lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
😂🤣😑😑😱😱😂😂🤣🤣😭😭US will not have time to send Abrams tanks to Ukraine by spring" - Victoria Nuland
Nuland wants first the German tanks to go..."F the EU"
😂🤣😑😑😱😱😂😂🤣🤣😭😭US will not have time to send Abrams tanks to Ukraine by spring" - Victoria Nuland
Nuland wants first the German tanks to go..."F the EU"
Huyo jamaa ana akili timamu sema tu ana IQ NDOGO SANA.Kuna mtu ametushauri tukuchukulie wewe kama comedian!
Tuko pamoja ndugu,ila kuendesha mjadala na wewe nadhani imetosha!Nimegundua pia Sina kipya Cha kujifunza kwako!Sawa,basi vumilieni uwepo wangu..,Wala msipanick ,au sio?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Umeandika Ukraine as a person against Putin. Sasa nakuuliza mara ya pili Ukraine ni nani?Ni nchi huru mwamba.Inatambuliwa na UN.
Kwanza Vita inaandalia utapigwa wapi? Ngumi sio lazima ya uso Kuna nyingine unapigwa kwenye kende.ulitaka washambulie wapi?
Kwahyo zele alitaka kuleta michezo ya darasa la pili, jamaa wakamshitukia, Huyo jamaa akae mezani2 sioni faida anayopata zaidi ya hasara kwa watu wasio na hatiaTokea vita ianze,umeshawahi ona Kyiv wanareport kuwa makombora ya Russia yameua wanajeshi wao?Vipi video ambazo tumeshaziona ambazo wanajeshi wa Ukraine wameweka Kambi kwenye makazi...
Yaani hawa jamaa maboya sana... Wamepiga sana makazi ya watu Donbass wameua zaidi ya Raia wao 14,000 ..Dunia ilikaa kimya kama hakuna kinachoendelea.Kwani Patriot, nazamz na yale machumachuma ya Ujerumani yamesinzia? Mbona nyie mnashambulia miundombinu ya kiraia 🤣🤣😜
Mu - Isael we tulia - hili goma linanyenyuka soon, mtu mmoja hawezi kusumbua ukanda wate, soon he will be sorted.Israel rejects US request to provide missiles for Ukraine – Axios
Israel has turned down a request by the Biden administration to supply its outdated Hawk batteries and surface-to-air missiles to Ukraine amid the conflict with Russia, sources have told Axios...
Hakuna nchi DUNIANI ina vifaru 20,000. Nchi inayo ongoza kuwa na vifaru vingi ni Urusi ndio na idadi yake ni 12,000 mpaka 13,000 ikifuatiwa na super power wa mchongo marekani yenye jumla ina vifaru 5,000 mpaka 6,000 tu nchi zingine zinachezea kwenye 3000 mpaka 200. Sasa sijui hizo statistics zako unazipata wapi kwenye vibanda vya kahawa au kwa mama ntilie.Data zako ulizozipata nikuwa urusi anã vifaru zaidi ya 20,000?
Naona baada ya kipigo akaachiwa shuka la kimasai na nemes tarimoAngalia uso ulivyo chimbika
View attachment 2496846
Taiwan is not a sovereign state. Hujui?Kwa sasa nchi nyingi zenye uwezekano wa kuvamiwa zinafatilia sana kitokeacho Ukraine ili wasije fanya kosa ie, South Korea, Japan, Taiwan hizi ndio nchi ambazo siku yoyote vita kubwa inatokea.
Hii vita imeonesha umuhimu wa artillery na artillery systems
BASI TANGAZA WEWE KULINGANA NA OPINIONS ZAKORussia na Ukraine. But on my opinion hii si kweli!
Ukijua itakusaidia nini, issue Ukraine amevamiwa nchini mwake kila mtu anaona hao uliowataja wanamsaidia we umeona shida wapi. Mbona mmechanganyikiwa kiasi mnahamisha ushabiki kwenye vita? Mnaumwa akili kiasi hiki? Nini kinakuzuia kwenda hospitali kutibiwa. Wenzako wanauawa ndani ya nchi yao we unahoji wanaowasaidia, km siyo uchawi ni nini.Hii vita ni ya Russia na Ukraine au ni Russia dhidi ya Ukraine na washirika wake? Maana kwa kweli Ukraine hayupo peke yake.
Jana Ujerumani imeidhinisha kutoa vifaru vyake aina ya Leopard kwenda Ukraine. Marekani wanafadhili mifumo ya ulinzi wa anga na silaha zingine.
Australia nao wapo upande wa Ukraine. Majuzi Putin akasema kupitia msemaji wake kwamba kama mataifa mengine yataendelea kuipa Ukraine silaha hili vita inaweza kugeuka kuwa vita ya tatu ya dunia. Where are we heading to?