Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

1675091402494.png
 
Huo ni ukweli hambao unawauma wengi mkuu lakini Haina budi kuvumilia maana Hali hiyo haiepukiki.., urusi Anaenda kuchanikachanika kama tambala bovu.., kiukweli inasikitisha maana wengi walimtegemea urusi..,Kwa Sasa hatuna budi kuyatii matakwa ya USA kwa ghalama yoyote [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Samahani mkuu hivi kwa hii kazi unayofanya wanakulipa? Au ni ushabiki tu
 
Ww3 is loading,NATO wameanza kupanick


⚡️⚡️World War III would start the moment Russian tanks arrived in Kyiv and on the borders of Europe. Making sure they do not arrive is the only way to stop World War III" — Italy's defence minister says https://t.co/bMU3FsSKFwView attachment 2499889
Wao wanaona kwao ni sawa kuwa karibu na border za Russia Ila Russia kuwa karibu na wao ni ww3 😂😂😂
 
Sio waandish ndio wame weka equivalent


Ili dudia ijue thaman ya Reward na kuongez amasa
Inaonekana hujaelewa swali, Mimi niliuliza kwamba urusi mbona alitangaza hicho kias Cha fedha kwa dollar badala ya kutangaza kwamba mhusika atapewa lable kadhaa??
Hii inaonesha kwamba hata wale hambao wanajifanya wako msitari wa mbele kupinga matumizi ya dollar,hawatekelezi kwa vitendo Bali ni maneno ya mdomoni tu.., hivyo US-dollar itaendelea kuwa world currency kwa miaka mingi ijayo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ufaransa walitamka kbs kuwa kama Urusi watatumia nuclear wao hawatajibu au hawatakuwa miongoni mwa watakaojibu kwa nuclear.

France will not respond with nuclear weapons should Russia use them against Ukraine, French President Emmanuel Macron said.

Kuna watu wanafikiri nuclear ni silaha za kawaida.
Kati ya nchi waoga/wajanja n.k. ni Ufaransa.Hata wakati wa Hitler..walijisalimisha kwake bila mapigano....ndivyo walivyowale

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Walio panga kuivamia Ukreine, walio amrisha kuivamia Ukreine, walio ivamia Ukrene, na wanao shabikia kuvamiwa Ukreine Na kuuawa Watu na Viumbe vingine visivyo na hatia...LAANATULAAH!!! HAO WOOTE NI FINNAR JEHANNAM HALIDINA FIHA ABADAN [emoji91][emoji91][emoji35] TUTÙBWI HAWATATOKA HUMU ASILAN
[emoji115]Muisiharamu na dua zake za kikafiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji115]Muisiharamu na dua zake za kikafiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamuona Mungu babu yako mzaa mama eeh?!
Mtu gani usie jua la Dhara wa la Maskhara?? Watu wasio na viumbe wasio hatia wanakufa ww unamshabikia putin!?
Utavuna upesi!
[emoji116][emoji116]
Torah.28
15 Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata.
16 Utalaaniwa mjini, utalaaniwa na mashambani.
17 Litalaaniwa kapu lako na chombo chako cha kukandia.
18 Utalaaniwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
19 Utalaaniwa uingiapo, utalaaniwa na utokapo,
20 Bwana atakuletea laana na mashaka, na kukemewa, katika yote utakayotia mkono wako kuyafanya, hata uangamie na kupotea kwa upesi; kwa ule uovu wa matendo yako, uliyoniacha kwayo.
21 Bwana atakuambatanisha na tauni, hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiayo kwa kuimiliki.
22 Bwana atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa hari ya moto, na kwa upanga, na kwa ukaufu, na kwa koga; navyo vitakufukuza hata uangamie.
23 Na mbingu zako zilizo juu ya kichwa chako zitakuwa shaba, na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.
24 Bwana atafanya mvua ya nchi yako iwe vumbi na mchanga; itakujilia juu yako kutoka mbinguni hata uangamie.
25 Bwana atakufanya upigwe mbele ya adui zako; utawatokea juu yao kwa njia moja, lakini utakimbia mbele yao kwa njia saba; nawe utatupwa huko na huko katika falme zote za duniani.
26 Na mzoga wako utakuwa chakula cha ndege wote wa angani, na wanyama wote wa duniani, pasiwe na mtu wa kuwafukuza.
27 Bwana atakupiga kwa majipu ya Misri, na kwa bawasiri, na kwa pele, na kwa kujikuna, ambayo hupati kupoa.
28 Bwana atakupiga kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni;
29 utakwenda kwa kupapasa-papasa mchana, kama apapasavyo kipofu gizani, wala hufanikiwi katika njia zako; nawe sikuzote utaonewa na kutekwa nyara, wala hapatakuwa na mtu wa kukuokoa.
30 Utaposa mke na mume mwingine atalala naye; utajenga nyumba usiikae; utapanda mizabibu usitumie matunda yake.
31 Ng'ombe wako atachinjwa mbele ya macho yako, usile nyama yake; utanyang'anywa punda wako mbele ya uso wako kwa jeuri, usirudishiwe; kondoo zako watapewa adui zako, usipate mtu wa kukuokoa.
32 Wanao na binti zako litapewa taifa lingine, na macho yako yataangalia, na kuzimia kwa kuwatamani mchana kutwa; wala hapatakuwa na kitu katika uwezo wa mkono wako.
33 Matunda ya nchi yako, na taabu yako yote, vitaliwa na taifa usilolijua; utaonewa tu, na kupondwa chini daima;
34 hata uwe mwenye wazimu kwa yaonwayo na macho yako, utakayoyaona.
35 Bwana atakupiga magoti na miguu kwa jipu lililo zito, usilopata kupozwa, tokea wayo wa mguu mpaka utosi wa kichwa.
36 Bwana atakupeleka wewe, na mfalme wako utakayemweka juu yako, kwa taifa usilolijua wewe wala baba zako; nawe huko utatumikia miungu mingine ya miti na mawe.
37 Nawe utakuwa ushangao, na mithali, na dharau, kati ya mataifa yote huko atakakokuongoza Bwana.
38 Mbegu nyingi utazichukua nje shambani, lakini utavuna haba, kwa kuwa nzige watazila.
39 Utapanda mizabibu na kuitengeza, wala hutakunywa katika divai yake, wala kuichuma kwani italiwa na mabuu.
40 Utakuwa na mizeituni katika mipaka yako yote usijipake mafuta yake; kwa kuwa mzeituni wako utapukutika.
41 Utazaa wana na binti, lakini hawatakuwa wako wewe; kwa sababu watakwenda utumwani.
42 Miti yako yote, na mazao ya nchi yako, nzige watakuwa nayo.
43 Mgeni aliye kati yako atazidi kupaa juu yako; nawe utazidi kushuka chini.
44 Yeye atakukopesha, wala wewe usimkopeshe; yeye atakuwa ni kichwa, wewe utakuwa mkia.
45 Na laana hizi zote zitakujilia juu yako, zitakuandama na kukupata, hata uangamizwe, kwa kuwa hukuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, kushika maagizo yake na amri zake alizokuagiza;
 
