Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sawa ngoja waendelee kuchinjwa.., maana nimesikia za ndani ndani kwamba idadi ya askari wa urusi wanaochinjwa ikifikia million 27,sawa na idadi iliyochinjwa kwenye vita ya pili ya dunia ,basi urusi atanyoosha mikono [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hadi wafike million 27 jua tayari Ukraine itakuwa imeshakuwa mali ya Kremlin 🤣
 
Russia ajimegee tu hatuhitaji ardhi iliojaa mashoga wakiongozwa na Raisi shoga waeneze upuuzi wao duniani. Piga kenge wote wa Gaykrainia.
Kweli mkuu,ajimegee sana hata mpaka afikie mpakani mwa Poland.., kikubwa tu akumbuke kwamba vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu,ajimegee sana hata mpaka afikie mpakani mwa Poland.., kikubwa tu akumbuke kwamba vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Havitafika Crimea 😀 poleni sana kwa hilo. Inakamatwa Kyiv kwanza hata kabla hamjafika Crimea
 
Ndiyo maana yake....nyie ambao hamjawahi kusoma au kuichambua historia, culture na society ya Russia mtapata taabu Sana....Russia ni dude.
.Russia ni nchi kubwa na ya hatari..iko mbele kwa raslimali, teknolojia na ardhi...kufanya mobilization ni Jambo na ni namna gani unaitumia mobilization hiyo ni Jambo jingine...Russia ni dude bwana...nchi 50 zinapambana na dude Hilo lakini bado mambo magumu kwa nchi zote hizo...subiri uone mchezo unakuja...watu wataomba poo.
Russia ni dude kubwa huku akihenyeshwa na kanchi kadoogo hambako kanapewa silaha za msaada [emoji28].., operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo imegeuka vita ya muda mrefu [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
si mnasema hela haipigani vita, mbona vita imewashinda kuimaliza - mwaka sasa kitu deee.
Hii vita imemfanya dikteta anase kwenye mtego hambao hakutegemea [emoji23][emoji2][emoji1787]
1669641147676.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Russia ni dude kubwa huku akihenyeshwa na kanchi kadoogo hambako kanapewa silaha za msaada [emoji28].., operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo imegeuka vita ya muda mrefu [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa kama kumaliza angetaka si angewatwanga Nuke tu. Hii tunapigania maeneo sio vita vya maangamizi. Maana kama kuwaangamiza tungetia nuke moja tu biashara ikaisha.
 
Ngoma itachezwa tu na saivi hawachukui hiyo mikoa mi4 saivi wanairudisha ukraine Urusi by hooks n crooks.
Wanairudisha Ukraine urusi huku walifurushwa kama mbwa mwizi huko

Kheson [emoji56][emoji56]

Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]

Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]

Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56]

Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]

Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]

Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56]

Izium [emoji56][emoji56][emoji56]

Ni mwaka Sasa super pawer anapiga katika mji mmoja wa bakhumut [emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Subirieni muanze kulia lia tena maana hiko kifurushi kitataifishwa mapema sana.
Ndio maana nikakwambia kwamba silaha yoyote inayoingia kwenye ardhi ya ukraine ni shabaha Halali ya urusi.., lakini super uwezo huo Hana..,kama angekuwa nao angeashauangusha utawala wa zelensiky zamani sana

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana nikakwambia kwamba silaha yoyote inayoingia kwenye ardhi ya ukraine ni shabaha Halali ya urusi.., lakini super uwezo huo Hana..,kama angekuwa nao angeashauangusha utawala wa zelensiky zamani sana

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uzuri kifurushi kikiisha mnachezea mkong'oto jazz band hadi mnaporwa mikoa. Tunasubiria hiko kifurushi kije, mtatamba nacho week 2 baada ya hapo kazi inaanza kuwafyeka bila huruma. 🤣🤣🤣
 
