Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

mkuu tulia! Hii lugha ya ushoga
1) haina kazi kabisa katika habari hizo za vita. Marafiki wa Putin wanataka tu kuchochea watu dhidi ya Ukraine na "magharibi" kwa kudai eti hao wanatawaliwa na "mashoga" hivyo watu wazuri labda wanapaswa kuwapinga. Bila kujali ukweli au hali halisi.
2) hao wanaoitwa "mashoga" wako kila nchi ya dunia, hata TZ au wapi. Wanaweza kujificha nchi fulani au kutembea wazi nchi nyingine kutegemeana na mazingira. Wako takriban asilima 2-3 za binadamu kote. Hivyo hao ni sehemu tofauti ya uumbaji wa Mungu, sawa na watu waliozaliwa vipofu, wenye mguu mmoja, au wanaokosa mkono tangu kuzaliwa. Wasipoudhi watu wengine hawana madhara wanastahili heshima kama kila binadamu (na sawa na watu walio "kawaida" wanapaswa kudharauliwa na kuadhibiwa wakishambulia watoto au watu wasioweza kuwazuia)
3) Kwa hiyo bila shaka washoga Warusi wanaonekana kwa sababu Zanzibar siku hizi ni kati ya mahali pachache dunianini ambako Warusi wanaweza kufika. Kati wa watalii 1000 lazima wako 20-40 na kwa sababu Zanzibar tabia hizo zinafichwa, basi wanaonekana sana!
Ila usikate tamaa, zile 2-3% za washoga Warusi si tofauti na umati huohuo wa Watanzania, Wakongo, Waingereza, Waafrika Kusini au Waukraine.
Sasa pro Russia wakishindwa hoja utasikia "Nyie mashoga""au pro Russia ni vijana wa kihuni wasiojua maana midahalo na hoja za kisomi????Mbona wanapenda sana kutumia lugha za matusi????
 
Bennett said that after the start of the special operation in Ukraine, Zelensky asked him to contact the Russian president.

After talking with Putin, Bennet called Zelensky, who was hiding in a bunker, and gave him the contents of the conversation with the Russian leader:
 
Mjomba prigozhin hafurahishwi na vita ya kukimbia, 😛 😛 😛 ....hamu yake awamalize wanazi wote kwa bunduki



AFU in Artemovsk (Bakhmut) are not retreating anywhere, they are fighting to the last - Evgeny Prigozhin "I'm clarifying the situation. The Armed Forces of Ukraine are not retreating anywhere. The Armed Forces of Ukraine are fighting to the last.”
 
Evgeny Prigozhin
In the northern quarters of Bakhmut, there are fierce battles for every street, every house, every stairwell. Of course, it's nice that the media want the retreat of the AFU but this does not happen in the northern quarters, neither in the south nor in the east
1675585690877.png
 
Mjomba prigozhin hafurahishwi na vita ya kukimbia, [emoji14] [emoji14] [emoji14] ....hamu yake awamalize wanazi wote kwa bunduki



AFU in Artemovsk (Bakhmut) are not retreating anywhere, they are fighting to the last - Evgeny Prigozhin "I'm clarifying the situation. The Armed Forces of Ukraine are not retreating anywhere. The Armed Forces of Ukraine are fighting to the last.”
safii.,Kazi nzuri sana.. ndivyo inavyotakiwa ,unapigania nchi yako mpaka tone la mwisho la damu..,hii kauli aliwahi kuitoa ghadafi "" nitapigana nao mpaka tone la mwisho la damu "

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
699 kuongeza mmoja wamechinjwa ndani ya saa 24 tu.., tuendelee kunywa mtoli huenda nyama tukazikuta ndani..,kwa kweli hii vita imekuwa Janga haswa, super haamini anachokiona 🥱🥱
1675586380471.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu claims to have found a compromise with Russian President Vladimir Putin on interests in the Middle East. According to the prime minister, Iran wants to create an "army" and deploy it in Syria near the Israeli border.
 
It is Iran that wants not only to create nuclear weapons to destroy us, but also to endanger us.

I told Putin: “Look, we have a choice: we can go to a confrontation or we can find a common language.We do not interfere with your actions in Syria, and you leave us alone”
 
We have found a compromise that serves the interests of Israel, and therefore Putin thinks that this does not threaten Russian interests.

We decided to leave each other alone, each his side," the prime minister told the French television channel LCI.
 
A recent British intelligence bulletin admits that the M03 and H32 highways leading to Bakhmut are already under fire from Russian forces, which continue to slowly move forward. It is summarized that the "isolation" of Bakhmut is growing rapidly
photo1675580241.jpeg
 
Back
Top Bottom