D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Australia has joined a group of countries that will pursue the criminal responsibility of the Russian authorities, Foreign Minister Penny Wong said.
Amani na haki ipi mkuu?Sababu anapenda amani na haki
Ukipenda haki na amani lazima ue na PUT IN
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,wewe kweli umeamua kujizima data!
Unajua Allies wa German WW2 wewe na maeneo waliyojigawa kushambulia?Sema utakuwa tu unamsikia Hitler na Germany yake tu!Germany hakuwa peke yake,alikuwa na Allies kama Italy na Japan!
Sikukosea niliposema hakuna vita kama anayopambana Russia iliwahi kutokea!
Bora ukaedit comment yako maana aibu utakuwa umeipata barabara!
Hizo tanks naona zimewachanganya pro Russia mpaka mnashindwa kutambua no lipi mnaandika..,mtu anakomaa kabisa kwamba tutatumia hypersonic missile kupiga tank[emoji28]Nasikia waliambiwa wasiondoke wasubiri leopard Sasa wamepata habari kwamba hazitabadilisha kitu na Russia imeandaa hypersonic wameona Bora wakimbie[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2495221
Naona unatafta Ugomvi na warusi wa buza mkuu..,hiyo kitu hawataki hata kusikia [emoji28]Onesha picha ya Himars hata moja iliyoharibiwa na Urusi
Sio maneno yangu,Mimi Nina utaalamu gani wa kujua hayo?Kituko wewe ambae unasema Russia ana AD Bora wakati huohuo zinadaka vikombora viwili Kati ya 6
www.edudwar.com
Tena tunataka hivyo vifaru vije na wanajeshi wa hizo nchi wasije wakasingizia kuwa ukrain hawajui kuvitumia [emoji1787][emoji1787]
Ndio maana wajuzi wa mambo wanasema Kuna hujuma nyingi sana kwenye jeshi la Urusi..,kwa uwezo hambao tuliaminishwa urusi anao asingeendelea kupigishwa danadana na kanchi kadoogo Tena jirani yake [emoji16]Haya sasa wao kwa wao wanatekana mseme video game
Hahahaaaa,Naona ushahama Tena baada ya kukutana na kitu kizito!Mara ya kwanza Germany alikuwa peke yake dhidi ya giants,ndio nikakupa funzo Naona umehamia kwingine!"Sikukosea niliposema hakuna vita kama anayopambana Russia iliwahi kutokea!"
Hahahaha kwanini niedit wakati nilichoongea ni fact. Kwani hivi sasa si ni huyuhuyu Urusi anasaidiwa drones na Iran bila kusahau Artilleries toka NK.
Sasa kuna uajabu gani hapo kwenye hii vita anayopigana Supapawa wa mchongo?!
ProRussia mnapenda kujitoa ufahamu.
Kenge huna point umepigwa rungu la kichwa damu zinatoka masikioniMimi nimekujibu kuhusu Lavrov,huu ni mjadala mwingine!
Kweli tujadili kuhusu mtoto wa fulani au wa fulani ndio conclusion!
Tujadili mfumo wa elimu ambao mnasema ni mbovu!
Hivi hao scientist wa Russia ambao wanasababisha Europe na west Kwa ujumla kuihofia Russia walisoma wapi?
Mambo mengine msijadili kama mko kwenye vijiwe vya kahawa!
Hahahaaa,tulia dawa ikuingie!Usipanic,no hard feelings!Kenge huna point umepigwa rungu la kichwa damu zinatoka masikioni
Mb anatoa wap na kibera hakuna Wi-FiHakuna mtanzania anaweza kukaa kwenye JF 24/7 lakini huyu kp kipanya44 anakaa muda wote huo. Huyo ni mkenya. Kumbuka wakenya ni jobless.
Sisi tunaendelea kuwapa updates tu jinsi warusi wanavyochinjwa. ,Ikiwauma chomoeni tu hakuna namna [emoji28]Hiyo imepenya,ndio muepuke kuleta vijihabari mfu ambavyo sooner or later mnaumbuka[emoji3][emoji3][emoji3]
Zikiletwa hizo tanks za CHUI kutoka Ujerumani mnistue wanangu wa Uraaaa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
In late August!! Duh, [emoji849]At the BRICS summit in late August, the topic of creating its own currency within the framework of the association will be discussed" - Lavrov