Tazama kichapo cha drones hii ndio kiboko ya mrusi
Bahati mbaya wamekutana na mwanaume anawachanganya na vifusi alafu sensa wanajifanyia wenyeweHako kamsemo kwamba walikuwa wanaokoa raia wanakatumia kutafuta kuonwa kama wamekufa kishujaa 😅😅😅
Hawana haja ua kuutangaxia UmmaBahati mbaya wamekutana na mwanaume anawachanganya na vifusi alafu sensa wanajifanyia wenyewe
Haya wale JKT wa Putin (Wagner) wanakufa kama kuku wa kideri huko tazama video ina ripoti kamili.Hawa kenge lazima watole hapo Ukraine
West wanachofanya sasa hivi ni kutafuta exit strategy ya huu mgogoro.Sasa hivi Ukraine imesha paralyse.
Ukrain hawana resources (Vifaa vita, Troops, Finance, information), za kuweza ku match na Russsia kwenye uwanja wa vita.
Kinachotokea sasa hivi ni kwamba wameshazidia kwenye kila fronts.
Pia, Governance structure ya Ukraine imesha collapse na ndio maana ishu za wizi zimekuwa kubwa sana.
West lazima pia wawe concern kuhusu accountability ya Military assets zao wanazopeleka. Its not just open cheque.
West wanachofanya sasa hivi ni kutafuta exit strategy ya huu mgogoro.
Na himars wanaongeza ngapiii[emoji16][emoji16][emoji16]Naona West wameamua Abrams na Leopalds zinakuja zakutosha
Acha uzushi ww. Zele na askari wake wanabanikwa balaa. Alafu kitu kingine serekali ya Ukraine imapararaiz. Viongozi wamegeuka majizi ya mali za umaNi hatari sana mkuu.., ukiangalia unaweza usipate usingizi kwa kuona jinsi warusi wanavyochinjwa 🥱🥱🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Peskov nae alifanya kazi EU Kwa muda gani maana watoto wake walikulia Europe,Putin watoto wake walikua wanaishi Europe. Oligarchy wa Russia watoto wao hawasomi Russia wanasoma Europe na USA. Au nao wanafanya kazi UN[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu aliuliza,lavrov amefanya kazi UN Kwa muda gani?Na makao makuu ya UN ni wapi?
Sijui kuhusu Hilo ila kama ningekuwa wa kucomment kama wewe ulivyoandika Kwa mbwembwe basi ningetafuta kwanza majibu!
Akahoji mboni Diplomats wengi wa US nchini Russia,watoto wao walipata elimu Russia?
Usinijibu Mimi kwenye hili maana sio mjadala wangu!
Mimi nimekujibu kuhusu Lavrov,huu ni mjadala mwingine!Peskov nae alifanya kazi EU Kwa muda gani maana watoto wake walikulia Europe,Putin watoto wake walikua wanaishi Europe. Oligarchy wa Russia watoto wao hawasomi Russia wanasoma Europe na USA. Au nao wanafanya kazi UN[emoji23][emoji23][emoji23]
Embu tumsikilize Binti wa Peskov kidogo
Peskov's 24-year-old daughter from his second marriage, Elizaveta Peskova -- whose racy social media posts have often become the fodder of Russian and European tabloids -- hasn't shied away from limelight or controversy, like when she reportedly told a Russian TV outlet that she feels "better in the European environment" and called Russia's education system a "true hell."
Kremlin-connected children grew up in the very countries whose societies their parents claim to reject | CNN
Ngacheka mie .. ha ha ha haaapBahati mbaya wamekutana na mwanaume anawachanganya na vifusi alafu sensa wanajifanyia wenyewe