MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
Tuwekee na ya USA vs Vietnam
Hawakua majirani.....yaani ni kama Tanzania isumbuliwe na kajirani kama Rwanda hapo..
Tuwekee na ya USA vs Vietnam
Huoni anapigana na Mataifa yote ya Nato na Ulaya plus Marekani?Hehehe mnachekesha....yaani huyu ndiye supapawa?
Kama michoro walioweka ni CNN we ni nani ubishe😅😅Wewe usidanganywe na hiyo michoro
Hii comment umelipwa?Hivi hizi stories za vita kati ya urusi na Ukraine zinawalipa?
I
Ntaku-keep updated mkuu🫱🏻🫲🏽🫱🏻🫲🏽Unajua kujifurahisha, you've made my day better. Usiwe unakaa kimya na kupotea muda mrefu hadi MK254 anakuja humu jamvini kutujazia uharo. Unajua kuwauzi Pro-NATO aisee
Huoni anapigana na Mataifa yote ya Nato na Ulaya plus Marekani?
Hayo ni nawazo ya lgbtq maana ndo kitu pekee wanakiwezaRussia produces more tanks than the rest of the world (including China) combined
View attachment 2499629
Hivi kweli vifaru 40 vya 🐆 vikamuondoe Russia 🇷🇺 ndani ya ukraine
Na Ni Kweli Nchi ile inafutika Kabisa inageuka kuwa magofu..Mashoga wakishapata hela katika deal ya silaha wataidumpMAURIOPOL eneo la kiviwanda sana sana vya VYUMA
SOLEDAR eneo la uchimabji chumvi
UGLEDAR eneo la machimbo sana sana makaa ya mawe
BAKHMUT sijajua
Ila RUSSIA anapigana kimkakati sana kadri UKRAINE anavyokaza shingo ndio anapotea DUNIANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama haogopwi tena kwanini NATO inaendelea kuwepo? Na kwann biden mwenyewe alisema anaogopa kuingia vitani na mrusi?Aliogopwa enzi zile, ila kwa ambavyo ameaibishwa na kataifa kadogo, hana lolote tena.
Tunaangalia ukubwa sio ujirani.Hawakua majirani.....yaani ni kama Tanzania isumbuliwe na kajirani kama Rwanda hapo..
Mnona Ukraine alisema urusi karusha kombora kwenda Poland na likaua watu? Au poland sio NATO?Mwambieni akosee njia ashambulie kataifa kamoja ka NATO ndio mje muongee.
Ndio maana nilimuuliza hilo swali.Pro Russia wenzio Mathanzua Naye kaleta hizo news na ziko hapa, lakini nashangaa hujakosoa..,ndio maana Mimi Huwa sisikii kelele za mtu yeyote hapa jamvini maana mnakosoa kwa mihemko na hisia hasi
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Lakini wewe ukiulizwa hujibu bali unaleta mazingaombwe ya nje ya swali.Kwani kuuliza kosa ?
Ndiko anakokuamini kuleta ushahidi wake.Mkuu sijui changamoto yako ni utafiti au zaidi hisabati. Robo ya jeshi la Hitler-Ujerumani si kweli hata kidogo. Stalingrad ilikuwa vibaya sana kwao, lakini si vibaya vile.
Kuhusu vifo vya Stalingrad Unaleta makala ya wikipedia (ambayo ni sawa) inayotaja wanajeshi lakhi 2-4 Wajerumani halafu lakhi 1 hadi 1 na nusu upande wa kila momoja wa wenzao Waitalia, Waromania na Wahungaria, pamoja na Warusi waliowasadia Wajerumani, jumla mnamo lakhi 7 na nusu hadi 8 na nusu; Upande wa Wasovyeti (Warusi) nusu milioni hadi milioni (takwimu hii haionyeshi wangapi wa majeruhi waliishi).
kama ungeangalia pia ukubwa wa jeshi Ujerumani ungeweza kusema kitu lakini hujafanya. Mwaka 1943 jeshi la Ujerumani ilikuwa na askari 9,480,000; hii ni bila vikosi vya SS.
Tuache ujinga jamani hivyo vifaru 40 hata somalia wanavimudu hata jwtz ni ujinga tu ili kumshinda mrusi tena ndani ya ukrain tu unatakiwa kuwa na vifaru 10000 hivi vilivyo activeRussia produces more tanks than the rest of the world (including China) combined
View attachment 2499629
Hivi kweli vifaru 40 vya [emoji249] vikamuondoe Russia [emoji635] ndani ya ukraine