Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi imeanza kuingia kwenye mapori ya bakhamut mwaka Jana mwezi 10 hadi Leo wameshaingia NDANI ya jiji kabisa kwa Sikh wanakifa wanajeshi 400 wa Ukraine hapo bakhamut wamejazana sapo ila ndo hivyo safari hii wanachemshwa na kijana wa wagina
Mkuu, kasi ya aina hii unaita maendeleo?? Sawasawa.

BTW: Mimi naona uwezekano kwamba Ukraine wanaweza kuamua kujiondoa Bakhmut wakitafakari kuokoa askari wao (jambo ambalo haliangaliwi upande wa Urusi) na kuacha mji ulioharibika kabisa, pasipo na kitu cha kutetea tena...
 
Ni kweli Ni game changer,sa hivi crimea imeshakombolewa na Moscow inakaribia kuchukuliwa na Jeshi la Ukraine,Slava Ukraine Slava Ukraine 😄😄
Hayo ni ya kwako, na lengo lako ni kuuruka ukweli sababu ukweli huo una kuumiza
 
Wewe mwenyewe unakiri kwamba bado Kuna supply line kwenye hili andiko.., sijui mnatumia nini kufikiri ,au kiingereza shida[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Lugha naona inakupiga chenga[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Barabara ya mwisho bado haijakamatwa na Warusi ila uwezi kupitisha kitu kwa sababu ipo kwenye range ya Warusi.chochote kikikatiza kinageuka kuwa mkaa.
 
Kijiji cha Vanzetti kimeangukia kwenye mikono ya Warusi.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



Viva Russia visa Urusi
IMG_20230201_213957_198.jpg
 
Mkuu, kasi ya aina hii unaita maendeleo?? Sawasawa.

BTW: Mimi naona uwezekano kwamba Ukraine wanaweza kuamua kujiondoa Bakhmut wakitafakari kuokoa askari wao (jambo ambalo haliangaliwi upande wa Urusi) na kuacha mji ulioharibika kabisa, pasipo na kitu cha kutetea tena...
Tatizo wakijiondoa ujue vita itaenda kupigwa Kramatorsk na Slovyiansk.

Huku mji kama Lyman ukiwa kwenye hatari kubwa.
 
Kijiji cha Vanzetti kimeangukia kwenye mikono ya Warusi.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



Viva Russia visa UrusiView attachment 2502894
PMC Wachoma nyama.
 
Back
Top Bottom