Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nasikia waliambiwa wasiondoke wasubiri leopard Sasa wamepata habari kwamba hazitabadilisha kitu na Russia imeandaa hypersonic wameona Bora wakimbie[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2495221
Kuna mpuuzi mmoja anaitwa Kipanya44 alikuwa anaongea mpaka mishipa ya shingo inamtoka ukimwambia habari ya Soledar kuanguka.naimani leo atakuwa kaelewa kuwa yeye ni mmoja kati ya watu wajinga hapa duniani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msaada unatakawa kuleta matokeo chanya kama hakuna mabadiliko nini maana ya msaada
Matokeo chanya yapo na makubwa, kuanzia Urusi kutelekeza vifaru Kyiv, kuzamisha meli vita kubwa ya Urusi. Zaidi Urusi analikuwa de-militarized taratibu, askari wanakufa na silaha inabidi apigwe tough na vinchi kama Iran na North Korea. Kwa ukubwa wa Urusi, siyo rahisi kumshinda kwa haraka, taratibu ndio mwendo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Uliangalia ile movie ya Hollywood juu ya unayoyasema kesho nipe hizo links za uliyoyasema saivi nalala. Ukiweza tupia saivi ntakujibu kesho around sa4 tea break. Adiós
 
Achana na historia ya 89 nazungumzia majuzi hapa talibani walipochukua utawala wa Afghanistan
Taliban walichukua nchi baada ya Marekani kuamua kuondoka siyo kwamba walifukuzwa na taliban. Iwapo Marekani wangetaka kuendelea kukaa Afghanstan, hao Taliban wangeendelea kuishi mapanagoni. Marekani ilikuwa ikiamini kuwa lile jeshi waliokuwa wamefundisha na kulipatia vifaa lingeweza kujilinda, lakini kumbe nao walikuwa bure kabisa wakiitegemea Marekani tu. Mara baada ya Marekani kuanza kuondoka, wale askari wakakimbia kambi zao na kuacha silaha zichukuliwe na Taliban kirahisi.
 
Kuna mpuuzi mmoja anaitwa Kipanya44 alikuwa anaongea mpaka mishipa ya shingo inamtoka ukimwambia habari ya Soledar kuanguka.naimani leo atakuwa kaelewa kuwa yeye ni mmoja kati ya watu wajinga hapa duniani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule Kipanya 44 ni hakuna mtu pale.

Just like a deadwood.
 
Plan zote zimefeli ?
Mkuu nimerudi hapa JF baada ya vekesheni ya muda mrefu twaita "sabbatical".

Sasa leo mzee Biden amethibitisha US kutoa vifaru vya M1 Abram kuunga mkono Ujerumani ambao wameridhia vifaru vya Leopard 2 kutumika kwenye uwanja wa vita.

Russia imesema hiyo haitabadilisha kitu chochote kwenye uwanja wa vita kwani hadi hivyo vifaa vianze kutumika ni miezi zaidi ya minne itapita na Russia watakuwa wameendeleza mapigano.

Pili, msemaji wa Kremlin amesema vifaa hivyo vyangojewa kwa satelite ili viwashwe moto.

Pia napenda kukukumbusha tu kwamba Russia ilichora chini mstari mwekundu kwa US na NATO kwamba, kwanza hakuna majeshi ya NATO na Marekani ndani ya Ukraine kwenye vita hii na mashambulizi dhidi ya taifa la Russia yasivuke mipaka ya Ukraine na kuingia nchini Russia.

Hii ndo maana hadoi leo ni vifaa tundivyo vyapelekwa huko uwanja wa vita baada ya order ya kutoka viwandani kukamilika.

Hivyo sasa hivi tupo kwenye phase 3 ya Russia kujiandaa ya offensive ya msimu wa baridi kwenda kipupwe.

Pia tukumbuke kwamba Russia sasa hivi apigana na nchi zipatazo 50 na hii imethibitishwa leo na raisi Biden.

