Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️The Minister of Defense of Spain, Margarita Robles, confirmed the intention to send Leopard 2 tanks to Ukraine, – Reuters reports.

Margarita Robles told the EFE news agency that Madrid would act in coordination with its Western allies to help Ukraine defend against the russian invasion.

View attachment 2495397

Sahivi hoja zenu ni Tank tu, kweli mna hali ngumu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa,tulia dawa ikuingie!Usipanic,no hard feelings!
Kama una stress zako peleka nyumbani kwako sio kutuletea humu JF!
Niliyemjibu kashaelewa,wewe umevamia tu na kutokwa povu!
Mtoto wa kike wa Putin kasoma Europe na mpaka sasa anaishi Europe wewe una compare wester countries na Russia kenge wewe
 
Msemaji wa Urusi Dmitry Peskov ametoa maoni yake juu ya uwezekano wa kupelekwa wa vifaru vya Abrams vya Marekani kwenda Ukraine, akisema kwamba vitateketezwa kama vifaru vingine vyovyote.

"Ni kwamba tu kwa upande wa kiteknolojia, huu ni mpango ulioshindwa, na muhimu zaidi ni kukadiria wazi uwezo ambao itaongeza kwa vikosi vya kijeshi vya Ukraine. Huu ni udanganyifu mwingine mbaya sana," aliwaambia waandishi wa habari siku ya Jumatano.

Kulingana na yeye, maoni ya mamlaka ya Urusi yanashirikishwa wataalam, lakini hawakufafanua ni nani hasa.

Awali, Peskov alizungumza hivyo hivyo juu ya kupelekwa kwa vifaru "Leopards" vya Ujerumani huko Kyiv.

"Tumesema mara kwa mara kwamba vifaa kama hivyo havitabadilisha chochote, lakini vitaongeza matatizo kwa Ukraine na kwa watu wa Ukraine," alisema wiki iliyopita.

Wataalamu wa nchi za Magharibi, wakati huo huo, wanaamini kwamba vifaru vizito vya Ujerumani na Marekani, pamoja na Challenger-2 ya Uingereza, uhamisho ambao London ilithibitisha katikati ya Januari, itaruhusu Vikosi vya Wanajeshi kuachana na kudhibiti wanajeshi wa Urusi hadi kuanza kuwafukuza nje ya Ukraine.
Propaganda za kikomunist tupu. Mwambie aende Frontline akiongozana na mwenzake Medvedev.
 
Nataka kumuuliza kipanya 44 et ni kweli jamaa washakubali kua mji wa soledar umechukuliwa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna yule mwingine alisema tusubiri Jmosi wiki iliyopita. Kp Kipanyaa hapa bora wakae mezani wayamalize la sivyo Ukraine [emoji1255] itapata shida sana.
 
Ukitaka we choma tu wala hutaona kelele sababu Mungu wetu mkubwa.
Hicho kikaratasi chenu kikichomwa mnateseka sana
Nakuelewa sasa, kwamba ww hukubaliani na swala la Biblia kuchomwa ila huwezi kukemea kwasababu unamuachia Mungu.

Ila kwa chuki za dini nyingine basi unabaki kuhalalisha ichomwe tu.

Mimi ni Christian Pure, ila naona kutoheshim imani ya mtu ni dhambi mbaya sana.

Kaka hum wadau wanakemea sana swala la chuki. Chuki inasababisha sana upofu, jaribu kupunguza chuki ili upate nuru machoni.

Vingi tunavyoviamini sivyo vyenye uhalisia, na vyenye uhalisia sivyo tunavyoviamini. Punguza chuki ufunguke upeo kaka.
 
Kuna yule mwingine alisema tusubiri Jmosi wiki iliyopita. Kp Kipanyaa hapa bora wakae mezani wayamalize la sivyo Ukraine [emoji1255] itapata shida sana.
Wakati nyie mnalinga na hiyo soledar, Ukraine tunalinga na

Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]

Khakivu[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Kheson city [emoji56][emoji56][emoji56]

Izium [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Snake island [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]

Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Hamuoni kwamba mnatia aibu wakuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Weka na soledar hapo mkuu umesahau

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna yule mwingine alisema tusubiri Jmosi wiki iliyopita. Kp Kipanyaa hapa bora wakae mezani wayamalize la sivyo Ukraine [emoji1255] itapata shida sana.
Kama ukraine inapata shida huku ikiendelea kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo..,Wacha tu hiyo shida iendelee mkuu [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom