Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Watoto wa kichina wanachezea mapulizo yao Marekani anashikwa na kiwewe 😂😂😂
Screenshot_20230204-212710.png
 
- Tangu Tanzania imeanza kupata misaada kutoka Western, ni lini mlinyimwa totally misaada ya kifedha kutokana na kutounga mkono ushoga?
-ni Lini sheria yetu ya Ndoa ilifanyiwa marekebisho kuruhusu ndoa za jinsia Moja kama sharti la kupata mkopo kutoka Western?
  • Ni Lini Penal Code/ Kanuni ya adhabu ilifanyiwa marekebisho kuruhusu kulawiti? Kama hujui Kwenye hiyo sheria ya penal Code kulawiti ni kosa lenye adhabu ya Life imprisonment, lakini bado WESTERN wamekuwa wakitoa misaada licha ya Vitendo vya ulawiti kuharamishwa Kwa adhabu Kali,
  • Muende China ww kama nani? Serikali Yako bado Iko na Western na Washirika wake Kwa kiwango kikubwa, ndio maana unaona huko Mtaani Magari ya JICA, UK-AID,USAID,PEPFAR,SIDA,DANIDA,nk nk
Kunyimwa totally ndio lugha gani ulitakiwa uulize lini waliwahi kunyimwa ama kutishiwa kunyimwa kwasababu ya ushoga na usagaji

Western watuache hatutaki kuoana juma na john au asha na jeny

RUSSIA kamatia hapo hapo !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Western watuache hatutaki kuoana juma na john au asha na jeny
Mkuu umechanganyikiwa? Maana unachangaya ndoa ya ushoga (ambayo jnsi ninavyosikia ni shoga 1 kwa shoga 1) na ndoa ya wengi?
Wewe unataka kuoa au kuolewa na wawili???
Yaani juma PAMOJA NA john au asha PAMOJA NA jeny ???
(je au WOTE WANNE kwa pamoja ?????)
Bwana, unazidisha kweli!
Utawale tamaa zako !!!
 
Bakhmut (Artemivsk) will not be surrendered; we will fight as long as we can. — Zelensky "There will be no withdrawal of Ukrainian troops from the city," he said at a press conference after the Ukraine-EU summit.
[emoji23][emoji16][emoji23]
BAKHMUT ishaanguka nisuala la muda tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunyimwa totally ndio lugha gani ulitakiwa uulize lini waliwahi kunyimwa ama kutishiwa kunyimwa kwasababu ya ushoga na usagaji

Western watuache hatutaki kuoana juma na john au asha na jeny

RUSSIA kamatia hapo hapo !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
- Hakuna kumbukumbu zinazoonyesha tuliwahi kunyimwa Misaada Kwa sababu ya kukataa ushoga Kama una hizo kumbukumbu zilete tujue
-Unasema Western wawaache wakati Ndio kwanza serikali yenu unazidi kukopa mabilioni Kutoka kwao, na kufaidi miradi yao.
 
Kama masharti yenyewe ya western nikutaka kutufanya mashoga bora twende eastern

UCHINA hakulazmishi unaingia makubaliano kwakupenda kwako ukichemka lazma ugharamie kushindwa kwako

East ndio upande sahihi hautulamishi kulana jinsia moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, labda utafute kwenye kamusi neno hili "mantiki"??
yaani China ushoga ni halali kabisa - Je umelazimishwa kwenda huko ukitumia bidhaa za China?
Huko Ulaya ushoga ni halali kabisa - je ulilazimishwa kuelekea huko wakati shule yako ilifadhiliwa kwa pesa ya Ulaya au Marekani?? (hakika ilifadhiliwa nao kupitia bajeti ya kitaifa!!!)
Je ulilazimishwa kwenda Ushoga wakati unapigania debe Urusi, ilhali Urusi ilifuta zamani ushoga katika kitabu cha sheria??

Kwa hiyo: ni nini inayokuudhi?? Sema tu, tuko tayari kukusaidia!
 
Nadhani theory ya "our man behind enemy line" inaweza kuanza kuwa proven!!!
===
French President Emmanuel Macron’s phone calls with his Russian counterpart, Vladimir Putin, mainly took place “at the request of President Zelensky” of Ukraine, a spokeswoman for the French Foreign Ministry stated on Saturday.
 