Hivyo kujibu suali lako kuhusu kufeli kwa plans za Russia naweza kusema hadi sasa bado plans hizo zafanya kazi na ndo bado wapo kwenye plan B.

Plan B ni kuhakikisha miji ya Bakhmut na Solidar ipo chini ya Russia na kisha eneo lote la Kherson lawa chiniya Russia kikamilifu.
 
Tayarikwisha saivi wazee wa kazi wanaelekea Ugledar huku meat grinder itawakuta wanajeshi wa ukraine ambao wengine leo wamerisha video kuwa wanawasubiri madubu ya Urusi
 
Amani na haki ipi mkuu?
Tukumbuke kuwa Ukraine haikuwa na nia yoyote ya kushambulia russia.

Ni Russia ndio imekuwa mchokozi kwa majirani zake. Mwaka 2013 Russia iliivamia Ukraine na kumega kipande cha Crimea. Mwaka 2022 Russia ikarudi tena na kumega tena jimbo la Donbas. Je kuna tofauti gani ya uvamizi wa Idi Amin Tanzania na uvamizi wa Putin Ukraine?

Souuth Afrika ilipitia kipindi kigumu cha apartheid. Nilitegemea South Africa kukemea aina zote za ukandamizaji duniaini
Kama tunataka amani zaidi DUNIANI tunatakiwa tuione UKRAINE nzima inakua ni sehem ya RUSSIA

PUT IN yupo sahihi sanaa kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana Putini alisema uwezo wa Urusi kuzalisha silaha ni sawa ama unakaribia uwezo wa Mataifa yote Duniani..

Kifupi Urusi adui yake ni Mataifa yote ya Ulaya.

Nchi za Ulaya anahesabu kama majimbo ya Marekani tu.
Na wewe ukamuamini Putin.

Vijana mmelala sana kichwani, bila USA leo kusingekuwa na Russia wala Ulaya isingekuwa kama ilivyo leo
 
Kama tunataka amani zaidi DUNIANI tunatakiwa tuione UKRAINE nzima inakua ni sehem ya RUSSIA

PUT IN yupo sahihi sanaa kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimekusoma.
Ukraine lazima irudi Russia.Tukimalizana na Ukraine tunaenda kunyakua Poland na Sweden.
Wakikataa tunapiga makombora ya nyuklia
 
"Sikukosea niliposema hakuna vita kama anayopambana Russia iliwahi kutokea!"

Hahahaha kwanini niedit wakati nilichoongea ni fact. Kwani hivi sasa si ni huyuhuyu Urusi anasaidiwa drones na Iran bila kusahau Artilleries toka NK.
Sasa kuna uajabu gani hapo kwenye hii vita anayopigana Supapawa wa mchongo?!

ProRussia mnapenda kujitoa ufahamu.
USA akisaidiwa na EU kupeleka silaha ukraine "sawa TU"
RUSSIA akisaidiwa drone na IRAN au round shells na N.K "super power wa mchongo"[emoji1787]
 
Ndio maana wajuzi wa mambo wanasema Kuna hujuma nyingi sana kwenye jeshi la Urusi..,kwa uwezo hambao tuliaminishwa urusi anao asingeendelea kupigishwa danadana na kanchi kadoogo Tena jirani yake [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio ka nchi kadogo,
Sema Ukraine+ulaya+USA VS Russia[emoji4]
 
Da ila USA anapenda sana kusakizia.
Hapa kasakizia Israel,nimesoma huko juu kasakizia Hadi kwa Colombia.
Na wote wamemchomolea.

Anaanza Sasa kumuombea misaada ya silaha bwana zelensky Hadi kwa nchi zisizo Wanachama wa NATO.
Urusi Sasa itaonja silaha za Dunia nzima pengine hata za china kupitia mataifa mengine yaliyonunua kwa china.
Tusubiri.
Tukisema USA Ndo superpower wa mchongo kp kipanya44 na vunjo wanabisha [emoji38]
 
Back
Top Bottom