wamarekani wenzangu wa kimbiji eyo wasup man. Hahahaaa.

Nimetania kidogo hapo lakini kwakweli babu Biden na serikaliyake hawalali usingizi kwa aibu wanayo ipata huko ulaya, yani nikama Putin anawapiga wao.

Marekani ameprove Hana lolote. Hii itasaidia nchi kuingia kwenye mrengo wa Russia. Maana naye Ni mbabe haingiliwi.
 
Lengo lake ni nini hasa ni hiyo miji??
Watu wanakurupuka tu na kuchongoa midomo yao, hawajui chanzo cha haya yote. Russia sio mwenye tatizo katika hii vita.

● 2014 majimbo mawili yalijitoa katika nchi ya Ukraine, Luhansk na Donesk, yakajitangaza ni majimbo huru. Baada ya kujitoa na kujitangaza kuwa huru yalienda Moscow na kuomba msaada wa ulinzi kwa Rais Putin.

● Wakaingia mkataba wa ulinzi na Russia. Ukraine walipeleka majeshi katika miji hio week mbili zilozopita, Russia ilibidi apeleke majeshi yake kutuliza amani na ulinzi kama makubaliano yalivokua kati yake na Donesk na Luhansk. Ukraine akaanza kumshambulia msafara wake.

Putin akatoa tamko wanajeshi wa Ukraine waweke silaha chini na wajisalimishe. Wamegoma. Akaitisha mkutano UN wa dharura ili wajadili hali ya amani katika hio miji miwili wanajizungusha.

Mnataka afanye nini sasa??? Ni kuwachapa tu mpaka bukta zivuuke. Na atakaejisogeza nae anakula za uso.
 
Marekani ameprove Hana lolote. Hii itasaidia nchi kuingia kwenye mrengo wa Russia. Maana naye Ni mbabe haingiliwi.
Kwani wanaoenda mlengo wa marekani au EU huwa wanafuata nn? maana ht serbia ally mkubwa wa urusi anafight kujiunga na EU
 
Mwamba Putin ameshasema atakaeshoboka atamuoa bila mahari[emoji23]
Anazungumza Raisi wa Ukraine, Zelensky.

"Leo niliwauliza Viongozi 27 wa ulaya Kama Ukraine itakua ndani ya umoja wa NATO, Niliuliza Moja kwa moja. Kila mtu anaogopa, hawajibu Simu zangu. Na Sisi hatuogopi, Hatutaogopa chochote."

[emoji599] Ukraine’s Zelensky: “Today I asked the 27 leaders of Europe whether Ukraine will be in NATO, I asked directly. Everyone is afraid, does not answer my calls. And we are not afraid, we are not afraid of anything.”

Source: Al Jazeera news
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…