Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa chombo cha nini wakati ushahidi wa video upo.kwa iyo wakkitangaza wao ndo inakuwa kweli.kwani wao wapo uwanja wa Vita.waliokuwa uwanja wa vita wamechukua video.wewe upo huku unataka kubishana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we endelea kusubiri kutangaziwa
Kwahiyo video zako sio za mchongo zikiletwa ni pro Ukraine ni propaganda.
 
Mtoto wa waziri wa mambo ya nje Russia kasoma marekani sema ada za marekani kipengele ndio maana tunapeleka vijana india na Russia na china.
Lavrov alikuwa nani pale UN miaka yote hiyo!!?? Hivi mbona mnashindwa kuficha UJINGA wenu... Diploma TS wa Marekani walikuwa Urusi na watoto wao nao !!? Ila ProNato hamna REASONING kabisa.... Ni watu mna DEAD CONSCIOUS ...
 
⚠️⚡️BREAKING NEWS⚡️

🇷🇺PMC Wagner/Russian forces crossed the Bakhmutka River and entered the south-eastern residential area of #Paraskovievka.

[#Bakhmut/#Artemovsk encircelment] https://t.co/dkvc0oZP3Q


20230124_215557.jpg
 
[emoji3544][emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️

[emoji635]PMC Wagner/Russian forces crossed the Bakhmutka River and entered the south-eastern residential area of #Paraskovievka.

[#Bakhmut/#Artemovsk encircelment] https://t.co/dkvc0oZP3Q


View attachment 2494437
Barabara zote izo zimekufa kwa sasa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli yajayo yanafurahisha
SnapMarkup_20235924_095939.jpg
 
Lavrov alikuwa nani pale UN miaka yote hiyo!!?? Hivi mbona mnashindwa kuficha UJINGA wenu... Diploma TS wa Marekani walikuwa Urusi na watoto wao nao !!? Ila ProNato hamna REASONING kabisa.... Ni watu mna DEAD CONSCIOUS ...
Nikibishana na mtoto wa nzi nitakuwa wa ajabu hata ID umekosa ukajiita hvyo na akili yako iko hivyo
 
Back
Top Bottom