Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Najua lakini ile risasi ya G3 ukiangalia ni tofauti japo hapo juu nimeambiwa nayo ni 7.62mm lakini kwenye magazine ya AK haikai. Hapo nahisi labda ganda ndio kubwa sio risasi.
It means hata risasi ya AK kwenye G3 haitakaa hata chamber yake itakuwa kubwa
Nilichosema zote ni 7.62 ila ujazo wa baruti ktk risasi za nchi za nato ni kubwa inasaidia urushwaji wa wa kichwa cha risasi na ikisaidiana na muzzle hata mlio tofauti na Ak
 
Nilichosema zote ni 7.62 ila ujazo wa baruti ktk risasi za nchi za nato ni kubwa inasaidia urushwaji wa wa kichwa cha risasi na ikisaidiana na muzzle hata mlio tofauti na Ak
Exactly inategemea na nchi zinazotengeneza hizo guns for instance baadhi ya bunduki zinazotumia risasi za 7.62mm ni Ar- lightning, Mk14, Scourge, Dmr14, etc .. Cja google jamani huwa nacheza sana video games🥹
 
Vile visima alivichukua na kulikabidhi jeshi maana vilikuwa vyaendeshwa na ISIL
Screenshot_20230129-164821.png
 
[emoji779]️[emoji1126] "Putin cannot and will not lose the war": Hungarian Prime Minister Viktor Orban made some remarks about the situation in Ukraine

Orban received journalists in Budapest, including Rod Dreher, editor-in-chief of the American Conservative, who outlined the Hungarian prime minister's main theses:

[emoji3502]Russia cannot allow a NATO presence in Ukraine.
[emoji3502]Long gone is the time when Russia could conquer Ukraine and establish a pro-Russian government in the country.
[emoji3502]Russia's goal is to turn Ukraine into an ungovernable ruin so that the West cannot claim it as a "prize. Ukraine, like Afghanistan, is a no man's land."
[emoji3502]The West does not understand that time is playing in Russia's favor in the war in Ukraine.
[emoji3502]"Direct involvement of NATO troops in the war cannot be ruled out...The West is at war with Russia."
[emoji3502]Не excludes that Putin may use tactical nuclear weapons.
[emoji3502]"In wars the Russians are traditionally weaker in the beginning, but later they cannot be stopped.”

[emoji779]️[emoji1255] The Ukrainian Foreign Ministry reacted to Orban's remarks, calling them "categorically unacceptable”. The Hungarian ambassador will be summoned to the Ukrainian Foreign Ministry for a "frank conversation.”

Source: @radiomirby

[emoji336] InfoDefenseENGLISH


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku Moja Putin ataulizwa hawa wote walikufa nini hasa sababu ya kuanzisha vita majibu mara NAZI,Mara Hybrid War mara Russophobia in East ukraine.Haya ni makaburi mapya kusini mwa Urusi waliozikwa hapa ni wapigani wa Wagner.
Screenshot_20230129-171653.png
 
Good thread.

Thanks for this information
Jukumu la kutafuta ni lako
Sasa umeleta ya Nini hapa Ndugu yangu...ila Mimi najua ni jeshi la mabeberu, USA..Baada ya Putin kuwazidi wakaona na wao angalau waonekane wapo huko Syria kwa hiyo wakachukua eneo Hilo lenye visima vya mafuta...
 
Halafu Africa mashariki wanafuata misingi ya mwingereza sio mjerumani so its better ukajikita huko
Sina mpango wa kujiunga jeshi ingawa umri unaruhusu. Najua tunafuata mfumo wa Uingereza ila binafsi huwa haunivutii, napenda mfumo wa Ujerumani ambao uko proven kuwa the best since WW1 na WW2. Napenda vita ya kupunguza madhara kwa jeshi. Bora nimchague Field Marshal Erwin Rommel mzee wa defensive lines, kuliko Marshal Georgy Zhukov mzee wa human waves.

