Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ushawahi kusikia wapi Mwanasiasa wa magharibi akiingia frontline vitani? Au unajitoa ufahamu?
Kwahiyo anaposema kwamba vifaru vya Magharibi vitachomwa Moto anamaanisha Nini? Anataka visitumwe au? Nchi za kijamaa zinatambo nyingi Sana.

Vifaru vinaenda vitani kupambana,Kuna vinavyoripuliwa na vingine Kusurvive. Sasa huyo Peskov Kila siku anakuja na matamko ya Kila aina. Mara aseme "ESCALATION" Mara "PROVOCATION" Mara "NUCLEAR WAR". Bahati mbaya anaowapa vitisho nao Wana Nguvu za kijeshi Tena nyingi kuliko anavyofikilia. Kwahiyo Tambo za matamko ya vitisho vya Mara kwa Mara kutoka kwa Peskov hazina tija. Badala yake aliambie jeshi la Urusi liongeze Nguvu (Kama zipo) ili kushinda Vita kwenye Uwanja wa kivita na sio Twita.
 
HIMARS siku zote si mlikuwa mnasema hazijafanya chochote huko front line?? Leo hii mnaanza kuzisifia Ili mtumie mgongo huo kuviponda vifaru hambavyo viko njiani ,sio? [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Atuja sifia tumesema ukweli ...uwezo wa himars ni mkubwa kuliko hivyo vifaru huo ndiyo ukweli sasa kama himars zimeshindwa unategemea hivyo vifaru kuweza kitu
 
"Hakuna taifa lilishakutana na vita ambayo anapambana Russia tokea dunia ianze!"

Kupata vichekesho kama hivi bonyeza nyota.

Yani Russia anapigana na Ukraine Peke yake lakini mpaka Leo anahenya maana Marekani na NATO hawana majeshi huko, utafananisha na Ujerumani ambayo ilichangiwa na mataifa yenye nguvu yakiwa na majeshi Yao?!

Hii Russia ilikua ikiogopwa kabla lakini baada ya vita hii imeonyesha ni Simba wa karatasi.

"Victory is inevitable!" - halafu akakimbia Kherson ambayo alipiga Kura na kusema ni sehemu halali ya Urusi[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani alikimbia kherson mwenyewe Tena akakimbia mwenyewe bila kufukuzwa.



Nimeona uwezo wa hizi tanks kurusha makombora ni mkubwa sn.

Yaani Km 500 Kwa Leopard na Km 1000 Kwa Abrams.....

Russia kz wanayo. Naamini ATACMS sasa ziko njiani pia
 
FnTSfeAWQAADZcw.jpeg



Mzigo wa leopard Tank tayari ulingoni
 
Kama urusi alivyokuwa anasingizia Ile mifumo ya ulinzi wa anga iliyotumwa Syria kwamba wasyria hawajua kuzitumia.., kumbe mifumo yenyewe makopo tu [emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa hiyo si biashara tu hiyo mifumi ina software unaweza kuuziwa kumbe software yake uliyo pewa ni lower
 
[emoji779]️German Foreign Minister Admits Europe Is ’Fighting A War Against Russia’

Annalena Baerbock made the remarks at a meeting of the Council of Europe in Strasbourg.

“The crucial part is that we do it together and that we do not do the blame game in Europe because we are fighting a war against Russia.”

Subscribe to RT
 
Look for real knowledge,utaipata.Huwezi kuangalia BBC,Aljazeera,SkyNews,CNN,CGTN News,CBS, Bloomberg utegemee kuyapata haya,hawatakupa kwa kuwa inaumbua the backbone of their faith.

Kumbuka kwamba owners wote wa Main Stream Media ni Satanists without exception.
Nilikuuliza kutaka kufahamu tu kwamba umepata wapi hiyo hoja lkn Haina maana kua ulichosema ni sahihi....
 
Msemaji wa Urusi Dmitry Peskov ametoa maoni yake juu ya uwezekano wa kupelekwa wa vifaru vya Abrams vya Marekani kwenda Ukraine, akisema kwamba vitateketezwa kama vifaru vingine vyovyote.

"Ni kwamba tu kwa upande wa kiteknolojia, huu ni mpango ulioshindwa, na muhimu zaidi ni kukadiria wazi uwezo ambao itaongeza kwa vikosi vya kijeshi vya Ukraine. Huu ni udanganyifu mwingine mbaya sana," aliwaambia waandishi wa habari siku ya Jumatano.

Kulingana na yeye, maoni ya mamlaka ya Urusi yanashirikishwa wataalam, lakini hawakufafanua ni nani hasa.

Awali, Peskov alizungumza hivyo hivyo juu ya kupelekwa kwa vifaru "Leopards" vya Ujerumani huko Kyiv.

"Tumesema mara kwa mara kwamba vifaa kama hivyo havitabadilisha chochote, lakini vitaongeza matatizo kwa Ukraine na kwa watu wa Ukraine," alisema wiki iliyopita.

Wataalamu wa nchi za Magharibi, wakati huo huo, wanaamini kwamba vifaru vizito vya Ujerumani na Marekani, pamoja na Challenger-2 ya Uingereza, uhamisho ambao London ilithibitisha katikati ya Januari, itaruhusu Vikosi vya Wanajeshi kuachana na kudhibiti wanajeshi wa Urusi hadi kuanza kuwafukuza nje ya Ukraine.
Peskov kalewa vodka, Balozi wa Urusi nchini Ujerumani ameijia juu Ujerumani kwa kupeleka vifaru hatari huko Ukraine. Kasema vifaru hivyo si kuwa vitaua tu askari wa Urusi ila na raia pia. Kaongeza kuwa Ujerumani imesaliti maelewano ya siku nyingi na Urusi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wakati nyie mnalinga na hiyo soledar, Ukraine tunalinga na

Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]


Khakivu[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]


Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]


Kheson city [emoji56][emoji56][emoji56]


Izium [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]


Snake island [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]


Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]


Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Hamuoni kwamba mnatia aibu wakuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]




Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Umesahau soledar
 
"Hakuna taifa lilishakutana na vita ambayo anapambana Russia tokea dunia ianze!"

Kupata vichekesho kama hivi bonyeza nyota.

Yani Russia anapigana na Ukraine Peke yake lakini mpaka Leo anahenya maana Marekani na NATO hawana majeshi huko, utafananisha na Ujerumani ambayo ilichangiwa na mataifa yenye nguvu yakiwa na majeshi Yao?!

Hii Russia ilikua ikiogopwa kabla lakini baada ya vita hii imeonyesha ni Simba wa karatasi.

"Victory is inevitable!" - halafu akakimbia Kherson ambayo alipiga Kura na kusema ni sehemu halali ya Urusi[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe utakuwa simu ya mchina 4sim card net search.
 
Back
Top Bottom