G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,397
- 5,562
Mwisho wa vita ni Ukraine kuwa anexxed mazimaBakhumut kashashikilia,Ina maana vita imeisha ,sio??[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mwisho wa vita ni Ukraine kuwa anexxed mazimaBakhumut kashashikilia,Ina maana vita imeisha ,sio??[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndio mtofautishe kati ya super pawer halisi na super pawer wa kuchonga Sasa.., urusi alikuwa ana malengo ya kufanya kile alichofanya marekani huko Ukraine, lakini msuli wake ukawa mdogoKwahiyo kuomba Kwake msamaha kutarudisha roho za wa Iraq waliomwagiwa mabomu kama mvua?
Shwain!!!!
Sahau hilo mkuu, asikari wa urusi wataedelea kuchinjwa Kwa wingi kadri iwezekanavyo,huko Ukraine.., lakini bado super pawer atarudi nyumbani mikono mitupu mithili ya mchwa anavyoondoka kwenye chupa[emoji28]Mwisho wa vita ni Ukraine kuwa anexxed mazima
Kwani marekani kwenye hio operation aliingiliwa na nani?Ndio mtofautishe kati ya super pawer halisi na super pawer wa kuchonga Sasa.., urusi alikuwa ana malengo ya kufanya kile alichofanya marekani huko Ukraine, lakini msuli wake ukawa mdogo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapo itabidi tufungue Uzi mwingine wa vita ya Iraq mkuu,Ili tuweze kujua ni nani aliyeingilia operation ya marekani huko Iraq [emoji28]K
Kwani marekani kwenye hio operation aliingiliwa na nani?
Mimi sina upande ila naeshimu tamaduni za dini zote, siwezi nikafanya utani hata siku moja na dini za watu.chuki ya dini ni chuki mbaya kuliko chuki yoyote ile hapa duniani.Nyie kutukanwa sio tabia nzuri ila nyie kutukana wenzenu ni ruksa.
Haya ukiona NYTimes bora kuliko Wizara ya Urusi na Benki Kuu ya Urusipamoja IMF, sawa tu. Tutaona, sivyo?Russia Sidesteps Western Punishments, With Help From Friends https://www.nytimes.com/2023/01/31/...nctions-trade-china-turkey.html?smid=wa-share
Hao hapo New York times...wameongea kwa kirefu zaidi..
Uache ubishi
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Bajeti ya miaka 5 imetengewa kwa ajili ya hii vita mkuu,ni mapema sana kutuma ndege muda huu,hii vita ni hatua kwa hatua. , Ukitaka kumpigisha mtu danadana inabidi umpeleke taratibu,Team upinde mmenyimwa F16 mfaransa inabidi alete makopo yake dampo
View attachment 2502552
Jidanganye tu, huku huyo supapawa anakuwa anexxed kwenye usd inayompa jeuri 🤣🤣🤣!Sahau hilo mkuu, asikari wa urusi wataedelea kuchinjwa Kwa wingi kadri iwezekanavyo,huko Ukraine.., lakini bado super pawer atarudi nyumbani mikono mitupu mithili ya mchwa anavyoondoka kwenye chupa[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unapoongea uwe na fact, maana China wangepeleka vifaa, North Korea, Urusi usitegemee ngoma ingekuwa nyepesi kwa huyo supapawa wenu wa Mashoga.Hapo itabidi tufungue Uzi mwingine wa vita ya Iraq mkuu,Ili tuweze kujua ni nani aliyeingilia operation ya marekani huko Iraq [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndiyo, Dragon-2 Crew ya Space-X ni ngazi kadhaa juu ya Soyuz.Teknolojia ya kale inayofanya kazi vizuri.
Je Kuna teknolojia ya kisasa inayofanya vizuri zaidi ya Soyuz?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Walete hizi ili S400 zipate shughuli ya kufanya 🤣🤣🤣Team upinde mmenyimwa F16 mfaransa inabidi alete makopo yake dampo
View attachment 2502552
Hiyo habari nadhani Ni yako private920 wamechinjwa ndani ya saa 24 tu..,nyie mpo busy kudanganyana hapa.., tukiwaambia hii vita ni janga kwa super pawer wa kuchonga tunamaanisha haswa [emoji23][emoji23]View attachment 2502550
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jamaa wanataka kulazimisha nyeusi iwe nyeupe.., hawataki kukubali kwamba super anapumulia mashine [emoji28]Haya ukiona NYTimes bora kuliko Wizara ya Urusi na Benki Kuu ya Urusipamoja IMF, sawa tu. Tutaona, sivyo?
Ila wimbo huu kuhusu ubishi waambie watu huko Moscow, si mimi.
Hahahahhah wanajeshi 900 wafe halafu still Ukraine wawe wanajinyea huko Frontline. Acheni ku Recycle taarifa zenu za kamba 🤣🤣🤣920 wamechinjwa ndani ya saa 24 tu..,nyie mpo busy kudanganyana hapa.., tukiwaambia hii vita ni janga kwa super pawer wa kuchonga tunamaanisha haswa [emoji23][emoji23]View attachment 2502550
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Chanzo kingine hiki hapa mkuu.., warusi 920 wamechinjwa ndani ya saa 24 tu..,huo ndio uhalisia japo najua unawaumiza wengi 🥱🥱Hiyo habari nadhani Ni yako private