Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Iyo taarifa umeitoa wapi ya kwamba Soviety walipoteza ndege nyingi kuliko ujerumani.
Mkuu mbona unapenda kupinga mambo kwa kuuliza maswali lakini hupendi kuhakikisha mwenyewe??
Ona
Soviet Union: Total losses were 17,900 bombers, 23,600 ground attacker, 46,800 fighter aircraft, and 18,100 training, transport and other aircraft; an overall loss of over 106,400 aircraft; 46,100 in combat and 60,300 non-combat.
Germany produced 119,907 aircraft of all types, including bomber, transport, reconnaissance, gliders, training, seaplanes and flying boats. Most of them were either destroyed, damaged, captured or sold.[2] Estimated total number of destroyed and damaged for the war totaled 76,875 aircraft, of which 40,000 were total losses and the remainder significantly damaged. By type, losses totaled 21,452 fighters, 12,037 bombers, 15,428 trainers, 10,221 twin-engine fighters, 5,548 ground attack, 6,733 reconnaissance, and 6,141 transports.

Chanzo Equipment losses in World War II - Wikipedia
(muda ilikuwa sekunde 12 ya kuitafuta na kupata)
 
Waliweza kushinda Ujerumani 1941-1945 kwa sababu Ujerumani ilikuwa na ujinga kujiingiza katika vita dhidi ya nchi nyingi iliyoshinda uwezo wake. Au unaamini Warusi walishinda Ujerumani peke yao??
Asilimia 80 la jeshi la Hitler lilimezwa na Warusi.kukosa Urusi sasa ivi tungekuwa tunasoma kijerumani.

Kuna sehemu kule Urusi kulikuwa kunaitwa Staligrad.hapo kuna robo la jeshi la Hitler lilipotelea hapo.

Battle ya Staligrad ndo iliondoka na maisha ya watu wengi kuliko battle yoyote ile dunian

Ilikuwa kati Germany, itary, hungary, romania vs Soviety.

Yani mwanaume mmoja alichangiwa na mataifa 4 na bado mwisho akaondoka na ushindi.alafu utasikia paka mmoja hakiwa huku anamtukana mrusi.
Screenshot_20230129-192640_Chrome.jpg
Screenshot_20230129-192707_Chrome.jpg
 
Mkuu mbona unapenda kupinga mambo kwa kuuliza maswali lakini hupendi kuhakikisha mwenyewe??
Ona
Soviet Union: Total losses were 17,900 bombers, 23,600 ground attacker, 46,800 fighter aircraft, and 18,100 training, transport and other aircraft; an overall loss of over 106,400 aircraft; 46,100 in combat and 60,300 non-combat.
Germany produced 119,907 aircraft of all types, including bomber, transport, reconnaissance, gliders, training, seaplanes and flying boats. Most of them were either destroyed, damaged, captured or sold.[2] Estimated total number of destroyed and damaged for the war totaled 76,875 aircraft, of which 40,000 were total losses and the remainder significantly damaged. By type, losses totaled 21,452 fighters, 12,037 bombers, 15,428 trainers, 10,221 twin-engine fighters, 5,548 ground attack, 6,733 reconnaissance, and 6,141 transports.

Chanzo Equipment losses in World War II - Wikipedia
(muda ilikuwa sekunde 12 ya kuitafuta na kupata)
Kwani kuuliza kosa ?
 
Asilimia 80 la jeshi la Hitler lilimezwa na Warusi.kukosa Urusi sasa ivi tungekuwa tunasoma kijerumani.

Kuna sehemu kule Urusi kulikuwa kunaitwa Staligrad.hapo kuna robo la jeshi la Hitler lilipotelea hapo.

Battle ya Staligrad ndo iliondoka na maisha ya watu wengi kuliko battle yoyote ile dunian

Ilikuwa kati Germany, itary, hungary, romania vs Soviety.

Yani mwanaume mmoja alichangiwa na mataifa 4 na bado mwisho akaondoka na ushindi.alafu utasikia paka mmoja hakiwa huku anamtukana mrusi.View attachment 2499449View attachment 2499450
Mkuu sijui changamoto yako ni utafiti au zaidi hisabati. Robo ya jeshi la Hitler-Ujerumani si kweli hata kidogo. Stalingrad ilikuwa vibaya sana kwao, lakini si vibaya vile.

Kuhusu vifo vya Stalingrad Unaleta makala ya wikipedia (ambayo ni sawa) inayotaja wanajeshi lakhi 2-4 Wajerumani halafu lakhi 1 hadi 1 na nusu upande wa kila momoja wa wenzao Waitalia, Waromania na Wahungaria, pamoja na Warusi waliowasadia Wajerumani, jumla mnamo lakhi 7 na nusu hadi 8 na nusu; Upande wa Wasovyeti (Warusi) nusu milioni hadi milioni (takwimu hii haionyeshi wangapi wa majeruhi waliishi).

kama ungeangalia pia ukubwa wa jeshi Ujerumani ungeweza kusema kitu lakini hujafanya. Mwaka 1943 jeshi la Ujerumani ilikuwa na askari 9,480,000; hii ni bila vikosi vya SS.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani umetoka kupost dakika 3 tu zilizopita nashangaa muda huu unajizima data.

