Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wager group walinunua baadhi ya siraha kutoka North Korea. Zile walizoona zitawasaidia. Kumbuka wagner ni kampuni ya ulizi sawa mkuu.
TENA INAWEZA KUWA SIO KWELI NI PROPAGANDA ZA WESTERN COUNTRIES.
Mkuu hivi unajua kuwa north still wananunua siraha kutoka Urusi , unajua hilo.
Achana nao wanaongoza kupiga taarabu ila ukiwambia watoe ushahidi wanakuwa wakali.izo silaha walizochukua North korea zinapigana kwenye vita sehemu gani.silaha zote uwanja wa vita ni made from russia.uyo Korea ana silaha gani jamani ya kuuza kwa Mrusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

North korea awa ninaowajua mimi wanavuta missile systerm kwa trekta.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu kuweni na eshima kwa warusi
 
PRO NATO SAHIZI WANAANZA HOO ETI RUSSIA WAMENUNUA SIRAHA NORTH KOREA MARA HOO, WAMEENDA KUMBA MSAADA IRAN MARA HOOO KILE NA KILE.
HIYO NI KUISHOWA HOJA HUMU NDANI.
😁😁😁😃😂😂😂.
MAANA WAKUBWA WENU WALISEMA RUSSIA RUN OUT OF MISSILE ILIKUWA MWAKA JANA MWEZI WA 8.
 
Hawa ndio allies wa Russia [emoji23]

[emoji298]️"For us, Crimea is Ukraine, the Donbas is Ukraine - and it will remain so. We have said from the very beginning that we cannot and will not support Russia's invasion of Ukraine", – Serbian President Aleksandar Vucic in an interview with Bloomberg.View attachment 2487845
Hao nao wanapenda uchumi wao ukue.
Belarus pekee ndo muoga
 
[emoji1087] Denmark bought 19 CAESAR 8x8 from France.
[emoji1087] Denmark's entire artillery is 19 CAESAR 8x8.
[emoji1087] Denmark donates 19 CAESAR 8x8 to Ukraine.

Be like Denmark (or [emoji1200][emoji636][emoji1236][emoji1103][emoji1086][emoji1086][emoji1217][emoji1058][emoji1179][emoji1218][emoji1250]) - never ever be like Germany. https://t.co/oyjaz8uuoJ
 
Unataka jina la artillery shells[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeee[emoji23]

Kwani Marekani alivyosema Iran itauzia Russia drones si Russia na Iran zilipinga,baadae zikaja kukubali.

Marekani iliposema miezi kadhaa kabla kwamba Russia inajiandaa kuivamia Ukraine si Urusi ilipinga na kukataa katakata.Leo imekuaje?!

Kwahiyo mnataka tumuamini Marekani anapotoa data zinazowafurahisha tu lakini zile zisizowapendeza mnazikataa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Wagner Group wakipewa silaha na North Korea Kuna shida gani.

Yaani wewe kwa Nini unaumia? Au kitu gani kinakufanya uumie.

Yes, wanapewa Silaha... Embu eleza shida yako Sasa.
 
Wakati Babu andunje kutwa kucha akitishia Nyuklia wenzake wanamuona kama mpuuzi mmoja hivi [emoji23]View attachment 2487905
MKUU NJOJA NIKUAMBIE KITU HIVI UNAJUA KUWA USA NA NATO NDO WAOGA SANA WA NUCLEAR? UNAJUA HILO.

USA ALIVYOTAKA KUIVAMIA CUBA MIAKA SIJUI YA 60 VILE KAMA SIJAKOSEA.
USSR WALIPELEKA NUCLEAR CUBA NA KUMWAMBIA AKIKUVAMIA TUPIA MIAMI NUCLEAR, ILA USA WAKAOMBA YAISHE WAO WENYEWE.
DODCMCBM-PX-66-20-11-1.jpg

USA WALITAKA KUIVAMIA VENUZUELA KUMUONDOA MADULO MR KIDUME PUTIN ALIPELEKA NUCLEAR KULE USA WAKAFYATA MKIA MPAKA LEO WAKAISHIA KUWAWEKEA VIKWAZO.
YOTE HAYO NI UWOGA TUU.
SASA KAMA WALIJUA KUWA RUSSIA WATAINGIA UKRAINE KWA NINI HAWAJAWAPA UKRAINE SIRAHA ZA NUCLEAR KUMZUIA RUSSIA ASIINGIE WALISHIDWA NINI. USA NA NATO NDO WAOGA SABA WA NUCLEAR, WEWE HUJUI TUU.
 
During his online address at the World Economic Forum's annual meeting in Davos on Jan. 19, President Volodymyr Zelensky said that he was not "entirely sure" that Russian President Vladimir Putin is still alive and makes decisions in Russia.

