Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia ingekuwa nchi ya kidemokrasia isingeingia kwenye vita vya kipumbavu kama hivi lakini kwa kuwa wana utawala kama ule wa kina Mangungo hawana namna.
Nchi hizo unazoita za kidemocrasia ndo Zinaongoza Kwa kuvamia nchi nyingine ovyoovyo Kwa kisingizio cha kuleta democratic wakati nia Yao ni kuwatoa wasioendana na matakwa yao.saa zingine uwe unanyamaza kuficha ujinga.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Kila sehemu tunachukua Kijiji kimoja baada ya kingine.

Russian forces switch to offensive on Lugansk front, gain ground, says ex-LPR envoy

Russian forces have taken several strongholds during their advance

MOSCOW, February 2. /TASS/. Russian forces have switched from artillery duels with the Ukrainian military to an offensive near Kremennaya in the Lugansk People’s Republic (LPR) and have progressed over one km forward in some sections of the front line, Rodion Miroshnik, former LPR ambassador to Moscow, said on Thursday.

"Our forces have advanced by more than one km in some places, which is substantial progress," he said in a live broadcast on the Soloviev Live TV Channel.

"We are now moving away from a perpetual struggle in the form of artillery bombardments, that is, exchanges of strikes that have been raging for four months already and have actually entered into their fifth month. Now we have switched to advancing on the ground, and it can be clearly seen that the Ukrainian side is giving in," he said.

Russian forces have taken several strongholds during their advance, Miroshnik noted. "At least in several small valleys running along this terrain. These are Malaya Zhuravka and Bolshaya Zhuravka where the advance can be observed. There is also an advance in Belogorovka and in the Kremennaya area towards Torskoye," he specified.

Presently, the LPR front line runs 5-7 km from the locality of Kremennaya in the republic’s west.
 
Kwa hiyo wewe ndiye unayejua zaidi Mambo ya Vita kuliko mwenzio?!?! Are you a professional soldier or military strategist or even a military specialist?!
Uliambiwa na Russia kuwa Vita ingeisha within a year?! Kwa hiyo inaelekea unazifahamu objectives za Russia kwenye Vita hi?! Kwa hiyo you think Russia alikurupuka na wala hakujipanga kwenye Vita hi?!?!
Kwanini nyie watu mnajifanya wajuaji wa Kila kitu?!
Ni silaha gani ya Vita uliwahi hata kuishika wewe au hata kuiona tu kwa macho?!?! Uliwahi hata kuishika AK 47 au hata G3?! Acheni hizo nyie madogo?!
Russia ameanzisha Vita kwa hiyo kuweni watulivu na kuona kinachoendelea...Nchi zipatazo 50 zinapambana na Russia kiuchumi, kijeshi, kisiasa, kijamii na kipropaganda ...sisi tusubiri tuone mchezo huo unaishia wapi..
Russia ilijipanga for almost 20 years kwa mpambano huu...sis tusubiri kuona mwisho wake....Nchi zipatazo 50 zinapambana na Nchi moja..uwanja wa Vita ni Ukraine...silaha zinamiminwa huko Ukraine..walimimina javelin hazikufaa kitu...zikaja himmars nazo hola..vifaru kadhaa vya enzi za Soviet Union vikapelekwa kule navyo vikaisha...ndege za enzi za Soviet Union zikapelekwa kule nazo zikaisha...Sasa wameamua vipelekwe vifaru sijui vya Leopard na Abrams na 'wanaume' kwenye uwanja wa Vita wanavisubiri kwa hamu na kuonesha shauku wameahidiwa hata hela wakiviteka au kuviangamiza..Sasa wanazungumzia kupeleka hata ndege za West aina ya F 15/16 nazo zinasubiriwa na mitambo ya S 400 na S 500...Ukraine inaishiwa manpower ya kupigana uwanjani kwa hiyo mobilization ya nguvu huko Ukraine inafanyika ambapo hata walemavu wanawindwa...but this is not reported in the media of the west.. wanajeshi kadhaa wa NATO wako kwenye uwanja wa Vita kisirisiri lakini Mambo bado ni magumu....jeshi kubwa la Russia linajiandaa kwa shambulio kubwa kwenye uwanja wa Vita ...tusubiri tuone yatakayotokea...
👏👏👏👏👍🇷🇺💪
Jibu lenye uchambuzi mfupi lkn murua kabisa.
Mkuu nakushauri kwa Leo usiandike kitu kingine chochote nenda kapumzike home kwako.
Umemalizia Comrade.
 