Hadi wafike million 27 jua tayari Ukraine itakuwa imeshakuwa mali ya Kremlin [emoji1787]
Kwa Sasa wamechinjwa warusi takriban laki Moja na nusu lakini super kaambulia tumiji twa huko mpakani,hambako alikuwepo tangu 2014..,wakija kuchinjwa mpaka wafikie warusi millions 27 nafikiri hapo ndio watakuwa wamekomboa Donbass tu[emoji28][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Havitafika Crimea [emoji3] poleni sana kwa hilo. Inakamatwa Kyiv kwanza hata kabla hamjafika Crimea
Huko Kyiv super pawer alijaribu ikashindikana mkuu.., ninachokiona hapa ni kwamba urusi ajitahidi tu kuwekeza nguvu zake huko Donbass Ili hata akifikia malengo aliyojiwekea ya kuwapeleka machinjioni warusi millions 27,basi aweze kukomboa hata Donbass [emoji28][emoji1787][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa Sasa wamechinjwa warusi takriban laki Moja na nusu lakini super kaambulia tumiji twa huko mpakani,hambako alikuwepo tangu 2014..,wakija kuchinjwa mpaka wafikie warusi millions 27 nafikiri hapo ndio watakuwa wamekomboa Donbass tu[emoji28][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jipe moyo tu kwa hii style ya kila kifurushi mnaenda twisheni miezi kadhaa ndio mnapewa muanze kutumia. Mtafurahishwa na wachoma nyama wa Wagner 😀!

Leopard 2 - Twisheni miezi 6
Abraham - Twisheni miezi 8
Challenger - Twisheni miezi 10
Javelin - Twisheni miezi 3
Himars - Twisheni miezi 4

Wakati huo Putina anajimegea tu majimbo. Hadi mkimaliza syllabus ya silaha za Mmarekani tayari Ukraine ni mali ya Urusi. Na Biden ashapelekwa jela kwa kuchezea kodi za Marekani.
 
Sasa kama kumaliza angetaka si angewatwanga Nuke tu. Hii tunapigania maeneo sio vita vya maangamizi. Maana kama kuwaangamiza tungetia nuke moja tu biashara ikaisha.
Hebu zinduka mkuu, super pawer kutumia nyuklia hiyo ni ndoto ya mchana.., maana marekani alimchimba mkwara mmoja tu.., tangia hapo Tambo za nyukria hazikusikika Tena [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hebu zinduka mkuu, super pawer kutumia nyuklia hiyo ni ndoto ya mchana.., maana marekani alimchimba mkwara mmoja tu.., tangia hapo Tambo za nyukria hazikusikika Tena [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Waambie wao Marekani watupe hata bomu Urusi kwa jina lao bila kupitia mgongo wa Ukraine. Wasipite denge wao kama marekan waingize chopper watupe mabomu Kremlin. Halafu utaona kama Mrusi sio fala kama mnavyojidanganya.
 
Uzuri kifurushi kikiisha mnachezea mkong'oto jazz band hadi mnaporwa mikoa. Tunasubiria hiko kifurushi kije, mtatamba nacho week 2 baada ya hapo kazi inaanza kuwafyeka bila huruma. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kifurushi gani kilichoisha na Russia akachukua mkoa mkuu?.., maana ninachojua Mimi ni kwamba tangu mwezi wa nne mwaka Jana super pawer anapigana kudhibiti bakhumut mpaka Leo [emoji134][emoji134]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ni kifurushi gani kilichoisha na Russia akachukua mkoa mkuu?.., maana ninachojua Mimi ni kwamba tangu mwezi wa nne mwaka Jana super pawer anapigana kudhibiti bakhumut mpaka Leo [emoji134][emoji134]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bhakmut kashaishikilia sasa ni kufyeka panya wote waliojificha kwenye mahandaki na mifereji maana hamna silaha itaingia.
 
Waambie wao Marekani watupe hata bomu Urusi kwa jina lao bila kupitia mgongo wa Ukraine. Wasipite denge wao kama marekan waingize chopper watupe mabomu Kremlin. Halafu utaona kama Mrusi sio fala kama mnavyojidanganya.
Mkuu,hivi si tulikubaliana kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto?? Kama mpaka Sasa hakuna aliyeshughulikiwa, Ina maana operation ya kijeshi Inakwenda kama ilivyopangwa,Wala hakuna aliyeingilia bali tunaendelea kupambana na Ukraine tu [emoji28]

Back
Top Bottom