Kweli ninacho kuambia hata USA na NATO watakuja kukiri hivi karibuni sasa hivi HIMARS SIYO TISHIO TENA MAANA DAWA BORA ZAIDI ZIMESHA PATIKANA PIA URUSI YUPO MBIONI KUTUMIA PRODUCT YAKE MPYA YA SILAHA ZENYE KUJIENDESHA KIVITA ZENYEWE BAADA YA MIEZI MIWILI TU ZITAKUWA ULINGONI
Mkuu sielewi jinsi unavyoona mambo. Wakati HIMARS inafaulu kupiga vituuo kwa umakini, inafanya kazi yake. Kwa nini mtu yeyote akiri kitu?

warusi wakijifunza kuweka stoo za grenedi na vituo vya wakubwa mbali na mstari wa mapigano, basi umbali wa roketi za karibu hautatosha tena. Hapo itatokea swali kama Marekani inakubali kutoa roketi ya ngazi ya pili- Hadi sasa Marekani imelinda Urusi kwa kukataa roketi zinazofikia zaidi ya kilomita 70/80.

Kuhusu silaha mpya za Urusi - sijasikia kwamba kuna watu wenye hofu. Maana Warusi wana mahandisi wazuri wanaoweza kubuni kitu kipya. Ila hadi sasa tasnia yao haikufanikiwa sana kutoa tekinolojia mpya kwa idadi kubwa na ubora unaohitajika.

Ona T14 Armata.
 
Inaonekana hujaelewa swali, Mimi niliuliza kwamba urusi mbona alitangaza hicho kias Cha fedha kwa dollar badala ya kutangaza kwamba mhusika atapewa lable kadhaa??
Hii inaonesha kwamba hata wale hambao wanajifanya wako msitari wa mbele kupinga matumizi ya dollar,hawatekelezi kwa vitendo Bali ni maneno ya mdomoni tu.., hivyo US-dollar itaendelea kuwa world currency kwa miaka mingi ijayo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kutumia equivalent to dollars ndo ina maanisha munashinda SMO kule Ukraine!! Maana unashadadia kwa nguvu sana mkuu.
 
Kwa nini atangaze hicho kias kwa dollar na sio luble?? [emoji28][emoji23]
Dollar ni kama maji usipoyanywa utayaoga au kuyatumia kivingine tu
Mpaka wazalendo wanajisahau,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Soma vizuri hiyo habari Kisha toa maana ya mabano hunaona neno luble humo?
 
Back
Top Bottom