Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Sasa hivi Ukraine imesha paralyse.
Ukrain hawana resources (Vifaa vita, Troops, Finance, information), za kuweza ku match na Russsia kwenye uwanja wa vita.
Kinachotokea sasa hivi ni kwamba wameshazidia kwenye kila fronts.
Pia, Governance structure ya Ukraine imesha collapse na ndio maana ishu za wizi zimekuwa kubwa sana.
West lazima pia wawe concern kuhusu accountability ya Military assets zao wanazopeleka. Its not just open cheque.
West wanachofanya sasa hivi ni kutafuta exit strategy ya huu mgogoro.