Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu, ulipiga makele kuhusu NATO kuvunja makubaliano na Urusi. Ambayo si kweli. Nionyesha ni kipengele gani katika makubaliano nilyotaja kilichovunjwa na NATO. Usisema, taja kifungo, tukio, tarehe. Na imi nimekuonyesha sehemu ya Section One ya makubaliano Founding Act on Mutual Relations, Cooperation and Security ni kuheshimu mipaka ya nchi zote za Ulaya. Imevunjwa na Urusi kwa kuvamia Georgia na Ukraine kinyume cha kanuni za Umoja wa Mataifa na OSCE.
Sasa onyeshe wewe. Kile unachoita upanuzi wa NATO ni kinyume cha mapatano gani???
Sasa mdogo wangu!! Unataka vitu vyote viwekwe kwenye google? Unazijua classified information?
 
Nchi inaogopa puto afu ndio Ukraine anaitegemea 🤣🤣🤣🤣pulizo limefanya vitengo vyote vya usa vichanganyikiwe 😂😂😂afu kumbe Ni la mtoto
Shangaa na Mwamba Huyu hapa Kaja nalo
IMG_20230204_122612.jpg
 
Mungu Aendelee kukupa Afya Mwamba

🇷🇺 | "You cross the red line, we will have no option to attack, we will do everything to protect our country and its people. We know the plans by the West to destroy Russia, our language, culture, tradition and Power, we won't allow it " ~ Vladimir Putin

Isukile! 🔥
 
Nimeona sasa data za yule Nemes Tarimo aliyejiunga na Wagner ili atoke gerezani huko Urusi. Tarehe 17 Oktoba alipiga simu kwa familia yake Tanzani kuwaambia ametoka gerezani kwa kujiunga na Wagner. Tarehe 24 Oktoba alikufa huko Bakhmut.
Maana yake alipelekwa kwenye mapigano bila kufundishwa
(labda siku 2 kujifunza amri na kutofautisha mbele na nyuma ya bunduki).
Hii inaonyesha jinsi gani wanatendea hao mamluki kwa dharau. Waukraine wanatoa taarifa mara kwa mara kwamba hao mamluki wa Wagner wanatumwa mbele bila usalama au tahadhari wowote. Inaonekana wanatazamiwa kama shabaha tu wanaopelekwa mbele ili kuwachosha Waukraine na kupunguza akiba yao ya risasi. Hapo siri wanakufa tu maelfu, viongozi wao wanakaa nyuma na kuwatazama kwa kamera za droni. .
Kila jeshi duniani inafundisha askari wapya angalau miezi 2 hadi 3. Ila ukipata watu ambao hutaki warudi, basi unawatumia kama Wagner.
Pole kijana Tarimo aliyetazamiwa kama takataka hai anayefaa tu kumeza risasi.
"Maana yake alipelekwa kwenye mapigano bila kufundishwa (labda siku 2 kujifunza amri na kutofautisha mbele na nyuma ya bunduki)."

"Waukraine wanatoa taarifa mara kwa mara kwamba hao mamluki wa Wagner wanatumwa mbele bila usalama au tahadhari wowote."

Zelensky "Situation in Bakhmut very difficult"

Unapigana na watu wasio na mafunzo na bado unalalamika situation is difficult. Vipi wakiletwa wenye mafunzo!? Nafkiri kupelekewa askari wasio na training hapo bakhmut ni advantage kwao (Ukraine) inakuwaje wao ndio wanacomplain!? Ina maana wanataka waletewe wenye mafunzo!?

Unapambana na watu waliojifunza amri na kujua nyuma na mbele ya bunduki tu ndani ya siku mbili alafu unashindwa how come!?

Ukraine is considering retreating from Bakhmut (formerly Artemovsk), according to Ukrainian military personnel cited in The Washington Post, in order to save manpower and supplies in anticipation of a counteroffensive elsewhere.

Unataka kukimbia adui asiye na mafunzo kwa nini!? Au ni wewe ndio hauna mafunzo unasingizia adui!?

Alafu ulivyompropagandist angalia tamshi zako

"Kila jeshi duniani inafundisha askari wapya angalau miezi 2 hadi 3. Ila ukipata watu ambao hutaki warudi, basi unawatumia kama Wagner"

'Kila jeshi... kama wagner...', sasa Wagner ni jeshi!? Unaweza kutuonesha kwa ushahidi kuwa JESHI la urusi lina askari wasio na mafunzo!?

Hao Wagner (wasio na mafunzo) wameichukua Soledar iliyokuwa inalindwa na brigedy kibao za Ukraine (wenye mafunzo ya hali ya juu). Tena wako karibu kuichukua Bakhmut na wenye mafunzo wanaangalia mpango wa kurudi nyuma

achana na propaganda za bei rahisi
 
Victory is inevitable!Kalia takwimu za mchongo huku wagner wanazidi kusonga Mbele!

Mpaka sasa kwa Ukraine wanfurahia victory maana Urusi tuliyokua tunaijua tulitegemea ichukue Ukraine kwa wiki moja, imeishia kugombea kamji ka chumvi na kupoteza wanajeshi mara nne ya JWTZ.
hao mateja walioswagwa kwenda kupigana hawana jipya.
 
Nimekuuliza swali naona unalikwepa ngoja nirudie. Unazijua classified information?
Unajaribu kujiingiza katika majadiliano yanayoendelea na sasa unalialia wapi majibu kwa swali lako. Hata ukilia kama mtoto huna kazi ya kuingilia katika majadaliano kama huna cha kuchangia. Soma yale tuliyojadili halafu changia,
Menginevyo si shauri lako ninachojua au kutojua, sivyo? (hakika tu wewe huna "classified information" )
 
Nimeona sasa data za yule Nemes Tarimo aliyejiunga na Wagner ili atoke gerezani huko Urusi. Tarehe 17 Oktoba alipiga simu kwa familia yake Tanzani kuwaambia ametoka gerezani kwa kujiunga na Wagner. Tarehe 24 Oktoba alikufa huko Bakhmut.
Maana yake alipelekwa kwenye mapigano bila kufundishwa
(labda siku 2 kujifunza amri na kutofautisha mbele na nyuma ya bunduki).
Hii inaonyesha jinsi gani wanatendea hao mamluki kwa dharau. Waukraine wanatoa taarifa mara kwa mara kwamba hao mamluki wa Wagner wanatumwa mbele bila usalama au tahadhari wowote. Inaonekana wanatazamiwa kama shabaha tu wanaopelekwa mbele ili kuwachosha Waukraine na kupunguza akiba yao ya risasi. Hapo siri wanakufa tu maelfu, viongozi wao wanakaa nyuma na kuwatazama kwa kamera za droni. .
Kila jeshi duniani inafundisha askari wapya angalau miezi 2 hadi 3. Ila ukipata watu ambao hutaki warudi, basi unawatumia kama Wagner.
Pole kijana Tarimo aliyetazamiwa kama takataka hai anayefaa tu kumeza risasi.
Taarifa unatoa wap mbona familia inasema haijui kama ndugu yao alifungwa [emoji2357]
 
Back
Top Bottom