Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hivi kile kidege cha Russia kilivyodunguliwa na Turkey Russia ilifanya nini zaidi ya Putin kuja kujiliza kwenye TV[emoji23][emoji23]Hao NATO unaowazungumzia ni tofauti na wale ninaowajua mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Warusi walichukua uwanja wa ndege wa kosovo kwa nguvu, vikosi vya Nato vilipofika karibu na uwanja vikacholewa mstari mwekundu(ukivuka tu unachezea[emoji23][emoji23])
Mbona awakuanzisha vita kama kweli NATO wanajiweza kwa Warusi.nashangaa wewe unawasemea[emoji23][emoji23][emoji23]