Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

- twende kwenye value ya miradi, na wellbeing ya miradi hapa Tanzania, kuanzia US AID,UK AID,MCC,JICA,KOICA,SIDA,DANIDA,EU, hiyo miradi yote ni ya US na Washirika wake, hebu tutajie Mashirika ya Russia and it's allies yalioyopo hapa Tanzania yanayotoa misaada hapa Tanzania kwenye aspects tofauti, health nk

Hiyo misaada mnapewa bure?? Mtoto wa kiume kupenda vya bure kunatia shaka sana. Africa kuja kuendelea tusahau kwa vision za vijana kama hawa “ brain washed”
 
Ukipiga mabomu mwisho wa siku lazima utataka kusonga mbele na hapo utahitaji kuwapeleka binadamu na ndio wanaliwa kweli kweli, Urusi wameishiwa mpaka wameokoteza mateja, na sasa hali mbaya maana vijana wengi wameikimbia nchi.
Hizi kauli za rejareja hazibadili kitu!Aliyeishiwa ni Ukraine ambaye anakamata watu mtaani Kwa nguvu na kuwapeleka Frontline wakapambane!
Urusi Bado moto ni uleule!

Endeleeni na hizi porojo mwisho wa siku Ukraine ijayo itakuwa ya wanawake watupu!
 
Wanaokamatwa mtaani ni Warusi, tumeshuhudia humu namna hiyo mobilization imekusanya mateja, vijana wameikimbia nchi imebaki ukiwa, yote hii ni baada ya jshi rasmi kufyekwa mbaya sana.
 
Hiyo misaada mnapewa bure?? Mtoto wa kiume kupenda vya bure kunatia shaka sana. Africa kuja kuendelea tusahau kwa vision za vijana kama hawa “ brain washed”
  • kwani huko China misaada mnapewa bure? Si ndio wanaoongoza kwa kuchukua resources za nchi mbalimbali kwa mikopo yao yenye masharti ya kihuni au hujui?
  • Mnapenda Sana kwenda East, China nk, Kwa sababu China wao hawaulizi au hawawekei masharti ya Kufuata/ Kuheshimu haki za binadamu nk kama kigezo cha kupata mkopo.
  • Ww mwenye vision, Kagombee urais uonyeshe vision zako, na tena kwa Katiba hii hata Rais awe nani maendeleo ni vigumu Sana kupata, unless tuanze kumfunga mkanda/ Kubana matumizi ya serikali kuanzia Rais, Hadi Viongozi wengine wote wanaoishi kwa anasa,
 
  • hiyo CPA ninayo, na Hadi CISA ni ninayo, nime escalate Hadi kwenye msc in finance
  • Kwa hiyo ukiwa CPA ndiyo elementary Legal skills unakuwa huna kabisa?
  • mzembe kabisa akili isha haribika Kwa kununua Malaya, mtafute Mshana Jr akupe Tiba.
It ain't necessary at all that is why we hire advocates, lawyers and law firms

You brag with MSc in finance and CISA lol!😅

Once you become a certified CISSP atleast we can sit and talk together

Let's not spoil the purpose of the thread lets go jukwaa la elimu
 
Sisi hatushabikii Urusi, Urusi ana haki ya Kujilinda dhidi ya maadui zake..wewe unaweza kuhamia mtaa anaoishi Ex wa Mkeo?? wakiamua kukumbushia utafanyaje?? Urusi inatusaidia sote kukomesha uonevu mkubwa unaofanywa na hilo kundi la mashoga...

Mkuu naona ni vigumu kuelewa picha yako dunia unapata namna gani.
Mtu ana haki ya kujilinda kwa kuvunja nyumba ya jirani yake? Wapi`? Kwa haki gani?

Majadiliano hayo tunasoma barani Afrika ambako kila nchi ina mipaka iliyochorwa na wakoloni , mara nyingi bila kujali maslahi ya wenyeji ambao wanagawanyika na mipaka hiyo.
Waza tu kwamba angejitokeza mwanasiasa kichaa upande wa Kenya anayetaka kuliberate Wajaluo waliopo upande wa Tanzania ? Tungepata balaa gani?

(mambo yako ya mashoga - basi usisahau Urusi iliondoa sheria dhidi ya ushoga iliyokuwepo awali...)
 
Ebu tuwekee source za information zako maana unakuwa kama unaleta story za kwenye kahawa hapa. No research,no right to speak! Have a big picture not just talking just because you have a tongue
Mkuu, mbnona Munjombe alileta habari zianzojulikana? Unaonaje, ukitaka kupinga utafue mwenyewe habari unazotafuta?
No research,no right to speak!
 
Wanaokamatwa mtaani ni Warusi, tumeshuhudia humu namna hiyo mobilization imekusanya mateja, vijana wameikimbia nchi imebaki ukiwa, yote hii ni baada ya jshi rasmi kufyekwa mbaya sana.
Hahahaaaa, mobilization Ilikuwa hiari,watu walioondoka ni wale wenye roho nyepesi Tena wachache!
Na wengi wao tayari wamesharudi Urusi!
Sasa Nyie komaeni kwamba jeshi rasmi limefyekwa wakati Wagner wanawatembezea moto!
Russia Aliingiza full force ndio mtajua hamjui!
Zele alikuwa anatoa data fake Hadi alipoumbuliwa na wanaompa silaha Kwa kusema zaidi ya wajeda laki weshafyekwa!
Endelea kushupaza shingo!
 
839 kuongeza mmoja wamechinjwa ndani ya saa 24 tu.., ndio maana Putin haishi kulalamika kwamba anapigana na wanazi..,hiki kipigo sio Cha kawaida hasa inapotokea kwa jeshi hambalo tuliaminishwa kwamba ni mahili miaka nenda Rudi
1675414888281.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naona ni vigumu kuelewa picha yako dunia unapata namna gani.
Mtu ana haki ya kujilinda kwa kuvunja nyumba ya jirani yake? Wapi`? Kwa haki gani?
Majadiliano hayo tunasoma barani Afrika ambako kila nchi ina mipaka iliyochorwa na wakoloni , mara nyingi bila kujali maslahi ya wenyeji ambao wanagawanyika na mipaka hiyo.
Waza tu kwamba angejitokeza mwanasiasa kichaa upande wa Kenya anayetaka kuliberate Wajaluo waliopo upande wa Tanzania ? Tungepata balaa gani?

(mambo yako ya mashoga - basi usisahau Urusi iliondoa sheria dhidi ya ushoga iliyokuwepo awali...)
Unajua Cuban missile crisis?Msiongee tu maneno ya rejareja!
 
Alie kwambia mrusi pale Ukrein ni mgeni ni nani?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Tena mizoga yao imekua mbolea kwenye nchi ya watu.....
Muungano ukishavunjika ndio basi, hata hapo Bongo siku mtajichanganya kuvunja hako kamuungano ndio muisahau Zenji hivyo, kuvuka maji lazima visa hata kama mnaongea lugha moja na kushiriki vinasaba.

Waulize Wamaasai wa pande zote mbili ilivyo mpakani...
 
Back
Top Bottom