The down-rated T-72 has an outdated 1PN96MT-02 analog thermal sight thatās comparable to the sights NATO armies installed on their own tanks back in the 1970s. This emergency T-72B1 Obr. 2022 is ... not a great tank.
www.forbes.com
Ona taarifa juu ya changamoto kwa Warusi wakichukua vifaru vya kale kutoka sehemu za kuegesha (maana vile 10,000 vinayosemekana walikuwa navyo vilikaa miaka mingi kwenye maegesho; ambako vingi vilianza kuoza tayari). NA sasa kuna dalili za uhaba wa vipuli hasa kwa ajili ya 2sights" yaani vifaa vinavyoruhusu kuona wakati wa usiku na kulenga mzinga kwa umakini . . . maana Warusi hawana vifaa vya kwao wanakopi kifaa kutoka Ufaransa.
Taarifa kutoka forbes.com aaah! Business as us... taarifa yenyewe wamenukuu Kyiv Independent waliowanukuu Military balance 2021[emoji16]
Vichekesho kama hivi havijaanza juzi wala jana kwenye huu mgogoro
"According to available information, the Russian occupation forces operating in Ukraine have stockpiles of ammunition and food for no more than three days," the armed forces official said in a statement.
Hiyo ilikuwa ni march wakati hata mariupol bado haijaanguka Leo watu wapo karibu kuikamata Bakhmut.
Wanasema kati ya vifaru 10k ambavyo urusi walivyonavyo store ratio ya vizima na vilivyokufa ni 1 ya 10. Hii chumvi sio ya kawaida. Hadi wenyewe wamejishtukia.
Kuna haka ka kipengele hapa wamekaweka.
"but it is hard to know how seriously to take this number: very likely nobody, including the Russians, really knows."
Hiyo article yote ni rubish. Kuna mambo yameandikwa hapo sio tu yanastaajabisha bali yanachekesha.
The presence of T-62s indicates that, despite its theoretical armor reserve of thousands of tanks, Russia is running low on T-90s, T-80s, T-72s and T-64s ā representing at least three generations of tank ā and is now scraping the bottom of the barrel with tanks made when Gerald Ford was president, disco was going mainstream and Bill Gates and Paul Allen formed a little company called āMicro-soft.ā
Hii si ni mipasho hii [emoji16]. Haina tofauti na ile ya kusema mara ya mwisho Arsenal wanashinda epl Zuchu alikuwa hajazaliwa.
Alf how do you arrive to such conclusion kwamba presence of T62s on battlefield indecates shortage of 3rd generation tanks!? Haiwezekani kuwa Urusi anatumia mfumo wa 1st in 1st out. Kwa nini apeleke vifaru vya kisasa battlefield kwenda kupigana na adui anayemzidi firepower by far wakati ana mavifaru ya zamani kwa maelfu store ambayo yanaweza kuifanya kazi ambayo haitakuwa ni hasara sana kama yakiunguzwa au kutelekezwa!??
Kwani hivyo vifaru viliwekwa store kwa maelfu ili iweje!? Kama wangekuwa hawavihitaji ya nini wavihifadhi!?
Why Ukraine Capturing So Many Antique Tanks Is Bad News For Russia
Bad news for Russia and good news for Ukraine I guess!?
Last time I checked Ukraine's Zelensky was requesting tanks from west.
While the acquisition of tanks from the West will be considered a diplomatic coup for Mr Zelensky, he said on Tuesday that his country required at least 300 of them to defeat Russia.
Maybe they are not capturing enough Russian T62s, Are they!?