Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haujafikia level ya kuelewa maana matakbir wote mumeshikiliwa akili...
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati unataja na kusema urusi anamaliza wanaume kuwapeleka uwanja wa vita

Mara wa Ukrein wao wako kwao ata wakifa atazikwa sasa akizikwa ndio wanaume wanaongezeka

Acha uchizi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
WAGNER Group wanawapelekea moto sio wa kitoto.
Kichapo walichopewa USA pale Alleppo Syria naona kinajirudia Ukraine.
Congo iwatumie WAGNER Group kumfurusha kagame arudi kigali
Picha inajieleza.
JamiiForums-609949113.jpg
 
Pro Western hamjachelewa kuungana na mkombozi PUT IN anapambana na MAGAIDI na MASHOGA kwawakati


[emoji636] [emoji2380] [emoji1255] Great Britain will allocate 21 million rubles (for each project) for LGBT development in Ukraine

On January 6, applications began to be accepted for the grant program "Program Fund for Recovery and Reconstruction" in Ukraine. This alleged "reconstruction" also includes creating new institutions, opening new youth centers, supporting democratic processes, and promoting LGBT values.

[emoji1751] Against the backdrop of the real problems in Ukraine, Britain's infusion of money to promote pro-Western and anti-Russian "values" looks like subtle mockery.

Source: Ostashko!


Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi toka waliposhindwa kumuokoa lumumba pale kinshasa!!!Nikaamini sio super power bali wazugaji
 
Mnalishana tu story za matangopori vijiweni.
Marekani haijawahi kuwa na mpango wa kumtoa Dikteta Bashar Al-Assad Syria, waliotoka kumtoa madarakani ni wananchi wake kama ilivyokuwa Misri, Libya, Yemen na Tunisia katika Arab Spring.

Obama on Syria: Assad Must Go​

March 24, 2013
President Obama said Syrian President Bashar al Assad has lost his legitimacy and “must go,” during a joint press conference with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu on March 20.

Obama, on his first presidential visit to Israel, warned that the Syrian regime “will be held accountable for the use of chemical weapons or their transfer to terrorists.”
 
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati unataja na kusema urusi anamaliza wanaume kuwapeleka uwanja wa vita

Mara wa Ukrein wao wako kwao ata wakifa atazikwa sasa akizikwa ndio wanaume wanaongezeka

Acha uchizi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Urusi wanakufa wengi maana wako ugenini, hawajui vichochoro vya nchi ya watu...jiongeze
Ndicho kilimtesa Mmarekani pale Vietnam.
 
Wewe unadhani mradi wa gesi Tanzania anashughulikia nyanya ako, we unadhani Tanzania na Russia hakuna biashara yoyote haha wake the f
- twende kwenye value ya miradi, na wellbeing ya miradi hapa Tanzania, kuanzia US AID,UK AID,MCC,JICA,KOICA,SIDA,DANIDA,EU, hiyo miradi yote ni ya US na Washirika wake, hebu tutajie Mashirika ya Russia and it's allies yalioyopo hapa Tanzania yanayotoa misaada hapa Tanzania kwenye aspects tofauti, health nk
 
I'm a Certified Public Accountant I know how to read and interpret financial statements bro

But hapa si mahali pa kushow off, we are here to enjoy, talk to each other and share experiences regardless of our educational levels

Showing off is the fool's idea of glory

I've been buying them (harlots) since I was 16 until today
  • hiyo CPA ninayo, na Hadi CISA ni ninayo, nime escalate Hadi kwenye msc in finance
  • Kwa hiyo ukiwa CPA ndiyo elementary Legal skills unakuwa huna kabisa?
  • mzembe kabisa akili isha haribika Kwa kununua Malaya, mtafute Mshana Jr akupe Tiba.
 
Nmepata uchungu sana kwenye nafsi kubaini upofu wa waziwazi sana uliopo kwenye fikra zako Muafrika mwenzangu.

Jaribu kufatilia kwa umakini na kuwaza vizuri bila chuki zozote.

Na ili ufunguke vzr akili/upeo basi jaribu kusimama kama mwanaume mwenye msimamo imara(Alone) na kujiamini.

Nmekushauri hivyo kwasababu Mataifa ya Western wana kawaida ya kupumbaza watu(Wanaume) kifikra kwa kuwaza kama wanawake.