Mnalishana tu story za matangopori vijiweni.
Marekani haijawahi kuwa na mpango wa kumtoa Dikteta Bashar Al-Assad Syria, waliotoka kumtoa madarakani ni wananchi wake kama ilivyokuwa Misri, Libya, Yemen na Tunisia katika Arab Spring.
Sio mara ya kwanza kupigana walishapigana Alleppo Syria Mmarekani akamkimbia Mrusi baada ya kichapo heavy toka KWA WAGNER Group.
Bila Mrusi,Al baashar asingekuwa Rais Syria, marekani alipanga kumtoa madarakani akasaidiwa na Mrusi kubakia
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji635][emoji123]
Jibu lenye uchambuzi mfupi lkn murua kabisa.
Mkuu nakushauri kwa Leo usiandike kitu kingine chochote nenda kapumzike home kwako.
Umemalizia Comrade.
Ndio maana nasema Russia Ina watu waelewa Sana[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
British Army ‘No Longer Top Tier’ Force — US General Warns UK Defense Secretary

UK defense sources have revealed that a senior US general has warned Defense Secretary Ben Wallace that the British Army is barely a “tier-two” fighting force.

One of the sources slammed Rishi Sunak for failing as a “wartime prime minister” unless he takes urgent action to modernize Britain's military by boosting the defense budget by at least $3.7 billion.

The armed forces would reportedly run out of ammunition “in a few days” if fully mobilized and would need up to a decade to prepare a war-fighting division of 30,000 troops.

Subscribe to RT
Wafanyabiasha wanataka kupiga hela.
 
- toa mfano WA hizo hoja, tuzichambue.
Kwa mfano kuna mmoja sehemu kasema kuwa Russia ingekuwa ni nchi ya kidemocrasia wasingevamia Ukraine anasahau kuwa hata hizo nchi anazoita za kidemocrasia zimevamia nchi nyingi sana pale walipoona kuwa maslahi Yao yamekiukwa.

Pia wengi wao wanaamini Russia atarudisha maeneo aliyoyachukua, napia wanasema Russia Hana sababu genuine ya kuvamia Ukraine wanasahau Ile nchi ni kubwa Sana yenye majeshi na intelligence Bora hawawezi kukurupuka.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mfano kuna mmoja sehemu kasema kuwa Russia ingekuwa ni nchi ya kidemocrasia wasingevamia Ukraine anasahau kuwa hata hizo nchi anazoita za kidemocrasia zimevamia nchi nyingi sana pale walipoona kuwa maslahi Yao yamekiukwa.pia wengi wao wanaamini Russia atarudisha maeneo aliyoyachukua,napia wanasema Russia Hana sababu genuine ya kuvamia Ukraine wanasahau Ile nchi ni kubwa Sana yenye majeshi na intelligence Bora hawawezi kukurupuka.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
-kuhusu hoja ya uvamizi, Russia ilishavamia Crimea ikapora eneo la Crimea, wakafanya referendum feki, US imepora eneo gani na kulifanya sehemu ya USA?, japo kweli US sometimes Ina makosa yake kama States nyingine ulimwenguni
-Unaamini nchi kubwa inayoongozwa na Putin kama ndio 'Muamuzi Mkuu' haiwezi kukurupuka?

- kwenye sheria za Vita Kuna principle inasema Vita vinapiganwa kwa lengo la kisiasa lililo Hali kabisa that is to say Legitimate aim, Sasa hebu tafakari legitimacy ya hiyo Vita, chambua mkakati wa Ukraine kujiunga NATO vs Russia
 
Basi umejifunza vibaya watu wengi wa urusi ni wakristo na baadhi ya waislamu.Alafu hakuna anayeichukia marekani hata mmoja.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
- Wanachoangalia ni Kuwa anapigana na MSHIRIKA wa US ambaye ni Ukraine, ambaye anaungwa mkono na Germany,UK nk, na Kwa upande mwingine Russia,anaungwa mkono na China, Iran,north Korea nk
 
Back
Top Bottom