Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

.
Screenshot_20230124-134537~2.jpg

Comment

As the war in Ukraine nears its one-year mark, Kyiv is pushing Western allies to provide modern battle tanks for its fight with Russian forces. And there’s one particular model the Ukrainians want — the German-made Leopard 2.

Other countries have offered different tanks, such as Britain, which promised 14 Challenger 2 models earlier this month. But the Leopard 2’s speed and ease of use — as well as the fact that there are a large number of them already in Europe — have made them more attractive to Kyiv.

In a statement last week, the Ukrainian foreign…

Continue Reading

News Source: https://www.washingtonpost.com/world/2023/01/24/leopard-2-ukraine-germany-m1-abrams/
 
Vipi siku hizi umekua muangalizi wake mpaka ukajua halali au ana lala pale hata mlete nini ni kazi bure

Zelensky kasha maliza wanaume ote kawapeleka vitan sasa anapeleka wanawake na wazee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ungeanza kwanza na Putin aliyeutangazia uma kwamba anafanya mobilization ya askari laki tatu baada ya wale elite soldiers aliotuma mwanzoni mwa uvamizi wake kufyekwa wote na wengine kutiwa vilema..bila aibu anataka awaswage Tena vijana wengine kuwapeleka machinjioni baada ya wale laki tatu kuchinjwa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ujui vita wewe mrussi alipo vamia hakuwa kakusudia vita kubwa ya yeye kuigeuza vumbi na magofu ukrain hivyo alivamii ndani moja kwa moja ..ila nato ndiyo wakabadili upepo wa ukrain na kusababisha vita
Nyie watu mbona mnajikanyaga kila mara?? NATO wanaingiliaje Tena Ukraine wakat tulishawachimba mkwara mzito wakaufyata??[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ngoja tuwashtue wa syria maana viligeuzwa popcorn na mlivo na vichwa vigumu mnataka kuvipeleka ukraine vikakutane na might russia. It will be execution out there
Huko Syria urusi aliviweza hivi vifaru kwa sababu alikuwa na air superiority huko..., hivyo alikuwa na uwezo wa kuharibu chochote kilichopo chini,kwa Ukraine mambo ni tofauti Mzee..,kama mna matumaini hayo basi mnasubiria embe chini ya mnazi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ungeanza kwanza na Putin aliyeutangazia uma kwamba anafanya mobilization ya askari laki tatu baada ya wale elite soldiers aliotuma mwanzoni mwa uvamizi wake kufyekwa wote na wengine kutiwa vilema..bila aibu anataka awaswage Tena vijana wengine kuwapeleka machinjioni baada ya wale laki tatu kuchinjwa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwahiyo Russia amepoteza askari laki ngapi kwa maelezo haya?
 
Hiyo taarifa kuwa Putin halali umeitoa wapi?Au ni kutoka kiwanda chako cha kupika habari?Mambo mengine kama haya ndio yanafanya hata mkiandika mambo ya ukweli mnakosa kuaminika!
Hujawasikia wapambe wa Putin wakilialia kuhusu upelekwaji wa hivyo vifaru?? Basi utakuwa sio mfuatiliaji wa habari.. wapambe wote wa Putin Kwa Sasa ni matumbo joto [emoji28] wamebaki kuilaum tu marekani kwamba ina-triger vita ya tatu ya dunia [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo Russia amepoteza askari laki ngapi kwa maelezo haya?
Hayo maelezo yanajitosheleza kijana, jaribu kuchekacheka akili yako utapata idadi kamili ya warusi waliochinjwa huko Ukraine. ,Vitu vingine sio mpaka utafuniwe kwa kukusaidia tu jumlisha wale asikari laki Moja na elf sabini na Tano walioingizwa mwanzoni mwa uvamizi,, kisha ongezea wale mobilized soldiers laki tatu...,alafu jiulize hao laki Tano hambao wako mbioni kuingizwa front line ,..ukifanya hivyo utapata idadi kamili,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hujawasikia wapambe wa Putin wakilialia kuhusu upelekwaji wa hivyo vifaru?? Basi utakuwa sio mfuatiliaji wa habari.. wapambe wote wa Putin Kwa Sasa ni matumbo joto [emoji28] wamebaki kuilaum tu marekani kwamba ina-triger vita ya tatu ya dunia [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa hayo uliyoandika yanahusiana vipi na Putin kukosa usingizi?
Silaha inaenda battle field,Bado haijafika basi ni kelele kila mahala!Hii ni dalili kuwa Kwa muda mrefu,west wamekosa good news kwenye uwanja wa vita mpaka kupeleka tuvifaru nayo imekuwa habari kubwa!😆😆😆
 
