Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

MZEE WA KAZI KANENA
Prigozhin on the objectives of the actions of PMC "Wagner" in the Artemovsk region.
“The task of taking Bakhmut is to destroy the Ukrainian army in the vicinity of the city and prevent any offensive actions in any direction of the front. All of their combat-ready units of the Armed Forces of Ukraine are sent to Bakhmut. And PMC "Wagner" destroys them, opening up operational opportunities in other areas "(c) Prigozhin
 
IMG_20230124_190434.jpg
 
Usiongee ovyo weka ushahidi wakuonyesha bado ipo kwenye mikono yenu.kama hauna basi sioni tofauti kati yako na Ashura wa Buza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mliambiwa mlete ushaidi wa chombo chochote Cha habari hambacho ni popular known kilichoripoti kwamba soledar imeangukia mikononi mwa urusi mmebaki kupuyanga tu[emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wapo upande wa western ( EU na NATO) kwasababu wame freeze Russian assets na kuingiza sanctions kwenye bidhaa za Urusi.
Russia Kwa Sasa kila taifa linamtenga kama ukoma..,alijua atamaliza shughuli mapema na kuendelea na mambo mengine lakini imekuwa tofauti [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
photo_5945125321063906665_x.jpg

WANAMUZIKI WA BENDI YA (WAGNER PMC MUSIC OCHESTRA) WANAENDELEA KUPELEKA MUZIKI
Meanwhile, in Bakhmut, mercenaries complain that the Wagners are systematically knocking them out of residential buildings, and they have to retreat so as not to get surrounded by musicians
 
Mliambiwa mlete ushaidi wa chombo chochote Cha habari hambacho ni popular known kilichoripoti kwamba soledar imeangukia mikononi mwa urusi mmebaki kupuyanga tu[emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa chombo cha nini wakati ushahidi wa video upo.kwa iyo wakkitangaza wao ndo inakuwa kweli.kwani wao wapo uwanja wa Vita.waliokuwa uwanja wa vita wamechukua video.wewe upo huku unataka kubishana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we endelea kusubiri kutangaziwa
 
MZEE WA KAZI KANENA
Prigozhin on the objectives of the actions of PMC "Wagner" in the Artemovsk region.
“The task of taking Bakhmut is to destroy the Ukrainian army in the vicinity of the city and prevent any offensive actions in any direction of the front. All of their combat-ready units of the Armed Forces of Ukraine are sent to Bakhmut. And PMC "Wagner" destroys them, opening up operational opportunities in other areas "(c) Prigozhin
Huyo kibongobongo ni kama katibu mwenezi wa chama tawala , hivyo lazima atoe statement za kuwafurahisha wakubwa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mbna mliosema himars inaenda kumaliza Vita [emoji38][emoji38][emoji38]Sasa mnasema leopard ndio suluhisho naona hiyo Vita wiki ijayo itakuwa imeisha[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yaani Russia anatupatia watu wake furaha[emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632]
 
Back
Top Bottom