Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vita ni mbichi... US kumwaga tena Tshs Trillion 4.6 kwa Ukraine.
2023-01-31T223434Z_260821021_RC2VZT9JQMIT_RTRMADP_3_UKRAINE-CRISIS-ARMS.jpg

The United States is readying more than $2bn worth of military aid for Ukraine that is expected to include longer-range rockets for the first time as well as other munitions and weapons, according to the Reuters news agency, citing two US officials briefed on the plan.
Kuna tatizo pelekeni uwanja wa Vita mnabweka nn?
 
Acheni uzwazwa PAPA ni aina ya samaki anayepatikana BAHARINI.....

Papa fala tu kama mafala wengine kwani bila yeye watu hawatakula kula ugali na chumvi????

Mliona wapi papa mweusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acheni shobo...

Huu uzi sio wa kidini.....kama manataa mabishano nendeni jukwaa lingine mkabishane....

OVER.

uraaaaaaa [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Papa ndio Nani Ni zwazwa Kama zwazwa wengine
 
Kuna kitu nashindwa kuwaelewa watu humu jukwaani, mtu anakashifu, anatukana lakini watu wanapoteza muda wao kujibu

Hivi maelewa kwanini jf wameweka kitufe cha "ignore"????
Ukibonyeza hapo huyo mtu meseji zote anazotuma atakuwa anasoma mwenyewe na wale wanaomsapoti,

Kuendelea kumjibu mtu huyu nyie ndiyo mnakuwa na matatizo na Siyo yeye
Nawaambiaga mara kwa mara hawaelewi.... Ukikimbiza Chizi na wewe ni Chizi pia
 
[emoji3544][emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️

[emoji635][emoji1255]According to Ukrainian sources, PMC Wagner/Russian forces advanced towards #Krasnoye/#Ivanivske.

[#Bakhmut/#Artemovsk encircelment] https://t.co/gkCIsZOaFYView attachment 2502336
Bakhmut sasa naona ishanguka maana warusi wanakaribia kufika makao makuu ya mji.

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
IMG_20230201_114844_310.jpg
 
Bakhmut sasa naona ishanguka maana warusi wanakaribia kufika makao makuu ya mji.

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2502344
Ukichek hii map yani kama maji ya bahari yaningia mjini kuharibu miundombinu (WAGNER)
 
Ukichek hii map yani kama maji ya bahari yaningia mjini kuharibu miundombinu (WAGNER)
Kwa Vikosi vya Ukraine vinaonekana vimekata tamaa kabisa ya hii vita.walitegemea mwaka jana kuona Warusi wakiondoka Ukraine.ila matokeo yamekuwa tofauti kabisa Urusi ndo kwanza amezidisha mashambulizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bakhmut sasa naona ishanguka maana warusi wanakaribia kufika makao makuu ya mji.

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2502344
Hii habari inanenepesha roho yangu😬😬
 
Joe Biden hatakuja kusahau na mwakani uchaguzi yaani hajafanya lolote yaani Ni wa Moto na Ukraine tayari ishakuwa nabitaendelea kuwa Kama Sudan,Kongo jamhuri ya Kati na sehemu nyingine tujiandae kwenda kulinda amani Ukraine Hapo jirani tumechoka[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Back
Top Bottom