Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

RIP kwa ndugu yetu aliyeishi na kukulia Ukraine. Ameacha mwanamke na mtoto. Jitihada za kumleta nyumbani wakati vita vinaanza zilishindikana na bada ya kifo pia ilishindikana, imebidi mazishi yashuhudiwe kupitia mtandao. Mazishi yamefanyika huko huko na ameshapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.
 
Kwa sasa nchi nyingi zenye uwezekano wa kuvamiwa zinafatilia sana kitokeacho Ukraine ili wasije fanya kosa ie, South Korea, Japan, Taiwan hizi ndio nchi ambazo siku yoyote vita kubwa inatokea.

Hii vita imeonesha umuhimu wa artillery na artillery systems
Sorry chief mimi ni mgeni kabisa kwenye field ya silaha naomba kufahamu artillery ni nini?
 
Kila uzi una participants wake.

Kama hivyo hata jukwaa wa MMU nyuzi za mapenzi mziunganishe maana zote zinazungumzia MAPENZI

Jukwaa la LOVE CONNECT mikuona mwanaume anatafuta mke unganisheni na mwanamke anayetafuta Mume kesi inakuwa imeisha.

Ule UZI wa LIVE UPDATE YANAYOJIRI,............ Ni mrefu sana sio kila mtu atafuatilia taarifa ya leo kwenye POST YA LAKI2+

Ule uzi muachieni muhusika sisi tunataka kujadili yanayotokea day to day.

VINGINEVYO KUSIWE NA UZI WOWOTE UNAOHUSIANA NA RUSSIA - UKREINE WAR UENDELEE UZI HUOHUO

NSHAMALIZA!!!!! 😡 😡 😡 😡 😡 😡
 
Bado sijaona mafanikìo wanayopata ukrein pamoja na kupewa vifaa vingi vya kivita.urusi imeshasema hio misaada haitabadilisha chochote vitani .maana yake kipondo kiko palepale na maeneo xaidi yanachukuliwa
Nia ya Putin ni nini? Ni kurejesha ule umoja wa Kisovieti (USSR)??? Kuua maelfu ya watu for what purpose?
 
Ukijua itakusaidia nini, issue Ukraine amevamiwa nchini mwake kila mtu anaona hao uliowataja wanamsaidia we umeona shida wapi. Mbona mmechanganyikiwa kiasi mnahamisha ushabiki kwenye vita? Mnaumwa akili kiasi hiki? Nini kinakuzuia kwenda hospitali kutibiwa. Wenzako wanauawa ndani ya nchi yao we unahoji wanaowasaidia, km siyo uchawi ni nini.
Mkuu naomba tu nikujibu kistraabu. Sishabikii vita. Maoni yangu hii vita si vita kati ya ya Urusi na Ukraine. Kama mataifa menngine yanatuma silaha Ukraine au Urusi basi wao pia wako vitani japo hawapeleki askari binadamu.
 
Mimi naona ni NATO vs rusia na mpango ni kumuua putin na kuisambaratisha rusia bila kuleta vita na nchi zingine, ndio maana wanaongeza vifaa vikubwa kidogo kidogo huku wakipima upepo kama kutakua na muingiliano wa mataifa mengine kama china iran korea kaskazin au syria au yoyote iliyo mrengo wa upande wa rusia, ndio maana wanaongeza silaha kidogo kidogo ili watu wazoee abaki rusia pekeyake.

Hapo ndio watamshambulia kwa kasi bila usaidizi popote na watafanikiwa maana wao wanatoa vifaa vita ila rusia akipewa wanapiga kelele na mikwara ya sunctions.
 
Russia launched a barrage of missiles and drones on the Ukrainian capital of Kyiv killing at least 11 people, according to Ukrainian authorities.

The attack took place one day after Kyiv secured Western pledges of dozens of fighting tanks to try to repel Russia's advance, Reuters reports.

Ukraine said they eliminated all 24 Russian drones sent overnight, including 15 around the capital, and 47 out of 55 Russian missiles, some of which were launched from Tu-95 strategic bombers in the Russian Arctic.

The spokesperson for Ukraine’s State Emergency Service, Oleksandr Khorunzhyi, said that in addition to the casualties there are at least 11 people who were wounded.
Russia has denied it is targeting civilians.


View attachment 2496707View attachment 2496708
Supa-pawa wa mchongo kageukia mbinu ya kufanya ugaidi na uhalifu wa kivita dhidi ya raia wema wa Ukraine baada ya kushindwa kuuangusha utawala wa Rais Zelensky..
 
Hushangai kuna wengine walikuja na habari za Bomber ya kimarekani F-16s

Leo tena ni ngonjera za kifaru kurusha kombora linalokwenda km 1000. Utajadiliana na mtu wa namna hiyo nini kwenye swala linalohusu Russo ukraine war!?

Kamba sana hao jamaa
Hicho kibango Cha Abrams na leopard kuwa na max range ya 500-1000 km nimekiona Aljazeera na Kuna mtu kakichukua Kama kilivyo.
Tank Haina uwezo wa kurusha makombora hata kwa km 20 kuelekea adui alipo!
 
🇷🇺 🇺🇦 🇨🇳🇺🇸Vladimir Putin is preparing a new offensive in Ukraine, while simultaneously preparing Russia for a conflict with the US and its allies, which, as he expects, will last for many years - Bloomberg
20221230_154549.jpg
 
Kama vilibutuliwa huko Ukraine kitashindikana nn?
Combat employment.

According to open source information, the US employed M1 Abrams tanks during the 1991 Persian Gulf War, the 2003-2011 Iraq war and the 2001-2021 Afghan campaign. Saudi Arabia has used tanks of this type in the war in Yemen since 2014. Leopard 2 tanks were used in the armed conflicts in Afghanistan and Syria
 
Kwa akili finyu kama Vifaru 1400 vya Ukraine vimelipuliwa unategemea Vifaru 100 vitaweza kudumu hata miezi miwili front acha ushabiki maandazi let fact
Hivyo vifaru kama havina impact yoyote mbona mnang'aka Sasa, mpaka mnanena kwa lugha zote kama mmeshukiwa roho mtakatifu [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Pia tukumbuke kwamba Russia sasa hivi apigana na nchi zipatazo 50 na hii imethibitishwa leo na raisi Biden.

........ Plan B ni kuhakikisha miji ya Bakhmut na Solidar ipo chini ya Russia na kisha eneo lote la Kherson lawa chiniya Russia kikamilifu.
Mkuu unarudia habari Urusi inapigana na nchi 50. Ila mbali ya jeshi la Uktaine hakuna nchi nyingine inayopigana na Urusi. Nchi nyingine zinasaidia Ukraine (sawa na kanuni za Umoja wa Mataifa kuhusu msaada kwa nchi iliyoshambuliwa) lakini hazipigani na Urusi.

Hata nchi hizo zinazosaidia Ukraine zinazuia silaha kali zisifike kraine hivyo Ukraine haipati msaada kupiga vituo vya Kirusi ambako makombora yanarushwa kwa miji ya Ukraine.

Katika vita hii Ukraine vado ni kama mpiganaji anayefungwa kwa kamba asitoke katika eneo fulani, wakati mashambuliaji wake (Urusi) ana kila uhuru kwenda mbele na kukimbia nyuma...

Vita ingekuwa tofauti sana kama vikosi vya NATO vingeingia lakini pia hatari sana maana Urusi katika hali yake ingeweza kukimbilia matumizi ya silaha za nyuklia ambayo ingekuwa hatari kwa watu wote duniani.
 
Back
Top Bottom