kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kama 20000 wamechinjwa ndani ya mwezi mmoja Ina maana Kila siku warusi wasiopungua 700 wanapelekwa jongomelo.., inashangaza warusi wa buza wanapotuijia juu mara tukiwaletea takwimu zote hapa,..,kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia hakuna lolote unaloweza kuficha,Endeleeni kushupaza shingo ukweli utajulikana mlipiga kelele wakati miji inarudishwa na ukweli ulionekana sasa ndani ya mwezi makuruta wa Russia wamekaangwa zaidinya 20,000
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app