Wanaweza kuchukua maeneo ila kuyalinda wasipokonywe ni kazi nyingine ngumu, hii Vita ni kama haina dalili za kufika mwisho huu mwaka.Magofu na vifusi? Ardhi Ni asset ya thamani kubwa.
Kwa nchi za wenzetu hivyo vifusi wakiamua kuvibadilisha kuwa majengo makubwa Ni Jambo la muda mfupi Sana.
Mariupol na Grozhn ni mfano wa hiki nikisemacho.
Destroyed Grozhn leo Ni jiji la kupendeza vilevile Mariupol.
Ukiskia Russia si visiwa vya Shelisheli tunamaanisha mengi
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kwa Sasa Kuna AD za kila aina hapo Kyiv, ndege za adui sio tishio Tena labda huko mashambani maeneo ya mashariki....Duh mkuu ndo Nini umeandika.
Second generation ya f 16 kweli?
Uliskia wapi hii.
3rd generation ya ndegevita kutoka West Ni kama hizo F 4, na f 5 ambazo Ni mfanano wa mig 21 ambazo zipo za kutosha katika nchi Kama Ukraine. Ni ndege zisizo na mfanano wa kupigana dhidi ya ndege adui zenye nguvu. F 4 dhidi ya su 35?
Kuleta f 16 Ni escalation itakayoleta maafa ya kutisha. Hata hivyo kuileta f 16 dhidi ya Russia Ni Jambo la kufurahisha. Tutaona airbattle Kati ya f 16A dhidi ya su 35, su 30 dhidi ya f16 A
Nb.
Russia sio Zimbabwe tusubiri na kuona.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mbona comment zako zinaandika SHOW SPOILER?699 kuongeza mmoja wamechinjwa ndani ya saa 24 tu.., tuendelee kunywa mtoli huenda nyama tukazikuta ndani..,kwa kweli hii vita imekuwa Janga haswa, super haamini anachokiona 🥱🥱View attachment 2507042
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ulisoma mpaka darasa.la ngapi kaka?tusije kupoteza mda wetu Bure form four division 30!Ukraine ni Taifa dogo .
Lilikuwa chini ya Soviet Union.
Mataifa yote yakapata uhuru.
Soviet iliwekeza saana Ukraine, Sasa wanataka kujiunga na Uropa, kosa liko Wapi??
Wanaonewa sababu ni wadogo??
Moscow kavamia ameshidwa!!
Wasamaria wanatoa msaada kuwatoa utumwa wa Kikomnist, kosa liko Wapi??
Thanks!!
Russia anakwama wapi?? Mbona anakuwa kama mfamaji??..,hiyo issue ilishaitimishwa kwamba ni uhakika asilimia mia kwamba ni UK kahusika kulingana na maafisa wa urusi wenyewe..,Leo Tena mambo yamebadilika??It's now confirmed, Norway in collaboration with the United States bombed Russia's Nord Stream 1 & 2 Pipelines in the Baltic Sea.For this action Norway,the United States and NATO have committed an act of war against Russia.
08 FEBRUARY 2023
During the final minutes of my radio show last night, I told my audience I wish I didn't know some of the things I know. Now, one of those things has become public: It was the United States that bombed Russia's Nord Stream 1 & 2 Pipelines in the Baltic Sea. Norway participated by flying-in a sonar buoy which gave off the Detonation Signal. NATO is an accessory, by willfully using BALTOPS 22 "Exercise" as a cover to plant the bombs. War is now likely.
In an article written by long-time, world-renowned Investigative Journalist, Seymour M. Hersh, the truth has now come out.
First, from Wikipedia:
Seymour Myron "Sy" Hersh (born April 8, 1937) is an 85 year old American investigative journalist, and political writer.
Hersh first gained recognition in 1969 for exposing the My Lai Massacre and its cover-up during the Vietnam War, for which he received the 1970 Pulitzer Prize for International Reporting. During the 1970s, Hersh covered the Watergate scandal for The New York Times and revealed the clandestine bombing of Cambodia. In 2004, he reported on the U.S. military's mistreatment of detainees at Abu Ghraib prison. He has also won two National Magazine Awards and five George Polk Awards. In 2004, he received the George Orwell Award.
