Kuna maeneo ambayo Russia hakupigana kabisa,ila aliretreat!Mpaka Ukraine wenyewe wakawa wanahofia mtego!Ila ukiona Ukraine ameachia mji basi jua amepigana mpaka mwisho!Rejea Mariupolbakhmut,Soledar na maeneo mengi ambayo Ukraine ameondolewa!
Lakini maeneo mengi ambayo Russia ameondoka,ameondoka bila fight yeyote!Na Huo ndio ukweli!
Lakini Kuna maeneo ambayo Russia ameondoka,mlipoingia mkakuta mnazikwa buku kwenye kaburi Moja!
Bado nawaza,hivi maeneo ambayo Russia anayakalia ambayo yalikuwa na bloodiest fights,mnajua mtakuwa mmefukiwa wangapi kila kaburi?
Kuna vitu ukitumia logic ya kawaida tu Unajua upande upi umepiteza zaidi!
Leo hii useme Russia amepoteza askari kuliko Ukraine,utaonekana mwehu!