"Maana yake alipelekwa kwenye mapigano bila kufundishwa (labda siku 2 kujifunza amri na kutofautisha mbele na nyuma ya bunduki)."

"Waukraine wanatoa taarifa mara kwa mara kwamba hao mamluki wa Wagner wanatumwa mbele bila usalama au tahadhari wowote."

Zelensky "Situation in Bakhmut very difficult"

Unapigana na watu wasio na mafunzo na bado unalalamika situation is difficult. Vipi wakiletwa wenye mafunzo!? Nafkiri kupelekewa askari wasio na training hapo bakhmut ni advantage kwao (Ukraine) inakuwaje wao ndio wanacomplain!? Ina maana wanataka waletewe wenye mafunzo!?

Unapambana na watu waliojifunza amri na kujua nyuma na mbele ya bunduki tu ndani ya siku mbili alafu unashindwa how come!?

Ukraine is considering retreating from Bakhmut (formerly Artemovsk), according to Ukrainian military personnel cited in The Washington Post, in order to save manpower and supplies in anticipation of a counteroffensive elsewhere.

Unataka kukimbia adui asiye na mafunzo kwa nini!? Au ni wewe ndio hauna mafunzo unasingizia adui!?

Alafu ulivyompropagandist angalia tamshi zako

"Kila jeshi duniani inafundisha askari wapya angalau miezi 2 hadi 3. Ila ukipata watu ambao hutaki warudi, basi unawatumia kama Wagner"

'Kila jeshi... kama wagner...', sasa Wagner ni jeshi!? Unaweza kutuonesha kwa ushahidi kuwa JESHI la urusi lina askari wasio na mafunzo!?

Hao Wagner (wasio na mafunzo) wameichukua Soledar iliyokuwa inalindwa na brigedy kibao za Ukraine (wenye mafunzo ya hali ya juu). Tena wako karibu kuichukua Bakhmut na wenye mafunzo wanaangalia mpango wa kurudi nyuma

achana na propaganda za bei rahisi
Huyu umshana nilimla ban hana lolote analolijua yaani

PMC analiita jeshi halaf halina mafunzo ila watu wanalalama huko field


Kuna muda munapata shida kupigishana kelele na hao viumbe

Ila nakuhakikishia hata kuelewa MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujaelewa claims za Russia juu ya guarantees Ilizopewa Soviet,eti kwasababu Soviet ilivunjika hizo guarantees haziapply Tena Kwa Russia!
Ndio maana Russia amechukua pre emptive measures kudeal na security threat aliyoiona inakuja!
Hoja hapa sio nani kamtafuta nani,maana hayo hufanywa sirini na huwezi kujua hilo!
Hoja hapa ni NATO kujitanua kuizunguka Urusi!
Kwa kuangalia historia ya Urusi na US,hakuna mmojawapo anayetaka mwenzake awe na base ya kijeshi Karibu yake!
US anaitumia NATO for its own interests!
Ndio maana Macron aliwahi pendekeze EU iwe na Jeshi lake!
@umshana niliishampiga ban muda sana maana hana hoja ama kama anazo zakitoto sana

Anakwambia mwaka 1970s RUSSIA ilisaini mkataba gani cjui

Huyu wakubishana nae nini sasa wakati hajui hata kama RUSSIA haikuepo kabla ya 1990s

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu umshana nilimla ban hana lolote analolijua yaani

PMC analiita jeshi halaf halina mafunzo ila watu wanalalama huko field


Kuna muda munapata shida kupigishana kelele na hao viumbe

Ila nakuhakikishia hata kuelewa MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu je uko mzima?
Maana lugha yako gumu kidogo. Kuna kitu unachotaka kusema?
Kimsingi naona: kutuma askari field bila mafunzo ni dharau.
Ila kama ni wafungwa kutoka jela au Waafrika unakubali dharau?
Huyu Tarimo kijana wa Tanzania alitupwa field kama taka.

Sijui jeshi lolote linalowajibika ambalo halifundishi askari angalau miezi 2 au 3.
(Ukiona tofauti - taja!)
 
- Hakuna kumbukumbu zinazoonyesha tuliwahi kunyimwa Misaada Kwa sababu ya kukataa ushoga Kama una hizo kumbukumbu zilete tujue
-Unasema Western wawaache wakati Ndio kwanza serikali yenu unazidi kukopa mabilioni Kutoka kwao, na kufaidi miradi yao.
East ndio upande sahihi tuungane nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom