kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ikipotea ndio thamani Yake inazidi kupanda zaidi.. , fikiria Kila mtu angekuwa na urahisi wa kuipata Hela, nani angemuita boss mwenzie, mwisho hizo Hela zingekuwa takataka tuKwa sasa dola imepotea sana kwenye mabenki (sijui sababu ni nini), ukitaka kuagiza kitu kwa dola wanakuomba upeleke proforma invoice ya currency nyingine yoyote isipokua dola.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app