Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine ndio kavamia eneo la Urusi. Mfano ukrane anafwata ni kwenye majimbo ya donesk, karkive nk nk?
Ukraine sio wavamizi. Hali ya Ukraine ni kama hali nyingi za Afrika ambapo kabila fulani linajikuta linakaa katika nchi mbili tofauti, kama vile Wakurya wa TZ na KE, au Waqmasai wa TZ na KE. Majimbo fulani ya Ukraine wanakaa watu wa kabila la Kirussi. Kinachotambuliwa ni "geographical boundary" maana duniani hatutumii "ethnic/tribal boundaries" as those do not matter.
 
Tukiacha nuclear kuna silaha gani Russia haijatumia?
Russia mpaka sasa anatumia silaha alizotumia kwenye vita vya pili vya dunia.. ndio West wanaogopa kupeleka silaha zao za kisasa.. kwa sbb adui atazisoma mapema uwezo wake... Japo wamekubali kupeleka silaha zao za kisasa.. ila kwa shigo upande.. Zelensky kawashika pambaya anachotaka hawanabudi kumpa..
 
Hivi hadi wafanyabiashara wa kibongo waendao China nao wameishaachana na dola ya Marekeni? Natamani kujua hili
Kwa sasa dola imepotea sana kwenye mabenki (sijui sababu ni nini), ukitaka kuagiza kitu kwa dola wanakuomba upeleke proforma invoice ya currency nyingine yoyote isipokua dola.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
UKRAINE

Maeneo yalipiga kura yakatangaza kujiunga na RUSSIA inatakiwa DUNIA ilaani uvamizi wa UKRAINE kwenye ardhi ya RUSSIA maana ni kinyume na sheria za kimataifa kinachofanywa na UKRAINE

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana leo hii Wamasai, Wakurya, au Wamakonde wakipiga kura na kutaka kujiunga na nchi jirani, TZ ikubali tu kirahisi ardhi ya Wakurya au Wamasai igeuka kuwa ardhi ya Kenya, au ile ya Wamakonde iwe Msubiji. Wengine sijui "reasoning capacity" zetu zimehamia wapi. Huu ni uzandiki kupita kiasi.
 
Tuambie kwanini usa kapigwa Vietnam..pia tuambie ni kwanini usa anashawishi nato yote dhidi ya urussi kwanini kama anayo nguvu asiende kusaidia ukrain yeye peke yake
Huko Vietnam US hakupigwa. Alishinda na aliangusha tawala ya huko na kuweka vibaraka wake huko.

US ndio mfadhili mkubwa wa NATO. US ndio anayoyalinda mataifa ya ulaya.

US bila msaada wa hayo mataifa ya ulaya anaweza kupigana na taifa lolote lile Tena zaidi ya taifa Moja. Ata mataifa matano Kwa wakati mmoja. Uwezo huo anao...

Tunapoongelea US tunaongelea Joka Kwa maana ya Shetani nguvu zake sio za kitoto.

Na km ingalikua ndio US anapigana na Ukraine yaani ni siku nyingi tu hako kazelenski kangekua ktk mahandaki

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hapo unachanganya madesa umeshindwa kujua tofauti ya idadi ya vifo na kushinda vita ...nimejua kuwa nabishana na mpumbavuu ..unajua jeshi kubwa kiasi gani la mjerumani lili jisalimisha urusi hakuna popote jeshi kubwa kiasi kile lili wai kujisalimisha tangu kuumbwa kwa dunia hadi leo hii ...vita kali kuliko zote vilipiganwa na urussi siyo marekani
Vovote vile lkn wajerumani waliwauwa Warusi Zaidi ya milioni 20. Na Russia Wala haikuishinda Germany ktk hiyo vita. Jidanganyeni huko

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kukamata majimbo kadhaa mapya majeshi ya Urusi yameendelea kutoa kichapo heavy kwa wanajeshi wa Ukraine!!

Sasa wanataka kukamata mji mwingine!!

Urusi bado anaendelea kutoa kichapo kwa NATO na mataifa viherehere!!

Source: Russia, Ukraine troops locked in fierce battle in Vuhledar
Mtz yeyeto anae ishabikia russia hajui kitu mbaya aliyotufanyia mrussi wakati iddi aminwa alipo tuvamia na kuzuka vita ya Kagera!
[emoji116][emoji116]
mrusi alimsaidia idi amini kwa kumuuzia ndege vita na kutupa masharti magumu tulipo muomba atuuzie heat seaking missiles ambazo zilituishia!
Kukosa Hekima ya nyerere Kuomba msaada wa Anti aircraft Missiles Msumbiji na Algeria na kutusaidia amini angeendelea kutamba mwanza na vita ingekuwa endelevu na kuwa fursa kwa mrusi kubalance vita ili kuwa–balance vita ili Iwe fursa ya kuwa silaha [emoji56][emoji15]
Au Tatizo ww inawezekana ulikuwa bado unanyonya hujui uchungu na athari za [emoji12]
 
Huko Vietnam US hakupigwa. Alishinda na aliangusha tawala ya huko na kuweka vibaraka wake huko.

US ndio mfadhili mkubwa wa NATO. US ndio anayoyalinda mataifa ya ulaya.

