Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Joe Biden hatakuja kusahau na mwakani uchaguzi yaani hajafanya lolote yaani Ni wa Moto na Ukraine tayari ishakuwa nabitaendelea kuwa Kama Sudan,Kongo jamhuri ya Kati na sehemu nyingine tujiandae kwenda kulinda amani Ukraine Hapo jirani tumechoka[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Hao mbwa walizoea kuja kulinda Aman afrika ili wabake dada zetu tunaenda kulinda kwao Sasa tunaenda kula Bata kuku hao[emoji12]
 
Itabidi tumlipoti maana hii sio tamaduni ya hili group kukashifu dini ya mwenzako.hii sio tabia nzuri kabisa tukikaa kimya itakuwa jambo la kawaida.afute iyo post yake au aombe radhi la sivyo inabidi tupeleke kwa uwongozi
Nyie kutukanwa sio tabia nzuri ila nyie kutukana wenzenu ni ruksa.
 
Ndiyo...the main force or the regular army of RF has not entered the 'theatre' ...inawasubiri NATO....Russia Federation haijatumia zaidi ya asilimia 15 ya uwezo wake kijeshi
Teh teh 😂😂 naona umeamua kabisa kujitoa ufahamu....Sasa ile mobilisation ilikuwa na malengo gani wakati askari bado wapo ?...
 
NATO bwana si alipeleka silaha asubiri kwanza majibu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Screenshot_20230201-133422.jpg
 
Oyoooooooii[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Russian forces closing in on Artyomovsk, DPR official says

Yan Gagin stressed that the highway was under the fire control of Russian forces and Ukrainian supply convoys traveling along the road had already come under attack.

MOSCOW, February 1. /TASS/. The city of Artyomovsk (known as Bakhmut in Ukraine) is in an operational encirclement and Russian forces are closing in, Yan Gagin, an advisor to the Donetsk People’s Republic’s (DPR) leader, said on Wednesday.

"Artyomovsk is currently in an operational encirclement and our forces are closing in on the city. Fighting is underway to control the highway connecting Artyomovsk with Chasov Yar because it is the only route that Ukraine can use to provide supplies to its troops in Artyomovsk," Gagin told the Rossiya-24 TV channel.

He added that the highway was under the fire control of Russian forces and Ukrainian supply convoys traveling along the road had already come under attack. Gagin was confident that Russian troops would soon take full control of the highway.

Heavy fighting carries on in the Artyomovsk area. Acting Head of the Donetsk People’s Republic Denis Pushilin said earlier that Russian troops were working to cut off Ukrainian supply routes and fighting was raging in the city’s neighborhoods that used to be controlled by the Ukrainian army.
 
Msaada wa kwanza wa Magari ya kivita ya BRADLEY INFANTRY FIGHTING VEHICLES Umewasili nchini Ukraine. Msaada huu unaojumuisha Magari 60 aina ya IFV ni Moja ya msaada wa Marekani uliotangazwa tangu mwezi November mwaka Jana ambapo Ujerumani na Uingereza ziliahidi kutuma Magari zaidi ya 100 ya aina hiyo.

Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani amesema Magari hayo yamepelekwa nchini Ukraine baada ya wanajeshi 500 wa Uraine kumaliza mafunzo ya utumia Magari hayo nchini Ujerumani yaliyoanza mwezi November mwaka Jana.

Pia,Wanajeshi 600 wa Ukraine wanamalizia mafunzo ya kutumia Magari hayo ya Uingereza na Ujerumani kabla ya Ujerumani kutuma Magari yake aina ya MARDERER INFANTRY FIGHTING VEHICLES Katikati ya mwezi February ikifuatiwa na Uingereza mwezi March.

Ujerumani na Marekani zimeahidi kutuma vifaru nchini Ukraine. Nchi ya Ujerumani imeingia mkataba na Nchi ya Poland ya kuwapatia mafunzo wanajeshi 250 wa Ukraine kutumia vifaru vya Ujerumani aina ya Leopard 2 kabla ya kutuma vifaru hivyo nchini Ukraine mwezi April.

Pia,Marekani inajiandaa kuwapatia mafunzo wanajeshi 400 wa Ukraine wa kutumia vifaru aina ya M1 Abrams kabla ya vifaru hivyo kuwasili nchini Ukraine mwezi Juni.

IMG_20230201_133018_669.jpg
 
Usitishe watu. Hiyo package Ina hizo silaha za masafa marefu na pamoja na mifumo ya ulinzi wa anga Patriots na ile zana kiboko ya vifaru vya Russia......



Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hakuna anayetisha mzee..ndo ukweli huo..hao Warusi wanategeshea sehemu ya kupata justification na support ya raia wao....na kupunguza kulalamikiwa na jamii za kimataifa..

Umeona kilichotokea baada ya kugusa daraja la Crimea, kabla ya hapo Urusi alikua anakosa sababu ya kushambulia hiyo miundo mbinu....



Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Teh teh [emoji23][emoji23] naona umeamua kabisa kujitoa ufahamu....Sasa ile mobilisation ilikuwa na malengo gani wakati askari bado wapo ?...
aisee...kuna watu humu ndani ni either mnajitoa ufahamu au uwezo wenu wa kuchambua mambo ni wa kawaida sana..!!!...kwa hiyo mkuu wewe unadhani...mobilisition alioifaanya Rusia ni kwa sababu askari wake walikuwa wamekwisha...kwa kuuliwa na Ukraine..???

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom