Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawezi kupewa na hata Urusi sio rahisi watumie zao labda Putin kichaa kimpande.
Na ndio maana mpaka leo bado vita inaendelea kwa sababu unajua hii ni kama vita ya russia vs nato kwenye ardhi ya ukraine kwaiyo kila mmoja anamsoma mwenzake ingekua ni russia vs ukraine tu ngoma ingeshaisha kitambo sana
 
Ukraine ndio kavamia eneo la Urusi. Mfano ukrane anafwata ni kwenye majimbo ya donesk, karkive nk nk?
Vita inapiganwa kwenye ardhi ya ukraine kwaiyo ni russia ndie kapelekea jeshi lake kwenye nchi ya mwenzake anachokifanya ukraine ni kupigania ardhi yake.. akija mtu kujimilikisha baadhi ya vyumba kwenye nyumba yako utamwachia?
 
Na mimi nimepata hii leo , Russia anaendelea kuwabana majesh ya ukrain na kuyafyekelea mbali , kama usipoamia hii source bas tena

Russia, Ukraine troops locked in fierce battle in Vuhledar


Hiyo valnedar si imeshatekwa na urusi mkuu?? mohamedidrisa789 hebu njoo huku utoe ufafanuzi [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Na ndio maana mpaka leo bado vita inaendelea kwa sababu unajua hii ni kama vita ya russia vs nato kwenye ardhi ya ukraine kwaiyo kila mmoja anamsoma mwenzake ingekua ni russia vs ukraine tu ngoma ingeshaisha kitambo sana
Hayo ni maamuzi mkuu, huwezi pinga maana watu walisha amua!

Ukraine anavamia ardhi ya Urusi!
 
View attachment 2498374
Kiongozi jisomee mwenyewe hapo juu.. kwamba hao West wenyewe wanatoa misaada ya silaha kwa Ukraine lakini wanaogopa WW III kwa technology za kisasa.. itakuwa ni hatari sana haswa kwa nchi za Ulaya..
Kama Ukraine wanaakili timamu basi kauli kama hizi ziwaamshe


Rafiki wa kweli ni yule anaeungana na wewe kwenye mapambano ukiwa unapigana sio anaekukusanyia mawe kwa mbabe alieshika bunduki ni kukutafutia kifo.
 
Back
Top Bottom