Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Utafiti unasema wanaotaja mara kwa mara hiyo ishu wengi sio Real Gentleman... !!!!!;🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Utafiti unasema wanaojifanya kuwapondea sana wapenzi wa jinsia moja hasa mashoga ndio wanaoongoza kwa kuwafanya wanawake zao kinyume na maumbile!!Especially ukanda huu wa pwani ya afrika mashariki na viunga vyake!!
 
Utafiti huo umefanywa na nani labda na mie nipitie huko,,, na wewe unakubaliana na hilo,,, kwamba wanavyotulazimisha tunyanduane wanaume kwa wanaume kisa tu eti kila mtu ana uhuru wake,, sie tukae kimya na tukipiga kelele sie sio real gentlemen?? Za kuambiwa changanya na chako!!!
Mbona sasa watu wanaopinga ushoga ndio hao wanaowanyandua wanawake zao kinyume na maumbile kaka????Hasa ukanda huu wa pwani ya afrika mashariki na viunga vyake kaka?????
 
Ajabu kwa kweli.
Maana haijaonesha hata mara moja kua Urusi kaishiwa silaha.
Angekua ameishiaa na akaomba Kwa akina china nao wakamnyima ndo tungesema kashindwa kuwashawishi.
Lkn Urusi hajaishiwa chochote.
Kama kaweza kuishawishi Iran kuwapa 'drone' kwa nini asifanye hivyo kwa 'China' pia wampe silaha za kisasa zaidi ?.....

Kushindwa kuishawishi China ambaye ni mshirika wake wa karibu kujiunga naye vitani ni udhaifu mkubwa kwa Urusi.
 
Every male between 20 and 55 years of age to be conscripted in Ukraine—regardless of family status, profession, physical or mental health, or any other consideration.

Lists are to be prepared by every employer, organization, or institution (the document in question concerns the Kiev region specifically). I anticipate the summons will be handed out directly through the workplace as well.

As Roman Donetsky (@donrf22), who posted this document, writes, “the end is near, Ukrainians.”View attachment 2500805
Aise,hatari,alafu kuna mtu alikuwa anasa Putin Hana huruma na wananchi wake,anawalazimisha kwenda vitani
 
Kama kaweza kuishawishi Iran kuwapa 'drone' kwa nini asifanye hivyo kwa 'China' pia wampe silaha za kisasa zaidi ?.....

Kushindwa kuishawishi China ambaye ni mshirika wake wa karibu kujiunga naye vitani ni udhaifu mkubwa kwa Urusi.
Kwani kujiunga vitani lazma ukapgane?hyo kumuunga mkono kwenye biashara ndio inawauma zaidi westerners maana bila ya china kuongeza manunuzi saa hz vita vingekuwa vimeisha maana hela angekuwa hana kwahyo support anayopewa na china ni kubwa sana ndio inafanya mashoga wanajinyea huko ukraine
 
Rais wa Urusi ni mtu mkubwa sana Hamjui tu...usimchukulie poa kwasababu tu yeye hana mtandao wa ushoga unaomiliki CNN..BBC..Sky kwa ajili ya kupiga promo...Lakini Hata hao Mashoga wanamuogopa balaa...Hamjasikia Boris analia kwamba aliambiwa atapigwa bomu moja kwa dakika?

Eti anasema ooh alinidanganya hatavamia Ukraine yaani alitaka awape ramani yake ya Vita? Mjinga sana
 
Baada ya kusoma ramani ya game nzima wameona sasa moto sio wa kitoto wamekataa mchana kweupeee hawatapeleka midori yao inayoruka angani pale Kyiv wakihofia s300, s400 na s500 😅😅😅😅

=====================

US President Joe Biden has ruled out sending F-16 fighter jets to Ukraine, despite renewed calls from Ukrainian officials for air support.

Asked by a reporter on Monday if the US would be providing the planes, Mr Biden replied simply "NO".
His comment comes a day after Germany's leader also ruled out sending fighter jets.

Ukraine has said it needs the jets to take control of its airspace in its ongoing war with Russia.

F-16 Fighting Falcons are widely considered one of the world's most reliable fighter jets and are used by other countries, such as Belgium and Pakistan.

They would be a significant upgrade on the Soviet-era fighting jets Ukraine is currently using, which were made before the country declared independence from the USSR more than 30 years ago.

However, Mr Biden has repeatedly rebuffed Ukraine's pleas for the jets, instead focusing on providing military support in other areas.

The US announced last week that it would supply Kyiv with 31 Abrams tanks, with the UK and Germany also pledging similar support.

Ukraine's Deputy Foreign Minister, Andrii Melnyk, welcomed that announcement but asked allies for the creation of a "fighter jet coalition" that would also provide Ukraine with Eurofighters, Tornados, French Rafales and Swedish Gripen jets.

In an interview on Sunday, Germany's Chancellor said that it "seemed frivolous" to discuss sending other military aid to Ukraine when they had just committed to sending the Leopard 2s.

Olaf Scholz also reiterated to the German newspaper Tagesspiegel that the Nato military alliance was not at war with Russia and that it would "not allow such an escalation".

Moscow has accused Nato of being an aggressor by proxy and members of the alliance, including the US and Germany, have been reluctant to send military aid that could see the conflict escalate.

The French President, Emmanuel Macron, on Monday echoed this sentiment - saying that while "nothing is excluded" when it comes to providing support to Ukraine, it must neither further inflame the situation nor limit France's ability to defend itself.

Other EU countries, including the Netherlands, have not yet given a definitive response on whether they will send fighter jets.

However, Poland has indicated that it would be prepared to supply fighter jets in co-ordination with Nato.
 
Ndio maana tunauliza mkuu tupate taarifa Mkuu!!!Kuuliza ili kupata taarifa sio tatizo mkuu!!
Wewe upo sahihi nachosema hao warusi na wamagharibi lao moja huwa sipendi kujadili hizo mambo kwa kuwa zinachochea sana kwa kiwango kikubwa na wao wanapenda sana kuona tukijadili hata kama haituhusu ni mpango wao hao wahuni...
 
"The Art and Power of War is to influence others to join your fight"

Mark Arthur.

Hii ndio Sera ya Marekani. Kama hauwezi kuwashawishi wengine kuungana na wewe kupigana Vita Basi you are weak.

Kuwashawishi wengine kupigana bega kwa bega na wewe Ni Nguvu kubwa Sana. Ndio maana unaona Urusi imeshindwa kuishawishi hata Beralus kupigana upande wake.
Huo ni uoga usiupambe

Wanasemaga

"The STRONGEST man is the one who stands ALONE"
 
Back
Top Bottom