US bila msaada wa hayo mataifa ya ulaya anaweza kupigana na taifa lolote lile Tena zaidi ya taifa Moja. Ata mataifa matano Kwa wakati mmoja. Uwezo huo anao...

Tunapoongelea US tunaongelea Joka Kwa maana ya Shetani nguvu zake sio za kitoto.

Na km ingalikua ndio US anapigana na Ukraine yaani ni siku nyingi tu hako kazelenski kangekua ktk mahandaki

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mkuu tusijidanganye. Vietnam Marekani ilishindwa. Hii angalau ni maoni ya wenyewe. Ni kweli kwa sasa wana uwezo mkubwa wa kijeshi upande wa silaha. Ila silaha hazifanyi vita peke yake.
Kwa kushinda Afghanistan nguvu hazikutosha.

Iraki waliweza kumshinda Sadam lakini hawakushinda Iraki - maana hawakuwa tayari kuwekeza zaidi na zaidi.
Yale mambo ya sheitani ni kitoto, samahani. HAdi hapa yote yanaeleweka . . .
 
Russia mpaka sasa anatumia silaha alizotumia kwenye vita vya pili vya dunia.. ndio West wanaogopa kupeleka silaha zao za kisasa.. kwa sbb adui atazisoma mapema uwezo wake... Japo wamekubali kupeleka silaha zao za kisasa.. ila kwa shigo upande.. Zelensky kawashika pambaya anachotaka hawanabudi kumpa..
Swali langu rahisi tu. Silaha gani hajatumia mpaka sasa ukiacha nuclear?
 
Hivi Mkisikiliza uongo na ujinga unaosemwa na kile kizee Sleeping Joe na Wajerumani wapuuzi eti wanapeleka silaha kali kusaidia Ukraine mnadhani Urusi ni Kama Burundi.

Yaani mnadhani Urusi imelala tu idara zake zote za Usalama KGB na zingine zote zimelala tu zinasubiria vifaru vije viue askari wao.

Ukraine atapigwa Sana Vikali this time hata Viwanja vya ndege vitapigwa mpaka mshangae...Vifaru hivyo vitalipuliwa vibaya sana tena vikiingia tu vitachomwa moto...Hii Vita ukraine na hao mashoga wote wanaomuunga hawawezi kushinda kamwe.

Infact kama una akili hii ni vita ya kutuondoa kwenye mnyororo wa majambazi ya West, Na Ukraine itageuka sasa kuwa magofu tu...
Kumbe KGB bado ipo [emoji38]

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
 
Swali langu rahisi tu. Silaha gani hajatumia mpaka sasa ukiacha nuclear?
Mambo mengine niya ndani ya nchi kiongozi.. hapa tunajadili kile ambacho tunakipata kupitia media mbalimbali... mfano kwa sasa West wanataka kutuma au wameshatuma Tank Leopard 2 za Mjerumani na Tank Abraham za Mmarekani.. hizi news zote zipo kwenye mitandao ya habari.

Hivyo siyo rahisi kujua ni aina gani ya silaha mpaka sasa haijatumika na Mrussia au kinyume chake Je ni silaha aina gani mpaka sasa West countries na US hawajatuma kuwasaidia Ukraine.. ss tujadili kile kilichopo kwenye media tu.
 
Mtz yeyeto anae ishabikia russia hajui kitu mbaya aliyotufanyia mrussi wakati iddi aminwa alipo tuvamia na kuzuka vita ya Kagera!
[emoji116][emoji116]
mrusi alimsaidia idi amini kwa kumuuzia ndege vita na kutupa masharti magumu tulipo muomba atuuzie heat seaking missiles ambazo zilituishia!
Kukosa Hekima ya nyerere Kuomba msaada wa Anti aircraft Missiles Msumbiji na Algeria na kutusaidia amini angeendelea kutamba mwanza na vita ingekuwa endelevu na kuwa fursa kwa mrusi kubalance vita ili kuwa–balance vita ili Iwe fursa ya kuwa silaha [emoji56][emoji15]
Au Tatizo ww inawezekana ulikuwa bado unanyonya hujui uchungu na athari za [emoji12]
Hizo mig21 ambazo jeshi la Tanzania lilikuwa linatumia zilitoka wapi?. Wadanganye wasioelewa.

Kwa taarifa yako hata falsafa za uongozi za Nyerere ilikuwa ni idiology za akina V. I Lenin wa Urusi. Kimsingi kipindi cha 60's na 70's Tanzania ilikuwa na mafungamano ya karibu na kimahusiano na Urusi na China kuliko nchi za magharibi. Tanzania kuwa kitovu cha ukombozi kusini mwa Afrika ilikuwa na ufadhili mkubwa wa Urusi kifedha, zana na mafunzo.
 
Vovote vile lkn wajerumani waliwauwa Warusi Zaidi ya milioni 20. Na Russia Wala haikuishinda Germany ktk hiyo vita. Jidanganyeni huko

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sawa tumekusikia mzee wa historia.wasamehe waliyoandika historia.ni kweli Hitler aliteka Urusi na hadi anakufa Urusi ilikuwa ipo chini ya Hitler. Ni makosa ya kiufundi kwenye kuandika historia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom