Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nadhani hujaelewa! Rudia tena kusoma nilichoandika
Nimeelewa ila Sema wewe umeamua kujizima data makusudi kunielewa!
Nikisema siasa za US ni mbovu,halafu nikapeleka mtoto kusoma,vinaingiliana?
Kwani anakuwa ameenda kufanya siasa au kusoma?
Ninachoshangaa mmeingia kwenye mjadala wa elimu na kufanya comparison kuundermine upande mmoja!Ndio hapo nikaamua niingilie mjadala!
 
Kwahiyo himars zinafanya kazi mpaka watu wakusanyike kwenye sherehe?[emoji3],Battle field vipi?
Halafu hata hiyo figure ni questionable maana Urusi kasema hivi,huku Ukraine anasema hivi?Nani wa kuaminika?
Jikusanyeni tena muone kama hamkuchomwa kama kumbikumbi

Kazi ya Himars

Hyo Podlet K-1 ni radar ya S-400 AD yenu pendwa

Abandoned and visibly damaged advanced russian radar 48Я6-К1 aka «Podlet K-1» - used to detect low-flying aerial targets.

This is another piece of russian equipment left on Chornobaivka airfield, captured by Ukrainian defenders.
 
Tofauti ya vinu viwili vinavyoingia Ukraine.... Kimoja kinatwanga Dar - Bukoba , Kingine Dar - Singida..

INTERACTIVE_UKRAINE_LEOPARD_ABRAM_TANKS_JAN25.png
 
[emoji298]️Germany will hand over 10,000 Starlink terminals to Ukraine next month, Minister of Digital Transformation Mykhailo Fedorov said.

About 30,000 Starlinks are currently operating in Ukraine. Recently, Ukraine received 8,000 terminals from Poland.
 
[emoji779]️Finland Could Ditch Sweden for NATO Push - as relations 'burn' with Türkiye

The Finnish FM has announced that Helsinki is considering applying for membership without Sweden, as relations have literally gone up in smoke with [emoji1250].

Ankara has threatened to pull the plug on Stockholm joining the military alliance after a politician burned a copy of the Koran.

Finland noted that negotiations currently need a pause.

Just In @RT_India_official
 
Kwani kule Ukraine US kapeleka manpower,si anapeleka silaha tu,tena hata sio silaha za maana kihivyo kama ambazo USSR ilisaidiwa. USSR ilipewa karibu ndege 10,000. Ukraine Leo haijapewa hata ndege moja,hata long range missiles hawajapewa.
Kuwa objective basi maana Naona kama unaanzisha kitu halafu unajizima data!
Unafananishaje world war 2 na hii SMO ya Russia Ukraine?World war 2 US hakutoa msaada Bali walisaidiana na Soviet kummaliza Hitler!Hitler alitaka kuitawala Dunia!Ndio maana nasema,US alichangia silaha Kiasi Kwa Soviet na Soviet akatoa manpower!
Bila Russia huenda vita hivyo visingeisha vilipoishia!
Unafanyaje comparison hapo?
WW2,Soviet na US walikuwa na common enemy!
Ambacho hapo huelewi ni Nini?
 
Jikusanyeni tena muone kama hamkuchomwa kama kumbikumbi

Kazi ya Himars

Hyo Podlet K-1 ni radar ya S-400 AD yenu pendwa

Abandoned and visibly damaged advanced russian radar 48Я6-К1 aka «Podlet K-1» - used to detect low-flying aerial targets.

This is another piece of russian equipment left on Chornobaivka airfield, captured by Ukrainian defenders.

Sasa Himars imepiga AD ngapi huko Ukraine?Unajua kwanini Israel hata Urusi ampe Iran S300 achilia mbali S400?
Vipi hizo AD zote za west bazo Ukraine wamekiri kuwa hazina uwezo wa kutungua makombora ya Russia?
Mmeshaambiwa duniania hakuna 💯% AD lakini Russia has got the best!
Makombora mangapi ya himars yamekuwa intercepted na AD za Russia?Huu mjadala wa AD hatutafika popote,muda ni utajibu!
 
West wanachofanya sasa hivi ni kutafuta exit strategy ya huu mgogoro.

Huko juu umeanza vyema ila hapo umemaliza vyema zaidi

Jamaa wanataka kuchoropoka ila wanajiwaza watatokaje wakiondoka ushawishi wao utaporomoka kwanguvu zaidi ya unavyoporomoka sasa

Wakibakia wanazidi kuumia ila wacha tuone khatma ila SMO ikiendelea hv hv basi NATO na EU kama sio kimoja basi vyote tutavizika kwenye kaburi la sahau

Sent using Jamii Forums mobile app
NATO na EU wapo tiari kuzikwa?
 
Kuwa objective basi maana Naona kama unaanzisha kitu halafu unajizima data!
Unafananishaje world war 2 na hii SMO ya Russia Ukraine?World war 2 US hakutoa msaada Bali walisaidiana na Soviet kummaliza Hitler!Hitler alitaka kuitawala Dunia!Ndio maana nasema,US alichangia silaha Kiasi Kwa Soviet na Soviet akatoa manpower!
Bila Russia huenda vita hivyo visingeisha vilipoishia!
Unafanyaje comparison hapo?
WW2,Soviet na US walikuwa na common enemy!
Ambacho hapo huelewi ni Nini?