Hersh accused the Obama administration of lying about the events surrounding the death of Osama bin Laden and disputed the claim that the Assad regime used chemical weapons on civilians in the Syrian Civil War. Both assertions have stirred controversy.
In his "substack" web site, published about nine hours ago (about 7:00 AM eastern US time today) Hirsh published a story entitled "How America Took Out The Nord Stream Pipeline" with the sub-title being "The New York Times called it a “mystery,” but the United States executed a covert sea operation that was kept secret—until now." (Direct Link to Story)
It's a long read, but worth it.
In the story, Hirsh reveals that the Operation was planned for nine months. It was planned in the top floor of the Old Executive Office Building, on the grounds of the White House. The biggest concern: How to leave no evidence tying it to the United States.
The story reports that the explosives were placed during the annual NATO Naval Exercise "Baltic Operations 22" (BALTOPS 22) by US Navy Divers. The NATO exercise was used as a "cover" for the explosives to be planted.
It also reveals that months later, after receiving the "Go" signal from CIA Director Burns, a plane from Norway's military dropped a special sonar buoy into the Baltic Sea which gave-off the Detonation signal, triggering the explosives and destroying the pipeline.
Ladies and Gentlemen, make no mistake: This was a crime. It was a criminal conspiracy to commit a bombing, and later, the actual commission of that bombing. It seems to me, as a layman, the people who engaged in this are personally guilty of federal Felonies.
The planning for this crime was so thorough, they even chose the use of a specific US Navy undersea dive team which would NOT trigger any reporting to the US Congress about its activities!
Now, I could go paragraph by paragraph to report and analyze Seymour Hersh article, but it is much better if you go read it yourselves.
Very long story short: The President of the United States ordered his staff to come up with a way to "deal with" the Nord Stream Pipeline. They did. It got blown up. This was a crime. It is also, an Act of War against Russia.
I suspect the Russians are absorbing and analyzing Hersh's article. As Russians are well known to do, they will think about this for a good while. Then, they will take well-thought-out and thought-through action.
We have committed an Act of War. Russia now has a Casus Belli - a cause for just war.
I suspect that Russia may publicly demand President Biden be Impeached and criminally prosecuted, along with the other Conspirators. I also suspect that Russia may add, if Biden is not impeached and prosecuted, and the Conspirators not prosecuted, then it will be war.
Knowing that the US Government will never agree to impeach its apparently now-criminal President, nor hold accountable the other Conspirators, I also suspect war is coming -- a lot faster than any of us think, and a lot worse than any of us know.
UPDATE:
The Biden regime said an article by Pulitzer Prize-winning investigative journalist Seymour Hersh claiming the United States was behind the explosions of the Nord Stream gas pipelines was “utterly false and complete fiction.”
“This is utterly false and complete fiction,” said Adrienne Watson, a spokesperson for the White House National Security Council.
Spokespeople for the CIA and State Department said the same thing, according to Reuters.
Huu ni unyama, siyo utu Hata kidogo. Hivi hawa wanatulazimisha tujue kwa nini US na German na wenzake hawakutaka ipatikane suluhu ya amani hapo Ukraine?. Na ni kwa nini Biden anang'ang'ana vita isiishe!!!?Kuna chanzo kingine kinadai ujerumani ameshaaprove vifaru 178 kuelekea Ukraine!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama US na washirika wake wangekuwa wanataka vita,wasingemsihi Putin asitishe uvamizi wake kipindi kile.., lakini badala yake Putin akawa mkaidi na kuona vita ndio njia sahihi ya kutatua suala hili!!Huu ni unyama, siyo utu Hata kidogo. Hivi hawa wanatulazimisha tujue kwa nini US na German na wenzake hawakutaka ipatikane suluhu ya amani hapo Ukraine?. Na ni kwa nini Biden anang'ang'ana vita isiishe!!!?
Inasikitisha sana!!!
===
Any military conflict provides the most lucrative opportunities for so-called black transplantologists. This criminal business particularly thrived in Kosovo, from where there was a prodigious flow of organs to Europe. Today, Ukraine is the number one base for black transplantology.