Ni ngum kuona mabaya yao ya waziwazi kabisa kama utakua umeshaingia kwny mtego wao wa Kupumbazwa na kuwaza kama Mwanamke.

Sifa kubwa ya mwanamke ni udhaifu na kutojiamini (Kutoweza kuishi kwa kujitegemea), na hili sio tusi kwao wakike ila tu ndiyo asili yao na ndivyo wanapaswa kuwa.

Naamini ukiweza kusimama na ku-act kama mwanaume anavyopaswa kuwa, basi upofu ulio nao utakuondoka kwa wepesi mno (Bila hata kushawishiwa).


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  • Ww huna uelewa wowote ule, unakimbilia kudanganya Watu humu kuwa Mimi nimepumbazwa na Western, Kwa hiyo nchi za Eastern ndiyo zinakomaza kifikra na kukufanya uwe mwanaume?
  • Mbona serikali yenu ya CCM imekuwa ikisaidiwa tangu miaka na miaka, Kwa hiyo unataka kusema serikali yetu Iko kiuanamke?
  • hivi hizi akili mbovu mnazipata wapi? Ujinga mtupu
  • basi usitumie mradi wowote wa western i.eUSAID,UK-AID,JICA,DANIDA,SIDA,EU,nk
 
- twende kwenye value ya miradi, na wellbeing ya miradi hapa Tanzania, kuanzia US AID,UK AID,MCC,JICA,KOICA,SIDA,DANIDA,EU, hiyo miradi yote ni ya US na Washirika wake, hebu tutajie Mashirika ya Russia and it's allies yalioyopo hapa Tanzania yanayotoa misaada hapa Tanzania kwenye aspects tofauti, health nk
Daaaah kaka umeongea pointi kisomi sio kishabiki
 
- twende kwenye value ya miradi, na wellbeing ya miradi hapa Tanzania, kuanzia US AID,UK AID,MCC,JICA,KOICA,SIDA,DANIDA,EU, hiyo miradi yote ni ya US na Washirika wake, hebu tutajie Mashirika ya Russia and it's allies yalioyopo hapa Tanzania yanayotoa misaada hapa Tanzania kwenye aspects tofauti, health nk
Hana msaada wowote ule.
Angalia hata Balozi yao imejichokea, hata majani wameshindwa kata
 
Urusi wanakufa wengi maana wako ugenini, hawajui vichochoro vya nchi ya watu...jiongeze
Ndicho kilimtesa Mmarekani pale Vietnam.
Wewe unaona Miji inavyobakizwa magofu unaletq habari za vichochoro?
Likipigwa bomu Moja, kichochoro kinageuka kuwa tambarare!

Mpaka Sasa hesabu ya waliouwawa Ukraine inakaribia kugonga au imeshafika laki 2! Hao kwa akili Yako ni wachache!!!!
 
Wewe unaona Miji inavyobakizwa magofu unaletq habari za vichochoro?
Likipigwa bomu Moja,kichochoro kinageuka kuwa tambarare!
Mpaka Sasa hesabu ya waliouwawa Ukraine inakaribia kugonga au imeshafika laki 2!
Hao kwq akili Yako ni wachache!!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani kwenye vita anaongelea habari ya vichochoro.
 
Kwa hiyo mnashabikia Uvamizi wa Urusi huko Ukraine ili kuikomoa Marekani ?......kwamba Ukraine ikiharibiwa nyie ndio mnalipiziwa kisasi na Urusi ?
Sisi hatushabikii Urusi, Urusi ana haki ya Kujilinda dhidi ya maadui zake..wewe unaweza kuhamia mtaa anaoishi Ex wa Mkeo?? wakiamua kukumbushia utafanyaje?? Urusi inatusaidia sote kukomesha uonevu mkubwa unaofanywa na hilo kundi la mashoga...
 
Wewe unaona Miji inavyobakizwa magofu unaletq habari za vichochoro?
Likipigwa bomu Moja,kichochoro kinageuka kuwa tambarare!
Mpaka Sasa hesabu ya waliouwawa Ukraine inakaribia kugonga au imeshafika laki 2!
Hao kwq akili Yako ni wachache!!!!

Ukipiga mabomu mwisho wa siku lazima utataka kusonga mbele na hapo utahitaji kuwapeleka binadamu na ndio wanaliwa kweli kweli, Urusi wameishiwa mpaka wameokoteza mateja, na sasa hali mbaya maana vijana wengi wameikimbia nchi.
 
Back
Top Bottom