Naelewa, lete modeli, nchi, mwaka tu tafadhali.Hivi unaelewa lakini maana ya rocket boosters?Maana isije ikawa hatuelewani hapa!!!
Naelewa, lete modeli, nchi, mwaka tu tafadhali.Hivi unaelewa lakini maana ya rocket boosters?Maana isije ikawa hatuelewani hapa!!!
Au jamaa ni robot?😃😃😃
Daaah kweli we jamaa uko unawaza kivyako!Inamaana hujaona video niliyokuwekea ya majaribio ya space x ya kudaka hizo boosters Ili zije kuwa reused???AiseeNaelewa, lete modeli, nchi, mwaka tu tafadhali.
Sijui Moscow Times wamepata data wapi ???#dedollarization
[emoji631][emoji273][emoji777][emoji385]There are five key de—dollarization projects that will deprive the dollar of dominance in the global economy - Business Insider
For decades, the dollar has reigned supreme in the global economy, but now the reign of the dollar is ending, — states Business Insider
Countries from China and Russia to India and Brazil insist on increasing trade volumes in other currencies — plans range from using national currencies to a gold-backed stablecoin and a new reserve currency of the BRICS
There are 5 key projects of de-dollarization that undermine the dominance of the dollar:
[emoji635] [emoji630] Russia and China propose to create a new BRICS reserve currency: last year, the Russian Federation and the People's Republic of China began negotiations on creating a new reserve currency together with other BRICS countries to end the hegemony of the dollar
[emoji630] China is striving to replace the dollar with the yuan in oil trade: this is aimed at abandoning the petrodollar regime that has been in place since the 1970s, under which world oil transactions are mainly carried out in the American currency
[emoji635] [emoji1130] Russia and Iran have started discussing the creation of a gold-linked joint stablecoin: both countries, affected by Western sanctions, want to issue a "Persian region token" for use in foreign trade settlements, planning to launch it in a special economic zone in Astrakhan in the south of Russia, which will handle Iranian cargo
[emoji1256] [emoji1128] The UAE and India are considering the possibility of using rupees in non-oil trade: this step will be based on a free trade agreement signed last year, which aims to increase trade excluding oil between the two countries to $100 billion by 2027
[emoji1054] [emoji1033] Brazil and Argentina want to create a common currency: the countries recently announced that they are preparing to launch a new joint currency, called "sur" (south), which could become a project similar to the euro adopted in South America
Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄 Hio Game changer mpk Sasa imezuia miji gani kuchukuliwa na warusi?Himars zilifanywa nn wakati mtwango wake bado upo pale pale na leo warus wamepopolewa na ilo dude ajabu n kua himars ndo zina muumiza kichwa mrusi maana hajawahi kuitungua hata moja iliyo pelekwa pale ukraine
Aibariki RUSSIA na watu wakeMungu Ibariki Russie
Tuko pamoja kwamba booster kadhaa zilichukuliwa kutoka baharini. Ila kweli kwa matumizi tena au kwa uchunguzi? Lini, mwaka gani, wapi?Daaah kweli we jamaa uko unawaza kivyako!Inamaana hujaona video niliyokuwekea ya majaribio ya space x ya kudaka hizo boosters Ili zije kuwa reused???Aisee
Umesahau Bonyokwa na Yombo kwa LimboaSio soledar tu mkuu,hata kyvi, khakivu, kheson, mycolaiv, snake island, kupyansk, Lyman, izium,.., nyingine ongezea[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Urusi haingizi her regular soldiers for a good reason - wanafanya hivyo makusudi ili waje kutumiwa in case NATO/US wakihamua kujiingiza vitani moja kwa moja - wanaopigana huko Ukraine kusini ni wanamgambo ethnic Ukranian Russian from eastern Regions of Ukraine.Ka kampuni ka ulinzi kanapigana na NATO,kanachukua maeneo.
Hivi Urusi yenyewe ingeingia ingekuaje?
Teknolojia ya kale inayofanya kazi vizuri.Inategemea unavyoilinganisha. Walikuwa mbele zamani, walirudi nyuma, na kwa yote yanayojulikana bado wako nyuma ukilinganisha na Marekani na sasa pia China. Mahandisi wazuri wapo, udhaifu ni hali ya tasnia, athira ya siasa na nguvu ya uchumi wa nchi.
BAdo wanayo vifaa vinavyofanya kazi vizuri, mfano usafiri wa anga wa Soyuz ni chombo kinachoendelea kubeba watu hadi Kituo cha Kimataifa cha Anga bila kasoro. Tekinolojia yake ni ya kale, lakini inafanya
kazi bila hitilafu. Ni kama bodaboda ya angani. Ila vifaa vipya ni tayari, sitegemei kuona soyuz tena baada ya miaka 5 hivi.![]()
Mambo mengi yalioza kwa sababu hawakuwekeza kwa kutosha. Kwa vita hii inayoendelea, wanatengwa na sehemu kubwa ya tekinolojia ya kisasa.
Tutaona!
Kazi nzuri.Umesahau walichomfanya Ghadaffi ?..Au huoni howitzers zao zinavyoisaidia Ukraine kupambana na Mvamizi ?
Hizo Ni lincesed produced. Mig 21 ya kichina inaitwa F 6.Upo sawa kabisa Watu waekalili wakiona Mig-21 na BM-21 wanajua ni za warusi tu
Samora alifanywaje mkuumrusi alitufanya mbaya sana!
Tuliziteka ndege vita za uganda!
Kutaka kuzileta TZ zililipuka angani baada ya kuwekwa Fault!
mrusi yupo aftes kutunza watu wake tu!
Ukirejea kisa cha Samora Moses Machel machozi yatakutoka..
Hawa masela WAGNER yani utafikili malaika mtoa roho ni msela wao kwahiyo wanamsaidia kazi 😂😂😂😂Warusi sasa wapo km 1 kufika kwenye makao makuu ya halmashauri ya mji wa Bakhmut.
Upande mwingine Wagner group wameanzisha mashambulizi makali kwenye mji wa Chasov yar ili kufunga barabara ya mwisho inayoingia Bakhmut ili kufunga misaada ya kuingia Bakhmut.
Barabara 00506 ndo barabara ya mwisho inayoshikiliwa na vikosi vya Ukraine kuingia Bakhmut.ikidondoka kwenye mikono ya Warusi basi hakuna kitakachoweza kutoka Bakhmut kwa upande wa vikosi vya Ukraine.View attachment 2500966View attachment 2500973
Mfano wako tofauti kabisa.Mig ni kampuni ya Warusi.kwa iyo ukishajua ilo uwezi ukaumiza kichwa.Israel katengeneza F-35 kwake.kwa iyo F-35 tutasema zipo mbili.
F-35 ya Marekani na F-35 ya Israel[emoji23][emoji23][emoji23]
Wimbo wa USHINDI HUU......😥😥😥 nakupenda urusi inchi yangu...HELICOPTER ya Ukraine Mi-8 ikiwa imekutana na air defence ya Warusi.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
View attachment 2501848
Maisha wanayotaka kwani hii Dunia ni ya kwao?Kwahiyo wao wameamua kuishi kikomunisti au kijamaa au kiukana Mungu kama unavyosema, hao watu wa Magharibi wao inawahusu nini?? Yaani wanapungukiwa nini Russia akiamua kuishi maisha anayotaka yeye