Punguza makasiriko,mnalalama Sana kuhusu silaha zinazopelekwa Ukraine ndio maana nikakwambia mtulizane maana hata Baba yenu Russia alishasaidiwa silaha na Marekani ikiwemo ndege za kivita,Meli vita, mabomu,chakula,madawa,nk kipindi anapigana na Hitler kwahiyo acheni kujizima data mnapolalama wakati Baba yenu mwenyewe alishasaidiwa na The might [emoji1258] wakati anapokea kisago toka kwa wajerumani.
 
Sasa Himars imepiga AD ngapi huko Ukraine?Unajua kwanini Israel hata Urusi ampe Iran S300 achilia mbali S400?
Vipi hizo AD zote za west bazo Ukraine wamekiri kuwa hazina uwezo wa kutungua makombora ya Russia?
Mmeshaambiwa duniania hakuna [emoji817]% AD lakini Russia has got the best!
Makombora mangapi ya himars yamekuwa intercepted na AD za Russia?Huu mjadala wa AD hatutafika popote,muda ni utajibu!

Leta evidence ya kombora za Himars kutunguliwa na AD za Russia.

"Russia has got the best!" - halafu Kati ya Makombora 6 wanafanikiwa kutunguliwa mawili?! [emoji23]


Mnachoshindwa kuelewa au mmeamua tu kukaza fuvu ni kwamba AD ambazo Ukraine imepewa mpaka sasa ni short-medium range AD ambazo mara nyingi ni dhidi ya Cruise missiles,drones, aircraft,nk. Kwasasa Ukraine haina AD ya kuweza kutungua heavy missiles kama Kh-22 na Ballistic Missiles ndio maana ikaomba ipewe Patriot na SAMP-T.

Kama AD za west hazifanyi kazi kwanini warusi hawaingizi bombers zao ndani ya Ukraine wakafanye carpet bombing kama walivyofanya kule Syria?!
 
Kwa habari yako kutumia vifaru kuipiga urussi ni kichekesho cha mwaka urussi ni hatari kwenye kulipua vifaru ndiyo maana ukrain iliteketezewa vifaru vyake karibu vyote ndani ya siku 30 tu ...hivyo vifaru havifikii uwezo wa himars hata kwa asilimia 10 tu
HIMARS siku zote si mlikuwa mnasema hazijafanya chochote huko front line?? Leo hii mnaanza kuzisifia Ili mtumie mgongo huo kuviponda vifaru hambavyo viko njiani ,sio? [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uzuri nilikupa angalizo la kuepuka kuokoteza data kutoka sources ambazo sio reliable!Naona zinakupa faraja ndio maana unaendelea kufanya hivyo!Ila data hizo kama ni za kubumba hazibadili chochote ground!
Mwisho wa siku utakuja kuumbuka na utaikimbia ID Yako[emoji3][emoji3][emoji3]!
Upande wa data za Israel Kwa vifo upande wa Ukraine zinaendana na alichosema yule mama boss wa EU mpaka Zele akachukia!
Ila data za Israel upande wa vifo vya Russia,zina relate Kwa kiasi kikubwa na data alizowahi kutoa Russia!
Umelizwa ni lini islaer amekuwa mchambuzi rasmi wa vita ya urusi na Ukraine unaishia kubwabwaja tu[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tena tunataka hivyo vifaru vije na wanajeshi wa hizo nchi wasije wakasingizia kuwa ukrain hawajui kuvitumia [emoji1787][emoji1787]
Kama urusi alivyokuwa anasingizia Ile mifumo ya ulinzi wa anga iliyotumwa Syria kwamba wasyria hawajua kuzitumia.., kumbe mifumo yenyewe makopo tu [emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Punguza makasiriko,mnalalama Sana kuhusu silaha zinazopelekwa Ukraine ndio maana nikakwambia mtulizane maana hata Baba yenu Russia alishasaidiwa silaha na Marekani ikiwemo ndege za kivita,Meli vita, mabomu,chakula,madawa,nk kipindi anapigana na Hitler kwahiyo acheni kujizima data mnapolalama wakati Baba yenu mwenyewe alishasaidiwa na The might [emoji1258] wakati anapokea kisago toka kwa wajerumani.
Ndio maana nasema unaanzisha mjadala halafu Mwishowe hutaki kujadili facts badala yake unaweka mipasho na maneno ya kanga!
Ukitaka twende hivyo mbona tunaenda tu!Sasa hivi Russia,sio Soviet tena anapambana Ukraine inayosaidiwa na mataifa zaidi 30 akiwemo huyo US!
Tena anakutana na vita vya kiuchumi lakini Mwanaume hajatetereka na anakwambia victory is inevitable!
Hakuna taifa lilishakutana na vita ambayo anapambana Russia tokea dunia ianze!
Huyo ndio kidume Russia!
 
Back
Top Bottom