"I don't quite understand who to talk to and about what. I'm not sure that Russia's president, who sometimes appears against the chroma key is really him," Zelensky responded when asked about the possibility of peace talks
Sasa huyu jamaa hapa si anaonyesha kabisa kwamba ni mtumiaji wa cocaine kabisa.
 
Russia still has a lot of funds for warfare, Ukraine is losing resources much faster, Polish Army Chief of General Staff General Raimund Andrzejczak told the Polish Press Agency.

"Before the war, the Russians had $600 billion in reserves, $300 billion frozen by the international financial centers. That is, if you spend up to $100 billion a year, there is still money for two years," Andrzejczak calculated. According to the general, Russia also does not and will not have problems with personnel and equipment. "This is a powerful country with a population of more than 140 million people. To mobilize 100, 200, 300 thousand people is not impossible," he said. "We are talking about losses in relation to resources. Ukraine may not be able to sustain this depletion. The effect of scale matters. Russia is still big and strong," the Polish commander warned.
Wameanza kuongea ukweli Sasa.
 
"Inaelekea hufuatilii kwa making habari hizi.....wataalamu wa West tayari wameshatoa tathimini yao, baadhi yao, kwamba Ukraine itashindwa na tayari wanaandaa majeshi kuingilia Kati kwa kupeleka Askari wakitokea Poland na vile nchi vidogo vya Baltic"

Embu tupe link tukajisomee isije kua unaropokwa tu kufurahisha Baraza kama mwenzako Shekhe Idrisa .

Bro kwahiyo wewe unajua kilichompeleka Chairman wa Joint Chiefs of Staff kule Poland wakati Dunia nzima haijui!!!! Aiseee. Hivi hiyo ni mara ya Kwanza wakuu wa jeshi na serikali ya Marekani kutembelea Poland?!

Yani kuwepo na tishio la vita ya nyuklia halafu Marekani ikae kimya isiwaarifu Raia wake na DEFCON level ikae vilevile?!

Kwa taarifa yako hata Marekani ina hizo nyuklia sub zenye Makombora mazito ya nyuklia (Ohio Class SSBN) na wakati wote submarine 4 zenye Makombora hayo zinakua ndani ya bahari mahali kusikojulikana zikisubiria order ya kuvurumisha kombora za Trident II zenye uwezo wa kubeba mpaka vichwa 12 vya nyuklia
Mimi Nina heshima zangu ...sitaki ubishi wa kitoto...Mimi hufuatilia habari zote ziwe za west, Russia, China, Japan na kadhalika ...nafahamu pia kuwa wengi humu hufanya hivyo...Sasa hayo mambo ya link sijui Nini na Nini ..sijui leta hiki na kile Mimi Sina time nacho..Mimi nimekupa information hiyo...it is up to you to take or leave it...,Jambo jingine ni kuwa kwenye mijadala usijifanye unajua Kila kitu...You have to be humble in debates and not arrogant...I have.been following your arguments and I should not mince words in this, you are arrogant in your comments..
..
 
Nyie watu sijui vipi...Pale Russia ilipoanzisha SMO kwa maana ya February 24 ule msafara mrefu wa decoy wa Russia ulipokuwa unaelekea Kiev ulikuwa umetokea Belarus...na basdaye msafara huo ulirejea Tena Belarus...
Ila kwa Sasa Russia imepeleka Askari wengi kwa maelfu huko Belarus pamoja na zana za kisasa....inaelezwa kuwa Russia itafungua front nyingine kuelekea Kiev wiki kadhaa zijazo...lakini lengo jingine kubwa ni kuingia Ukraine kwa kupitia ili kuzuia silaha za NATO na West ambazo huingizwa Ukraine kwa kupitia mpaka wa Ukraine na Poland...kwa hiyo jeshi la Russia litagawanyika huku jingine likielekea Kiev na jingine likienda kwenye mpaka wa Poland kuziba njia za kupitishia silaha...
Kutokea Belarus mpaka huko mpakani mwa Ukraine na Poland ni mbali saana hakuna General ataekubali kujirisk hivyo

Hapo saana ni kuikamata kiev
 
Ukiangalia misaada inayomwagwa Ukraine kwa sasa ni dalili tosha offence inakaribia fanyika
Baada ya winter Ukraine na Russia wote wanajiandaa kufanya counter offensive ndio maana unaona hizo armoured vehicles zinamwagwa za kutosha, wanajeshi wapatiwe mafunzo jinsi ya kuzitumia mpaka March mwishoni ziwe zishaingia mzigoni
 
Back
Top Bottom