Hayo maelezo yanajitosheleza kijana, jaribu kuchekacheka akili yako utapata idadi kamili ya warusi waliochinjwa huko Ukraine. ,Vitu vingine sio mpaka utafuniwe kwa kukusaidia tu jumlisha wale asikari laki Moja na elf sabini na Tano walioingizwa mwanzoni mwa uvamizi,, kisha ongezea wale mobilized soldiers laki tatu...,alafu jiulize hao laki Tano hambao wako mbioni kuingizwa front line ,..ukifanya hivyo utapata idadi kamili,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwahiyo zaidi ya askari laki 4 wa Russia wameuwawa😆😆😆😆😆!
Only a fool can buy this crap!
Hata wangekuwa wanakufa zaidi ya 1000 Kwa siku tokea OP inaanza wasingefika hiyo idadi!

Tumia ubongo wako vyema!
 
Kwa

Kwann ukweli ufichwe ...Kama nyie mmezoea uongo na kujidanganya Ni nyie Ila wanaume husema kwel sio kujiliawaza kwa uwongo ...
Kama urusi ni muumini wa kusema ukweli mbona hataki kuweka wazi kwamba askari wake zaidi ya laki tatu wamechinjwa au kutiwa vilema kama vyanzo mbalimbali vya kuaminika vinavyoripot??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sasa hayo uliyoandika yanahusiana vipi na Putin kukosa usingizi?
Silaha inaenda battle field,Bado haijafika basi ni kelele kila mahala!Hii ni dalili kuwa Kwa muda mrefu,west wamekosa good news kwenye uwanja wa vita mpaka kupeleka tuvifaru nayo imekuwa habari kubwa![emoji38][emoji38][emoji38]
Unachoandika hapa ni kujaribu kujipa matumaini mkuu..., huoni waziri wa mambo ya nje wa huko urusi akijaribu kuzunguka kwenye vyombo vya habari akijaribu kuhihamasisha Dunia iilaumu NATO na marekani kwa upelekwaji wa hivyo vifaru?? Umsikii lavlov akidai kwamba hatua hiyo inachochea vita ya tatu ya dunia?? Nashangaa warusi wa buza ndio mnajitia vichwa ngumu kudai kwamba hivyo vifaru hivyo havina lolote wakati viongozi wa urusi wanarukaruka na kukanyagana wakisikia ujio wa hivyo vifaru [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo zaidi ya askari laki 4 wa Russia wameuwawa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!
Only a fool can buy this crap!
Hata wangekuwa wanakufa zaidi ya 1000 Kwa siku tokea OP inaanza wasingefika hiyo idadi!

Tumia ubongo wako vyema!
Nimekwambia kwamba hao ni waliouwawa au kutiwa vilema.., mbona unakuwa mgumu kuelewa kijana,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo zaidi ya askari laki 4 wa Russia wameuwawa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!
Only a fool can buy this crap!
Hata wangekuwa wanakufa zaidi ya 1000 Kwa siku tokea OP inaanza wasingefika hiyo idadi!

Tumia ubongo wako vyema!
Usiwe mbishi kijana..,kila siku tunaleta takwimu hapa jinsi warusi wanavyochinjwa..,na idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga mara nyingi Huwa haipungui 700 kwa siku .,Jana tu idadi hiyo ndio imeonekana kupungua kidogo maana wamechinjwa 700 kasoro 10
1674559250777.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unachoandika hapa ni kujaribu kujipa matumaini mkuu..., huoni waziri wa mambo ya nje wa huko urusi akijaribu kuzunguka kwenye vyombo vya habari akijaribu kuhihamasisha Dunia iilaumu NATO na marekani kwa upelekwaji wa hivyo vifaru?? Umsikii lavlov akidai kwamba hatua hiyo inachochea vita ya tatu ya dunia?? Nashangaa warusi wa buza ndio mnajitia vichwa ngumu kudai kwamba hivyo vifaru hivyo havina lolote wakati viongozi wa urusi wanarukaruka na kukanyagana wakisikia ujio wa hivyo vifaru [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mmeshaambiwa na Warusi kuwa vitateketezwa kama kama vingine tu!
Sasa viende vikawe na range ya kupiga occupied areas kama Crimea au Mariupol,Miji ambayo imeshajengwa,Russia ndio anasema NATO is getting closer to trigger world war 3!
 
Back
Top Bottom