Umetoka kunikosoa sasa ivi na makala kutoka wikipedia.leo hii hao hao kwangu unawaona waongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Screenshot_20230129-194220.jpg
Screenshot_20230129-194228.jpg
 
Kitu gani usichoelewa.kwa kifupi Staligrad hakuna mwanajeshi wa Ujeruman wala washilika wake aliyeweza kutoka.zaidi ya waliokubali kujisalimisha maana walizungukwa
 
Mpuuzi mmoja anaeaminiwa na wajinga wenzake wa hapa JF kwa kuchambua silaha za uongo na kweli kwa kutumia Google maana hajawahi hata kuibeba pistol,wkt SMO inaanza akawa anaeleza waumini wake humu namna ambavyo Putin akikaa mikono anavyoiweka mezani kujizuia kutetemeka maana anaumwa na blah blah blah kibao,nilim-block na ujinga wake.Sijui aliishia wapi.
🤣🤣🤣🤣Watu mna dharau hatari.
 
The Ukrainian military reported more fighting and Russian missile strikes along the eastern front of the conflict this week.

Moscow's forces pounded the town of Vuhledar, located in the Donetsk region, with nearly 300 rockets and artillery shells in one day, according to a Ukrainian military spokesperson.

Ukraine also said its troops were engaged in "fierce fighting" around the eastern city of Bakhmut this week, and that its military has withdrawn from the nearby town of Soledar.

This map shows the latest:

f14b0608-6ee2-4505-800d-95e3fdc8f575.jpg

Halafu kuna jitu MK254 litabisha [emoji28][emoji28][emoji28] hii vita itaishia Kyiv
Unajua kunifurahisha, you've made my day better. Usiwe unakaa kimya na kupotea muda mrefu hadi MK254 anakuja humu jamvini kutujazia uharo. Unajua kuwauzi Pro-NATO aisee
 
Na Ukraine ndo aliokuwa anawapa some materials za kuundia silaha. Huyi nae ndio anaenda kumilikiwa na urusi kwa hio automatically lazma wata withdraw tu. Wanajikaza yani wakati silaha kutengeneza ni expensive kama hauna raw materials.
Yes ni kweli kabisa Mkuu.
Ukraine alikua kibaraka mkubwa wa NATO
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani umetoka kupost dakika 3 tu zilizopita nashangaa muda huu unajizima data.

Umetoka kunikosoa sasa ivi na makala kutoka wikipedia.leo hii hao hao kwangu unawaona waongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

View attachment 2499464View attachment 2499465
Mkuu jaribu kusoma. Herufi zinaunda maneno, maneno yanawakilisha maana fulani. Sikusema makala za wikipedia ulizoleta ni uwongo. Kama sivyo: ONYESHA!!
Ila una matatizo kuzisoma na kupiga hisabati. Ni hiyo tu.
 
Mkuu mbona unapenda kupinga mambo kwa kuuliza maswali lakini hupendi kuhakikisha mwenyewe??
Ona
Soviet Union: Total losses were 17,900 bombers, 23,600 ground attacker, 46,800 fighter aircraft, and 18,100 training, transport and other aircraft; an overall loss of over 106,400 aircraft; 46,100 in combat and 60,300 non-combat.
Germany produced 119,907 aircraft of all types, including bomber, transport, reconnaissance, gliders, training, seaplanes and flying boats. Most of them were either destroyed, damaged, captured or sold.[2] Estimated total number of destroyed and damaged for the war totaled 76,875 aircraft, of which 40,000 were total losses and the remainder significantly damaged. By type, losses totaled 21,452 fighters, 12,037 bombers, 15,428 trainers, 10,221 twin-engine fighters, 5,548 ground attack, 6,733 reconnaissance, and 6,141 transports.

Chanzo Equipment losses in World War II - Wikipedia
(muda ilikuwa sekunde 12 ya kuitafuta na kupata)
Akikujibu nitag

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kitu gani usichoelewa.kwa kifupi Staligrad hakuna mwanajeshi wa Ujeruman wala washilika wake aliyeweza kutoka.zaidi ya waliokubali kujisalimisha maana walizungukwa
Mkuu hakuna ambacho sikuelewa. Nimekuelewa vizuri sana , ulisema Wajerumani walipoteza robo ya jeshi lao huko Stalingrad.

Nimeelewa pia kwamba hujafanya utafiti na hisabati imekushinda.
Stalingrad Wajerumani walipigwa vibaya ila waliokufa walikuwa labda asilimia 3-4 ya jeshi lao si asilimia 25 (=1/4) jinsi ulivyodai.

Wako pia walioondoka Stalingrad, kinyume na unachodai. Tangu Novemba 1942 Wajerumani mjini Stalingrad waliviringishwa na Warusi, hadi tarehe 23 Januari ndege zilifika na kuondoka Stalingrad, tarehe 31 Januari Wajerumani walisalimisha amri. Ila si wengi walioondoka.

Mkuu heri ufanye utafiti kidogo ukitaka kutaja historia, na ufanye mazoezi ya hisabati, upate kuona tofauti kati ya asilimia 4 na 25!
 
Waliofanikiwa kutoka na ndege walikuwa wanajeshi elfu 35 tu.wengine walikufa na wengine walikubali kuweka silaha chini.

Uwezi ukatoa watu wengi kwa kutumia ndege uwanja wa vita ikiwa mkoa wenyewe ulikuwa umezingirwa.wewe iyo habari ya kusema watu wengi waliondoka ulitoa wapi.
 
Hongera, sasa umefanya utafiti!
Kwa hiyo: Je tujo pamoja kwamba si robo ya jeshi la Ujerumani ilipotea Stalingrad? Ila asilimia 3-4?
Na je tuko pamoja kwamba baada ya kuviringishwa, sehemu ndogo ya wanajeshi Wajerumani waliweza kuondoka kwa njia ya ndge?
(ila namba niliyokuta ni wajeruhiwa 25,00 tu walioweza kuondoka kwa njia ya ndege, lakini tusivutane elfu 25 au 35...)
 
Back
Top Bottom