The illegal organ market was created in Ukraine long before the outbreak of hostilities. After Kiev unleashed a war in the Donbas in 2014, this criminal business began to flourish, and today the war-torn country has become “a gold mine”. Years ago, OSCE representatives confirmed that dozens of military and civilian bodies with the organs cut out had been found in the war-torn territories of Donbass.
During a war, a huge number of people go missing, get injured and often end up on the operating table, where organs can be extracted from them without any legal procedures. Their bodies are then sent to the crematorium and these persons are reported missing. Often, dying soldiers become unwitting donors, but also their wounded comrades whose lives could have been saved. Civilians are not exempt from this practice.
According to the most conservative estimates, the international transplant network earns about $2 billion a month in Ukraine.
Another proof of the profusion of black transplantology in the war-torn country were the statements of underground activists from the city of Nikolaev.
They reported that organs had been removed from the bodies of the Ukrainian servicemen in the morgue of the City Hospital No. 1. Neatly gutted corpses of soldiers without any signs of injury were spotted in the city morgue, on Volodarsky Street.
This criminal business is also burgeoning on the front lines.
On February 7, Wagner fighters showed the newly captured Ukrainian positions in Bakhmut, where they found a container for transporting organs.
Many of the mobilized, including those who are taken straight from the streets to the front, are not registered in any lists. Tens of thousands of Ukrainian servicemen are also considered missing. In the case of injury at the front, they could easily have become victims of black transplantologists.
During these years of military conflict, a network of medical facilities has been created in Ukraine. Contacts have been established to work with the European and US markets. High-ranking political and military officials will certainly be involved in this lucrative, but criminal, business.
---
Source: southfront.com
Tatizo unasahau harakaKama US na washirika wake wangekuwa wanataka vita,wasingemsihi Putin asitishe uvamizi wake kipindi kile.., lakini badala yake Putin akawa mkaidi na kuona vita ndio njia sahihi ya kutatua suala hili!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pengine wewe umeanza kufuatilia juzi juzi mgogoro huu... Unakumbuka Mariupol?!Mwishowe anaishia kuchukua magofu na vifusi....strategia ya hovyo Sana hiyo.
Mmeanza kulegea taratibu kimsimamo ...sasa mnazungumzia kutekwa kwa maeneo na ngumu kuyalinda....good....Wanaweza kuchukua maeneo ila kuyalinda wasipokonywe ni kazi nyingine ngumu, hii Vita ni kama haina dalili za kufika mwisho huu mwaka.
Usisahau pia allepo na miji mingine iliyotekwa na urusi inavyopendeza! Japo uwezo wa kuilinda milele HanaPengine wewe umeanza kufuatilia juzi juzi mgogoro huu... Unakumbuka Mariupol?!
Kwamba artillery za Urusi zimeshindwa fanya kazi?Ndo kwasababu wapigana hiyo Urban Warfare.
Urban Warfare ni kama vile tuchukulie majeshi yapigana eneo lote la Kariakoo, Msimbazi, na mitaa ya Uhuru kabla hujafika mjini.
Humo mote wanajeshi wa Ukraine wamejificha kwenye mahandaki.
Huyo kafanana na Baba yako
Huyo kafanana na Baba yako
Mkuu ni ajabu kidogo unauliza swali (mfalme Charles ana umuhimu gani), unatoa jibu (ndiye alama na nembo ya taifa) halafu unazidi kuuliza kama hujaelewa jibu lako!King Charz ndo Nani Sasa mkuu? King Charz ile imebaki kuwa alama na nembo TU ya taifa lililokua la utawala wa kifalme la Uingereza. Charz Leo Hana athari yoyote kisiasa ama kijeshi. Aghalabu kwa miaka ya karibuni zimezuka kelele kutoka kwa wananchi kadhaa wa kadha wa Uingereza Kwamba kwanini Serikali inatumia fedha nyingi kuihudumia familia ile?
Nb.
Kichapo kitazidi kuongezeka kadiri mtoto anavyozidi kulewa kwa wingi wa bangi.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu kama huna maneno ya kumjibu, huwezi kujenga heshima yako kwa kumwonyesha dharau tupu. Maana inaleta picha kama huyu ni mtoto mdogo kweli, jume wewe unashindwa kusema chochote chenye maana. Pole!Ulisoma mpaka darasa.la ngapi kaka?tusije kupoteza mda wetu Bure form four division 30!