Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo Kwa maoni yako unataka hizo takwimu zitolewe na nani Ili uziamini..., hivyo vyanzo huru vya kutoa takwimu ni kama vipi..,hebu vitaje hapa[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acha vita iendelee takwimu halali zitaonekana tu baadaya muda kama zile za mass grave kwenye maeneo yaliyokuwa occupied na russia
 
BBC ebu muwe na aibu kidogo kwa habari zenu mnazozitoa[emoji23][emoji23][emoji23].

Yani vifaru 14 vya kuita vifaru vingi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Screenshot_20230124-171725_Chrome.jpg
 
Naona umesahau Putin aliposema yyte atakayemsaidia Ukraine atakiona Cha moto, sasa jiulize na nani anakiona Cha moto kama sio yy.

Hizo kauli ni za kawaida kwenye vita kumbuka Saadam Hussein na yule wazir wa mambo ya nje wa Libya kipindi kile NATO inawatembezea mgongoto
Usiwe kama kipanya nchi mnapoteza ardhi mbele ya russia bado mnathubutu kusema russia anapiga mikwara? Ingizeni pua zenu on ground mkakutane na wanaume halisi battlefield
 
Kwani ujui kinacho wapata nato hadi wameapa kuficha makabrasha ya siri kuhusu vipigo wanavyo pokea tayari Marekani kapoteza makomando 1,200 na NATO tayari imepoteza wanajeshi 13,300 mpaka sasa
Ha ha ha ha hizi hbr zenu jamani
 
Kuna maeneo ambayo Russia hakupigana kabisa,ila aliretreat!Mpaka Ukraine wenyewe wakawa wanahofia mtego!Ila ukiona Ukraine ameachia mji basi jua amepigana mpaka mwisho!Rejea Mariupolbakhmut,Soledar na maeneo mengi ambayo Ukraine ameondolewa!
Lakini maeneo mengi ambayo Russia ameondoka,ameondoka bila fight yeyote!Na Huo ndio ukweli!
Lakini Kuna maeneo ambayo Russia ameondoka,mlipoingia mkakuta mnazikwa buku kwenye kaburi Moja!
Bado nawaza,hivi maeneo ambayo Russia anayakalia ambayo yalikuwa na bloodiest fights,mnajua mtakuwa mmefukiwa wangapi kila kaburi?
Kuna vitu ukitumia logic ya kawaida tu Unajua upande upi umepiteza zaidi!
Leo hii useme Russia amepoteza askari kuliko Ukraine,utaonekana mwehu!
Wanajeshi wa Ukraine wanapigana Kama wavetinam wa kwenye muvi za chuck Norris bomu Moja LA mkono wanakufa mia
 
Warusi wamechukua kijiji cha Vodyane maeneo ya Donesk.


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]




20230124_180632.jpg
 
Vikosi vya Urusi vimeingia kwenye kijiji cha Pervomaiske .

ila mapigano bado yanaendelea ya kuwafukua kabisa wanajeshi wa Ukraine katika kijiji icho.


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
20230124_180632.jpg
 
We jamaa kweli ni shabiki wala hauna ufahamu juu ya vita anavyopigana au alivyowahi kupigana Urusi, Urusi alipoteza jumla ya watu takribani million 20 in world war 2, na bado hakurudi nyuma hadi akashinda Vita.

Hii vita itamalizwa kwa majadiliano . Na vyombo vya habari vinasema, Ukrain ikichelewa zaidi kwenye majadiliano na ikitokea Urusi akashika maeneo zaidi 50% ya Ukrain basi Urusi atakataa majadiliano na kutaka Kuiangusha Ukrain nzima.

Hapa kinachotegemewa ni hii package ya mwisho, maana ndo package kubwa kuwahi kupelekwa Ukrain, kama haitaleta mabadiliko basi Ukrain atakuwa kwenye hali mbaya zaidi.

Kuwa objective Kipanya.
Panya ujue kabsa,
Yani hata wakileta inayoitwa Adam itapigwa tu,kipigo kipo paleplea
 
NATO kuingia uwanjani kupambana na urusi ni sawa na kumuua nzi kwa lisasi.., urusi ni mwepesi mno na ndio maana imeonekana kwamba size yake ni ukraine tu ameweza kummudu vizuri

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ila Iraq,Libya,Afghan Ilikuwa kumuua nzi kwa kutumia Nini?
Ukraine anamuweza wakati hali Tete,watu wamekimbia nchi,nchii imegeuzwa magofu!
Imebaki ni west kulalamikia Russia Kwa war crimes,ingekuwa ni Libya au Iraq vimevamia nchi rafiki wa west basi tungeona ambavyo wangekimbia kusaidia haraka Kwa kuingia front!
 
Zelensiky Yuko pale kwa mpango makhsus kabisa wa kuhakikisha Askari wa urusi wanaendelea kuchinjwa huko battle front Kwa wingi kadri awezavyo.., usitegemee kwamba Kuna seize fire yoyote inaweza kutokea wakati urusi yupo bado kwenye ardhi ya ukraine..,huyo super pawer ataendelea kutembezewa mkong'oto mpaka atajiondoa mwenyewe na kulipa ghalama za uharibifu,hapo ndipo unaweza kuwepo mwisho wa hii vita

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unadhani Urusi ni Marekani iliyofukuzwa Afghanistan na Libya eti, Rudi kwenye history
 
Nimekwambia ulete hivyo vyanzo vya habari vya kuaminika badala yake unazunguuka Ili mradi tu uonekane umetoa hoja,mahajabu haya[emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe ndio huelewi hoja hapa,usitegemee habari za west,Ukraine au Russia kuwa kweli mara zote hasa wakati huu wa vita!
Au hujui kusoma between lines!
Swali,utaipata habari ya kweli kutoka wapi?Jibu ni kuwa Kwa Sasa huwezi kujua!Muda ndio utajibu!
 
Kuna jamaa alikuwa Usalama Marekani, anaitwa Scott Ritter, ingieni YouTube msikilize wacheni upro-nato wa mchungo na ushabiki wakiduanzi tuwe objective hii vita ukraine hashindi na anglo saxons (EU & USA) wameongea pia source ingine ya info ni YouTube channel inaitwa Riddacted hii ni ya marekani hawa nao wako poa Ila wanaikosoa sana marekani politically, socially na economically
 
Back
Top Bottom