Na nimeanza kufuatilia jeshi kuanzia nilipoanza kujisomea WW1 na WW2. Casualties za Wehrmacht ni ndogo kulinganisha na majeshi mengine, Ujerumani ilipoteza ndege chache kuliko allies kwenye WW2. Ilipoteza meli chache, wanajeshi wachache yani kila kitu efficiency yao ilikuwa kubwa. Soviet Union ilipoteza ndege nyingi kuliko Ujerumani, wanajeshi wengi kuliko Ujerumani na vifaru vingi kuliko Ujerumani wakati Soviet ilikuwa inapambana na Germany pekee. Germany ilipambana na British & Commonwealth, US, France, Poland na wengine.
 
NATO na wachangiaji wake humu nendeni direct UKRAINE la sivyo UKRAINE mnaikosa

Ila hii SMO imekuja na mengi kuna watu walituambia RUSSIA hajui vyakula vyakwenda navyo vitani anabeba viazi

Wakaja wakasema RUSSIA anatumia vifaa vya kwenye washing mashine ndio maana silaha zake hazipigi vizuri

Tukaambiwa RUSSIA imeishiwa silaha ila tunawakumbusha RUSSIA anaweza pigana miaka 10 mfululizo asikumbane na scarcity ya silaha

Tukaambiwa PUT IN anaumwa nn cjui muangalie akitembea mkono anavyoueka

Ila sisi tunawaambia yakwamba hii SMO itaendelea mpaka malengo ya RUSSIA yafanikiwe na malemgo ya awali ya RUSSIA nikubeba DON BASS ZAPO na KHERSON ila wakikaza shingo watu watafika mpaka LIVIV

Mwisho mnaotegemea RUSSIA kushindwa na UKRAINE kwa hii misaasa uchwara poleni sanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpuuzi mmoja anaeaminiwa na wajinga wenzake wa hapa JF kwa kuchambua silaha za uongo na kweli kwa kutumia Google maana hajawahi hata kuibeba pistol,wkt SMO inaanza akawa anaeleza waumini wake humu namna ambavyo Putin akikaa mikono anavyoiweka mezani kujizuia kutetemeka maana anaumwa na blah blah blah kibao,nilim-block na ujinga wake.Sijui aliishia wapi.
 
Hii Russia hakuna vita wanayoweza kushinda mwaka mzima hakuna kitu ni kuua raia tu hadi wamepeleka wafungwa vitani, ngoja vifaru vije viwakute hapo wakiwa bado wanalewa Vodka. Bure kabisa.
 
[emoji779]️[emoji1126] "Putin cannot and will not lose the war": Hungarian Prime Minister Viktor Orban made some remarks about the situation in Ukraine

Orban received journalists in Budapest, including Rod Dreher, editor-in-chief of the American Conservative, who outlined the Hungarian prime minister's main theses:

[emoji3502]Russia cannot allow a NATO presence in Ukraine.
[emoji3502]Long gone is the time when Russia could conquer Ukraine and establish a pro-Russian government in the country.
[emoji3502]Russia's goal is to turn Ukraine into an ungovernable ruin so that the West cannot claim it as a "prize. Ukraine, like Afghanistan, is a no man's land."
[emoji3502]The West does not understand that time is playing in Russia's favor in the war in Ukraine.
[emoji3502]"Direct involvement of NATO troops in the war cannot be ruled out...The West is at war with Russia."
[emoji3502]Не excludes that Putin may use tactical nuclear weapons.
[emoji3502]"In wars the Russians are traditionally weaker in the beginning, but later they cannot be stopped.”

[emoji779]️[emoji1255] The Ukrainian Foreign Ministry reacted to Orban's remarks, calling them "categorically unacceptable”. The Hungarian ambassador will be summoned to the Ukrainian Foreign Ministry for a "frank conversation.”

Source: @radiomirby

[emoji336] InfoDefenseENGLISH


Sent using Jamii Forums mobile app
"In wars the Russians are traditionally weaker in the beginning, but later they cannot be stopped.”

Hatari sana aisee!.
 
Back
Top Bottom